Ukristu wazidi kuenea kwa kasi Indonesia

Nchi nyingi zenye ukristo wanatamani kuonja kua waislamu na nyingi zenye waislamu wanatamani kuonja ukristo ni vile sheria sio rafiki .

Kiufupi ni pipa na mfuniko tu.
Not true, Wakristo wamesoma na wanajuwa vitu...wenzetu Waislam wengi wao hawajasoma, wao wako bize tu kukariri Kiarab kisicho na manufaa maishani mwao. Hakuna Mkristo mwenye akili timamu akataka kuwa Muislam, kwa faida ipi kwa mfano?
 

Quran 4:103 Tafsir Ibn Kathir​


The Order for Ample Remembrance After the Fear Prayer Allah commands Dhikr after finishing the Fear prayer, in particular, even though such Dhikr is encouraged after finishing other types of prayer in general.


Hapa hamna swala 5 sheikh ule moto unaouogopa utaupata kwa huu upotoshaji
 
Hii Aya inathibitishaje kuwa kuluwani haijachakachuliwa na akina Umar
Ummar hawezi chakachua Quran,labda kama humjui ummar ni nani,na Quran yenyewe inasema hujitetea,kama unaiona imechakachuliwa au ya uwongo,andika wewe mfano wake walau sura mbili,au ungekuta inajichanganya yenyewe aya kwa aya
 
Yeah kweli kabisa Quran ina tales na fables za kale ambazo waislam mnazichukulia kama matukio ya kweli.


View: https://youtu.be/cQ611NSxfCk?si=tv8EOPpK_J01l4ba
Watch this halafu ulete mrejesho.
 
quran haiimbwi sio muziki ule hadi uimbwe
 
Mbona pia biblia inavituko zaidi ya hivyo mara yakobo akapigana na Mungu akamshinda , mara lotu Ali lala na binti zake wakuwazaa sioni mkichekana.
Yakobo alionana na malaika ila yeye alihisi ni Mungu hakuna binadamu aliyewahi kumuona Mungu watu wengi wanapotosha hii habari
 
Unakua kama mjinga,ukijibiwa hili unaruka na kuleta hili,acha uccenge
Kutumia matusi ni ishara kwamba kuna ujumbe umeupata chief. Usiache kuuliza maswali kwa Ustaadh wako kuhusu historia halisi ya Quran, uislamu pamoja na Mohamed. Ukweli utakuweka huru.
 
Ummar hawezi chakachua Quran,labda kama humjui ummar ni nani,na Quran yenyewe inasema hujitetea,kama unaiona imechakachuliwa au ya uwongo,andika wewe mfano wake walau sura mbili,au ungekuta inajichanganya yenyewe aya kwa aya
Umeshindwa kuniletea uthibitisho

Kuluwani ni scam ❌ ❌ ❌
 
Allah anasema ndani ya Quran kuwa hakuna kulazimishana katika dini
Hivyo Muislam yupo huru kubaki au kutoka

Lakini pia akasema
Mimi ndio niliokuumbeni nyote Kuna wengine wenu ni waislam na wengine wenu ni makafiri

Chaguo ni lako
 
Allah anasema ndani ya Quran kuwa hakuna kulazimishana katika dini
Hivyo Muislam yupo huru kubaki au kutoka

Lakini pia akasema
Mimi ndio niliokuumbeni nyote Kuna wengine wenu ni waislam na wengine wenu ni makafiri

Chaguo ni lako
Surah 3:151: "We shall cast terror into the hearts of those who disbelieve (all non-Muslims) …"

Surah 2:191: "And kill them (non-Muslims) wherever you find them … kill them. Such is the recompense of the disbelievers (non-Muslims)."

Surah 9:5: "Then kill the disbelievers (non-Muslims) wherever you find them, capture them and besiege them, and lie in wait for them in each and every ambush.

Hizi aya zote zinaongelea kuwatesa au kuwaua wasio amini kwenye hiyo Quran yenu.
 


Nilikuandikia nakukutumia hizi takwimu as it stand until right now lakini hutaki, sasa endelea kulishwa propaganda na page za facebook zenye background cover za katuni ambazo katika uislam ni haraam, haitabadilisha chochote na uhalisia ulivyo kuhusu nchi za kiislam hapa ulimwenguni.

Tukianza kulichambua hilo jina lilotumika kwenye giyo page uliyotuma savemaryam, ni ukiristo mtupu uliotumika kuandaa hiyo page, ata ukiangalia post zake zote kwenye hiyo page ni ukiristo mtupu nadhan tufikie hapa., ulimwengu wa kiislam tunaifahamu vizuri Indonesia, hakuna kitakachobadilisha.
 
Hizi nchi zenye waislam wengi ukitoa India wana sheria kabisa za kupiga marufuku ufundishaji wa dini nyingine. Uislamu unalindwa na sheria za kiserikali,ndiyo maana inakuwa ngumu kwa injili kuhubiriwa na kupata waumini wapya. Ashukuriwe Mungu kwa uwepo wa internet though.
 
Hakuna wakristu wenye propaganda chafu na za kijinga kama hizo za kupika vitaasisi uchwara na takwimu za hovyo

Inajulikana wazi kabisa pasipo shaka Indonesia ndiyo taifa lenye waislamu wengi zaidi ulimwengu, lakini namba ya waislamu hushuka kila leo kutokana na waumini wa kiislamu kuhamia ukristu

Indonesia ni taifa ambalo ni la pili lenye waislamu wengi kuwa na wakristu wengi baada ya Nigeria


View: https://youtu.be/96vzwhneh1s?si=bBpx3x7b_c7RBenv
 

Attachments

  • Screenshot_20241116-144437.png
    128.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241116-143747.png
    130.5 KB · Views: 2
Hakika na hawawezi kudananganya watu tena

Hiyo Iran yenyewe ambayo ni jamhuri ya kiislamu na ngome ya shia ina namba kubwa sana ya wakristu waliotoka uislamu tatizo wamekatazwa kupractice Imani nyingine tofauti na uislamu hadharani labda kidogo wayahudi ndo wanapumua pumua
 
Angalia hii video na huyo ni campaign manager Azim Kirway halafu pitia comments za waindonesia wenyewe


View: https://youtu.be/y5yiYbr22pk?si=gs1JEbbiqMTBZ_xS
 

Attachments

  • Screenshot_20241116-153025.png
    135.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241116-152950.png
    133.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241116-153003.png
    128.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241116-152940.png
    134.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241116-153119.png
    130.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20241116-153040.png
    125.4 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…