Ukristu wazidi kuenea kwa kasi Indonesia

Unadhani kwanini?
Kwa sababu waislamu ni wakorofi, mnapenda kutuchokoza na katu hatuwezi kukaa kimya daima

Hamuwezi kutafuta ukuu wenu kwa kutumia ukristu halafu na sisi tukae kimya daima

Kuna nyuzi nyingi sana ambazo zinakandia ukristu kipindi cha nyuma tulikaa kimya ila Sasa imetosha
Mmekandiwa kwa kipi waislam hawana muda huo
 
Mbona kama ume panic tutafika kweli
Sija panic ila huwa siendekezi mambo yasiyo na uthibitisho. Nimeonyesha mifano ya Qur'an iliyowazi na zinatumiwa, naweza kupewa ushahidi Muhammad alikuwa na nani wakati anashushiwa hiyo Qur'an mle pangoni? Musa aliitwa na Mungu akaambiwa apande kule mlimani alimuaga Harun na kumkabidhi kuwaangalia Waisrael na akashuka na mawe yaliyoandikwa na Waisraeli waliyaona. Yesu alizaliwa akiwa na Neno la Mungu na Roho wa Mungu hayo hata Qur'an inatambua na kukiri kuwa huyo ni Masihi wa Mungu. Ushahidi wa Qur'an kwa Muhammad uko wapi kama siyo maneno yake tu? Ndiyo maana nikasema kuwa Qur'an imeandikwa na Waarabu wenyewe katika mazingira yao!
 
Achana na qur an za kutunga qur an inayo tambulika dunia nzima ipo moja tu hata ukisema zakutunga zipo nyingi ila zinajulikana na zinapotezewa nimekuuliza swali umelikimbia hizo qur an ulizo zitaja zinatumika nchi gani jibu hili swali halafu ukijua nchi gani zinatumika uje uniambie ila kabla ya kuja kunambia ufanye risach na qur an zinazo tumika nchi nyengine kama sawa ama si sawa kuna mwaka hapa kati kama miaka kumi ziliingizwa qur an za mchongo eidha watu waliongeza ama kupunguza neno ama herufi kwa makusudi ili kutaka kuipotosha qur an bahati nzuri wakafeli ndio hilo uliloleta wewe hapo yaani qur an nzima kuzidi hiko kineno ndio imekua qur an mpya hio ama na kuhakikisha hakuna sehemu utaniletea ushahidi kuna nchi wanatumia hizo qur an ulizo nitajia wewe
Nenda Morocco kanunue Qur'an kwenye duka la vitabu utaulizwa unataka Qur'an ipi? Ila wao wanatumia Warsh hawatumii Hafs aliyoipitisha Mfalme wa Saud Arabia itumike dunia nzima. Ndiyo maana nimekuambia Qur'an ziko nyingi na baadhi nimekutajia.
 
Sija panic ila huwa siendekezi mambo yasiyo na uthibitisho. Nimeonyesha mifano ya Qur'an iliyowazi na zinatumiwa, naweza kupewa ushahidi Muhammad alikuwa na nani wakati anashushiwa hiyo Qur'an mle pangoni? Musa aliitwa na Mungu akaambiwa apande kule mlimani alimuaga Harun na kumkabidhi kuwaangalia Waisrael na akashuka na mawe yaliyoandikwa na Waisraeli waliyaona. Yesu alizaliwa akiwa na Neno la Mungu na Roho wa Mungu hayo hata Qur'an inatambua na kukiri kuwa huyo ni Masihi wa Mungu. Ushahidi wa Qur'an kwa Muhammad uko wapi kama siyo maneno yake tu? Ndiyo maana nikasema kuwa Qur'an imeandikwa na Waarabu wenyewe katika mazingira yao!
Ulipanic ila naona umekuja kwenye mood ya kujadili na hapa ndio mambo yanaenda kwanza tuanze na hapo kwenye uthibitisho ni eidha huelewi maana ya uthibitisho ama unafanya kusudi uthibitisho unaoutaka wewe kwa Muhammad s a w ni kama wa mussa umesikia tu ila hujaona kwahio huo kwa mantiki yako ya uthibitisho unakua batili kuhusiana na qur an hujanipa ushahidi wa qur an kutumiwa umenipa ushahidi wa qur an kuongezwa neno na hili nimekwambia kwamba hilo limeikumba qur an mara kadhaa kwa kuongezwa neno ama kupunguzwa kwa makusudi ila hua inagundulika na qur an husika inakua haitumiki hujaniambia hio qur an yako wewe inatumika na nchi gani mussa kupanda sijui kushuka ni maneno ambayo umeyaona kwenye maandiko kama ambavyo waislam hua tunaona kwenye maandiko sasa kwako unaamini maandiko yako yapo sahihi kwa kigezo kipi na yetu hayapo sahihi kwa kigezo kipi masih issa anatambulika kweli kwenye qur an wala hujadanganya unapata wapi uhalali wakumkubali masihi issa na kukataa kumkubali s a w kwa kupitia qur an hakuna muarabu alioandika qur an na ndio maana qur an ilikuja kukataza mila nyingi kama sii zote za waarabu kabla ya kusimika mila za Quran au uislam uislam umewakutia waarabu wanaabudia masanamu ukawapiga ban uislam uliwakuta waarabu wanalewalewa tu ukawapiga ban uislamu uliwakuta waarabu wana machafu mengi ukawapiga ban mwisho waarabu walimkataa s a w baada ya kuona anawaletea mila inayopingana na tamaduni zao je unajua kama kabla ya ujio wa uislamu waarabu walikua wakiabudia jua miti masanamu maarufu yakiwa Laata na uzza
 
Nenda Morocco kanunue Qur'an kwenye duka la vitabu utaulizwa unataka Qur'an ipi? Ila wao wanatumia Warsh hawatumii Hafs aliyoipitisha Mfalme wa Saud Arabia itumike dunia nzima. Ndiyo maana nimekuambia Qur'an ziko nyingi na baadhi nimekutajia.
Wewe jamaa fanya utafiti wako vyema nenda kalinganishe hizo qur an mbili uone kama zina tofauti hizo Quran hayo ni tofauti ya maneno kwenye utamkaji ila kwenye maana zipo sawa sawa mfano kule kwetu east afrika tunasema wadhwuhaa ila kwenye hizo unazozitaja wewe watasema wadhwuheee matamshi tofauti kwenye qiraa ila maana ni sawa sawa
 
Nenda Morocco kanunue Qur'an kwenye duka la vitabu utaulizwa unataka Qur'an ipi? Ila wao wanatumia Warsh hawatumii Hafs aliyoipitisha Mfalme wa Saud Arabia itumike dunia nzima. Ndiyo maana nimekuambia Qur'an ziko nyingi na baadhi nimekutajia.
Nnacho kitaka mimi hapa niletee ushahidi kama Tunisia au huko ulipo sema wewe wanatumia hio qur an yao unayoisema ambayo rasmi ila haina sura fulani ama imeongezwa sura ama aya Ile uloniletea juzi sijui Jana ni fake hakuna nchi inatumia Ile qur an kama ipo itaje kwani shida iko wapi kunambia tu nenda Italy wanatumia hio qur an hakuna na huwezi kuniletea
 
Nenda Morocco kanunue Qur'an kwenye duka la vitabu utaulizwa unataka Qur'an ipi? Ila wao wanatumia Warsh hawatumii Hafs aliyoipitisha Mfalme wa Saud Arabia itumike dunia nzima. Ndiyo maana nimekuambia Qur'an ziko nyingi na baadhi nimekutajia.
Kama hutanielewa hapa huwezi nielewa tena pia mfalme wa saudia hawezi pitisha qur an kutumika dunia nzima na uongo na hakuna jambo kama hilo sababu ukienda west afrika ukiwapa hii qur an tunayoisoma kule east afrika hata kama kahifadhi juzuu zote 30 anaweza asiisome sio kwasababu ni qur an tofauti hapana ni qur an moja ila maandishi tofauti kutokana na lahaja za sehemu husika na hii ipo pande zote za dunia ila sasa licha ya usomaji kuwa tofauti sura yeyote itayo tafsiriwa kwenye hizo nchi ikiletwa kwa kiswahili ama maana unayo ielewa ndio utaelewa kama ni qur an moja ila qiraa ama aina ya usomaji na mpaka uandishi ndio tofauti ila maana itakuja Ile Ile nakupa tena angalizo achana na zile qur an watu walochomeka vimaneno maneno zikagunduliwa nazungumzia official Quran ya nchi fulani
 
Attachments

  • Screenshot_20241118-173858.png
    Screenshot_20241118-173858.png
    272.3 KB · Views: 3
Sisi wakristu hatujawahi kuwa na ubaya na waislamu au hata watu wa imani ingine hata mara moja

Shida unakuja waislamu wanapojiona wao ni watu wa haki sana dhidi ya watu wa imani ingine hapo matatizo yanapoanza maana hatujakatazwa kuitetea imani yetu kamwa hoja

Waislamu wamekuwa wakiudhuhaki ukristu tangu na tangu lakini wakristu walikaa kimya kwa sababu msingi wetu wakristu ni Imani matumaini na mapendo

Inapofika hata kama hii jambo limeshindwa kustahimilika
kwaiyo mmeamua kulipiza kwa kuujum Uislamu kwakutumia njia yoyote ikiwemo hii mnayotumia sasa ya propaganda kuuchafua uIslam. Mm nilizani yale yamepita tunashukulu mungu Watanzania walikuwa makini kudumisha aman atujawa kuwa na migogolo na sasa watu wamoja zaid. Lkb nyinyi mnachokoza chokoza mambo mwisho yataibuka tena yale ya zaman hatari mbaya zaid kwasasa tupo kwenye Dunia ya utandawazi wanaosoma msg umu wengi ndio mana napata mashaka kujiamini kwenu tukemeane kila tukiona tukio au UZi wa propaganda kushutum Uslamu au kushutumu Ukristo nakuomba ww uwakumbushe wenzako kuwa Izi DINI zisituletea shida. Watu awapendi kutukaniwa iman zao asa kipindi ichi Dunia kijiji pale kenya miaka ya nyuma tuliona mashekh kina Rogo mungu amsamee makosa yake. wakiuwawa ovyo ovyo na wakidhalauliwa na waliokuwa wakifanya ule ujinga waliona waIslam wakenya ni dhaifu awana cha kufanya kwaiyo watenda uwovu wakazidi kuwafanyia vituko jamii ya Kislam ya Kenya. Unajua kilitokea nini waislam ni ndugu wasomali wakaununua ugomvi ikawa njian basi la abiria linasimamishwa abiria sio waslamu wanashushwa na kuuwawa apo apo tukaona shule ya Garisa nako walikuwa wanawauwa wakristo tu mauuwaji yalitembeya mfulilizo mwisho ikawa funzo kubwa Kenya awawagusi tena waIslamu na Sikukuu za EID za zinatambuliwa na serikali ya Kenya BI4 ilikuwa akuna EID kenya wale wasomali baada kuona sasa kumetulia mashekh awasumbuliwi nao wameacha kuuwa kwa misingi ya DINI ya mtu. Ndio mawasisitiza izi Dini sio zetu tuache aya mambo tuache matusi kwenye Dini kuache propaganda badala yake tukemaane wenyewe ili tujenge jamii yenye umaja tukiwa wamoja mgeni avutiki kuja kuna watu uko wameshajichokea wanatafuta sababu yakufia nanyinyi sijui Watoto umu mnashindwa kujua hii mitandao wanasoma watu adi Somalia na kwengine. Tutafutani pesa siku za Ibada uwai kufanya IBADA kama pesa unayo toa Sadaka baraka si utapata pia, kwani lazima baraka upate kwa kukashifu Iman nyengine nasikitika wale WAKENYA waliokufa pasi na natia wakiwemo mashekh na cristian wengi wakiwemo polisi wameteketea bulee mambo yangeweza epukika tukitumia akili vizuli tukatumia mitandao vizuli tusijione tu salama tukawafanyia wengine dhalau Nasisitiza naamini sisi sio mazwazwa basi akili ni rasilimali muimu tusidhalau moto waliopitia wenzetu wakajuta.
 
Quran 33:37
And ˹remember, O Prophet,˺ when you said to the one1 for whom Allah has done a favour and you ˹too˺ have done a favour,2 “Keep your wife and fear Allah,” while concealing within yourself what Allah was going to reveal. And ˹so˺ you were considering the people, whereas Allah was more worthy of your consideration. So when Zaid totally lost interest in ˹keeping˺ his wife, We gave her to you in marriage, so that there would be no blame on the believers for marrying the ex-wives of their adopted sons after their divorce. And Allah’s command is totally binding.

Mohamad baada ya kutamani mkwe wake kijana ikabidi ajifanye hamtaki mke wake ili Mtume wa Allah achukue mzigo.
Mtume alibahatika kupata watoto wa kiume watatu (3)
Abdallah
Ibrahim na
Kassim
alienyang'anywa mke ni yupi kati yao?
N.B Kumbuka hao watoto walifariki wakiwa chini ya miaka 5. Kwa hiyo ukija ujue jinsi ya kutunga.
 
Mtoto wake wa kambo!
 
Kuwa na kila aina ya watu haijawa hoja kwa sasa dunia kama kijiji hata huko mikoani kuna watu wamechanganyikana ila dar wamezidi kiasi kwamba ukitembea mpaka mbeya kule ukirudi shinyanga mwanza kuna mpaka wapemba nk na huko ulipokutaja kwenye waislam ndio kuna idadi kubwa ya watu kwa huko dar linganisha tu sherehe za waislam na wasio waislam utaelewa sio harusi zile skukuu mbili kubwa
Ukipitia takwimu za maeneo niliyokutajia na aina ya watu wanaokaa utaacha huo ubishi wako usio na mantiki
 
Mmekandiwa kwa kipi waislam hawana muda huo
Enyi mlio amini msiwafanyie manaswara (wakristu) na wayahudi kuwa jamaa yenu

Yaani hiyo Aya ndiyo msingi wa ubaguzi wa waislamu halafu unabisha kuwa waislamu hawawakandii wakristu?
Unasema waislamu hawana muda na wakristu wakati kila siku
Sheikh mazinge
Sheikh Dr sule na akina Rusanganya Hashim Wana kazi ya kudhihaki na kuwakebehi wakristu?

Unaelewa unachokiandika?
 
Wewe ndio huelewi umachokiandika hapo kebehi iko wapi
 
kwaiyo mmeamua kulipiza kwa kuujum Uislamu kwakutumia njia yoyote ikiwemo hii mnayotumia sasa ya propaganda kuuchafua uIslam. Mm nilizani yale yamepita tunashukulu mungu Watanzania walikuwa makini kudumisha aman atujawa kuwa na migogolo na sasa watu wamoja zaid. Lkb nyinyi mnachokoza chokoza mambo mwisho yataibuka tena yale ya zaman hatari mbaya zaid kwasasa tupo kwenye Dunia ya utandawazi wanaosoma msg umu wengi ndio mana napata mashaka kujiamini kwenu tukemeane kila tukiona tukio au UZi wa propaganda kushutum Uslamu au kushutumu Ukristo nakuomba ww uwakumbushe wenzako kuwa Izi DINI zisituletea shida. Watu awapendi kutukaniwa iman zao asa kipindi ichi Dunia kijiji pale kenya miaka ya nyuma tuliona mashekh kina Rogo mungu amsamee makosa yake. wakiuwawa ovyo ovyo na wakidhalauliwa na waliokuwa wakifanya ule ujinga waliona waIslam wakenya ni dhaifu awana cha kufanya kwaiyo watenda uwovu wakazidi kuwafanyia vituko jamii ya Kislam ya Kenya. Unajua kilitokea nini waislam ni ndugu wasomali wakaununua ugomvi ikawa njian basi la abiria linasimamishwa abiria sio waslamu wanashushwa na kuuwawa apo apo tukaona shule ya Garisa nako walikuwa wanawauwa wakristo tu mauuwaji yalitembeya mfulilizo mwisho ikawa funzo kubwa Kenya awawagusi tena waIslamu na Sikukuu za EID za zinatambuliwa na serikali ya Kenya BI4 ilikuwa akuna EID kenya wale wasomali baada kuona sasa kumetulia mashekh awasumbuliwi nao wameacha kuuwa kwa misingi ya DINI ya mtu. Ndio mawasisitiza izi Dini sio zetu tuache aya mambo tuache matusi kwenye Dini kuache propaganda badala yake tukemaane wenyewe ili tujenge jamii yenye umaja tukiwa wamoja mgeni avutiki kuja kuna watu uko wameshajichokea wanatafuta sababu yakufia nanyinyi sijui Watoto umu mnashindwa kujua hii mitandao wanasoma watu adi Somalia na kwengine. Tutafutani pesa siku za Ibada uwai kufanya IBADA kama pesa unayo toa Sadaka baraka si utapata pia, kwani lazima baraka upate kwa kukashifu Iman nyengine nasikitika wale WAKENYA waliokufa pasi na natia wakiwemo mashekh na cristian wengi wakiwemo polisi wameteketea bulee mambo yangeweza epukika tukitumia akili vizuli tukatumia mitandao vizuli tusijione tu salama tukawafanyia wengine dhalau Nasisitiza naamini sisi sio mazwazwa basi akili ni rasilimali muimu tusidhalau moto waliopitia wenzetu wakajuta.
Unaongea nini wewe?

Yaani tatizo una kaunafiki fulani, unajifanya kutafuta Suluhu na kusawazisha mambo ilhali unaegemea kwenye mapenzi na uislamu wako

Hivi wakristu hii nchi tumedhulumiwa mara ngapi na waislamu na mamlaka zinakaa kimya tu?

Tusiende mbali Zanzibar tu hapo kila mwaka Wanadhalilisha wakristu na kuwatesa kipindi cha ramadhani je unakemeaga huo upande wa waislamu?
Halafu unakaa hapa unabwabwaja unasema wakristu tumeamua kuuhujumu uislamu, una akili vizuri wewe?
Hujiielewi hata kidogo
 
Ukiisikiliza Quran inavyoimbwa unaweza ukaona ni kitu cha maana,ila soma na kuielewa ndio utaona utani wake maana humo utakutana na Mzee wa miaka 53 anaoa mtoto wa miaka 6,utaona mzee anachukua mke wa mwanae na kumuoa yani ni tofauti na kile unachokiona juu juu ukihadithiwa, na wengi wao kutokana na Ile lugha iliyoandika Quran hawaelewi kilichopo mle wao wanawasikiliza hawa Wafanya tafsiri.
Jirani ni kakikitabu kadogo sana kama kitabu cha Zaburi tu . Ila inapotafsiriwa kwa lugha nyingine inaongezwa maneno mengi sana kama mifano na tafsiri za wanazuoni wa zama fulani na wanaosoma wanafungwa hapo hapo hakuna mwanazuoni wa leo anayerruhusiwa kuja na tafsiri yake hata kama ni ya kitafiti zaidi . Hii inasababisha watu kulaeimishana kwenda Jehanamu bila sababu au hata ni peponi lakini nadhani Hakuna mtu atakaye kwenda peponi kwa sababu ya woga na hofu ya kuogopa sheria kali .
Hii ni wazi Kule Mbinguni hatapokelewa mtu asiye mtakatifu wa moyo . Shetani alishaonyesha mfano mbaya wa kufika mbinguni kwa sababu ya kufuata sheria matokeo yake akaasi mana nafsi yake haikuwa inafuata sheria kwa hiari bali kwa kuhofu na uchungu huku ikiwa na chuki kwa wale wasiofanya anayoyafanya yeye .
Hata waumini wenzake na shetani leo mfano wakiwa wamefunga hawataki waaone mtu anakula . Roho zinawauma kwa hasira kali kuona mwingine anakula na kufukia hatua ya kumpiga mtu na kumjeruhi kwa sababu hajafanya jambo jema wanalofanya wao. Yaani kumpiga mtu ni thawabu zaidi kuliko kufunga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Sasa iko hivi.
Nchi zote duniani ni lazima Nuru iwaangazie kabla ya Kristo Kurudi duniani . China , Korea ,India , n.k Zote ni lazima Ukristo ufike na watampokea kwa imani kubwa za ana na furaha kuu itakua juu yao baada ya kutoka kwenye minyororo ya shetani .

Waarabu walishapokea Ukristo aliouacha Yesu mwanzoni sana lakini Adui akaja akapanda Magugu katikati ya ngano kama ulivyokuwa ndani ya Israel Yesu aikozaliwa. Huu uislam unaenea Ulaya ni kazi ya adui aliyeua Ukristo kuanzia kule Uturuki ,Misri ,Libya,Tunisia ,Moroco n.k . Wakajenga imani ya woga isiyo na utakatifu ndani yake hivyo hawana sifa ya kuingia mbinguni kama shetani zlivyokosa Sifa ya kukaa mbinguni.
Wazungu walipigwa sana na magaidi ndio maana sasa wanaona ni bora wawape nafsi wakae kwa amani na dini yao ili kuondoa kero ya kulipuliwa mara kwa mara . Ulaya Ukristo umebaki kwa mtu mmoja mmoja kwa nafsi yake na sio kama taasisi. Ulaya wamestarabika chini ya ukristo kama taasisi iliyojenga utu na heshima na ustaarabu wa hali ya juu sana , Kila mtu ana uhuru wa ama kwenda Mbinguni au Jehanam na sio kulazimishana .
 
Mtume alibahatika kupata watoto wa kiume watatu (3)
Abdallah
Ibrahim na
Kassim
alienyang'anywa mke ni yupi kati yao?
N.B Kumbuka hao watoto walifariki wakiwa chini ya miaka 5. Kwa hiyo ukija ujue jinsi ya kutunga.
Watoto wote kufa under 5 sio kubahatika huko matumizi mabaya ya lugha. Mtu mkubwa kama yule hakuwa masikini; hakushindwa kulisha familia yake wala matibabu! Inafikirisha sana! Mkwawe, ndengisivilii.
 
Unaongea nini wewe?

Yaani tatizo una kaunafiki fulani, unajifanya kutafuta Suluhu na kusawazisha mambo ilhali unaegemea kwenye mapenzi na uislamu wako

Hivi wakristu hii nchi tumedhulumiwa mara ngapi na waislamu na mamlaka zinakaa kimya tu?

Tusiende mbali Zanzibar tu hapo kila mwaka Wanadhalilisha wakristu na kuwatesa kipindi cha ramadhani je unakemeaga huo upande wa waislamu?
Halafu unakaa hapa unabwabwaja unasema wakristu tumeamua kuuhujumu uislamu, una akili vizuri wewe?
Hujiielewi hata kidogo

Asikusumbue,ukijua dhana nzima ya uislam na kile wanachokiabudu wala hauwezi kupata shida . Waislam hata Mungu atoe nafsi bure ya watu wote kuingia Peponi waislam watalalamika kuwa Wakristo wanapendelewa.
Ukisoma kisa cha Shetani ambaye alikua ni muislam namba moja na aliyesujudu kuliko hata Mohamad na kuitwa mwenye Sigda usoni utagundua kuwa wanayoyafanya waislam ndiyo yale yale aliyoyafanya shetani mpaka anafukuzwa peponi.

Yes ,kuna upendeleo toka kwa Mungu kwa mtu anayemwamini Yesu kwa moyo wake wote. Unajua wazungu wanaoishi ukristo ndio maana huwaoni wakikimbilia makanisani kama unavyoona huku Afrika watu wanajazana kwenye makanisa lakini ni washirikina ,wachawi ,wezi ,wala rushwa ,mafisadi ,wanatekana,wanaiba kura , wanafunga watu kwa kuwaonea , wa anaua maalbino, wana wabunge waongo , Wanashindwa kutoa huduma za Dialisis bure kwa wagonjwa wa Figo lakini wanatoa Pikipiki elfu 18 za rushwa kupata madaraka wakawatawale wale wanaokufa kwa kukosa huduma za afya,wanashindwa kutoa bima ya afya kwa wote wakati wananunua magari ya kifahari kwa fedha za umma wakati majumbani kwao wana magari yamepaki hayana hata wa kuyaandesha .Lakini hawa wanakimbilia kwa manabii wa wasio na chembe ya huruma , wanaojaza watu makumi elfu kwenye mikutano ya ibada huku wakiwa wanatenda kinyume kabisa na Ukristo na biblia .
Wa Afrika inabidi watubu kila saa ili wapate rehema na neema ya kristo maana anasema mtu akikukosea msamehe hata sana mara sabini kwa siku.
Lakini kwa matendo yao kamwe hakuna atakaye uona ufame wa Mungu.

Halikadhalika waarabu na waislam wanajazana kwenye misikiti na kuswali kutwa mara tano lakini roho zao hazijatakaswa hata chembe ndio maana akitokea mtu akaingia amelewa wanaweza wakamuua kwa kipigo na hasira . Maana yake ni kwamba mioyo yao haijatakasika pamoja na kuswali sana .
Hii ni kwa sababu wamekataa amri ya kumsujudia Adamu wa pili yaani Yeshua au Yesu kama Shetani wanayemwabudu alivyokataa kumsujudia Adamu wa kwanza kama alivyoamuru Mola wa akati huo kua kama mtihani kwa malaika na shetani akiwemo . Wote wakaainama mbele ya Adam isipokuwa shetani peke yake .
Mungu ameelekeza kuwa wafu wote wa apitie kwa Yesu na kumsujudia yeye kama mwana wa Mungu lakini waislam wamegoma . Hawana sifa ya kuingia mbinguni kama zlivyokosa Sifa yule mkuu wao wanayemfuata bila kujua
 
Watoto wote kufa under 5 sio kubahatika huko matumizi mabaya ya lugha. Mtu mkubwa kama yule hakuwa masikini; hakushindwa kulisha familia yake wala matibabu! Inafikirisha sana! Mkwawe, ndengisivilii.
Ilibidi waanze kujiuliza kutokea hapa kwanini haya yote yatokee kwake mtume wa Allah,wasichukue majibu mepesi ya wafanya tafsiri.
 
Jirani ni kakikitabu kadogo sana kama kitabu cha Zaburi tu . Ila inapotafsiriwa kwa lugha nyingine inaongezwa maneno mengi sana kama mifano na tafsiri za wanazuoni wa zama fulani na wanaosoma wanafungwa hapo hapo hakuna mwanazuoni wa leo anayerruhusiwa kuja na tafsiri yake hata kama ni ya kitafiti zaidi . Hii inasababisha watu kulaeimishana kwenda Jehanamu bila sababu au hata ni peponi lakini nadhani Hakuna mtu atakaye kwenda peponi kwa sababu ya woga na hofu ya kuogopa sheria kali .
Hii ni wazi Kule Mbinguni hatapokelewa mtu asiye mtakatifu wa moyo . Shetani alishaonyesha mfano mbaya wa kufika mbinguni kwa sababu ya kufuata sheria matokeo yake akaasi mana nafsi yake haikuwa inafuata sheria kwa hiari bali kwa kuhofu na uchungu huku ikiwa na chuki kwa wale wasiofanya anayoyafanya yeye .
Hata waumini wenzake na shetani leo mfano wakiwa wamefunga hawataki waaone mtu anakula . Roho zinawauma kwa hasira kali kuona mwingine anakula na kufukia hatua ya kumpiga mtu na kumjeruhi kwa sababu hajafanya jambo jema wanalofanya wao. Yaani kumpiga mtu ni thawabu zaidi kuliko kufunga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Sasa iko hivi.
Nchi zote duniani ni lazima Nuru iwaangazie kabla ya Kristo Kurudi duniani . China , Korea ,India , n.k Zote ni lazima Ukristo ufike na watampokea kwa imani kubwa za ana na furaha kuu itakua juu yao baada ya kutoka kwenye minyororo ya shetani .

Waarabu walishapokea Ukristo aliouacha Yesu mwanzoni sana lakini Adui akaja akapanda Magugu katikati ya ngano kama ulivyokuwa ndani ya Israel Yesu aikozaliwa. Huu uislam unaenea Ulaya ni kazi ya adui aliyeua Ukristo kuanzia kule Uturuki ,Misri ,Libya,Tunisia ,Moroco n.k . Wakajenga imani ya woga isiyo na utakatifu ndani yake hivyo hawana sifa ya kuingia mbinguni kama shetani zlivyokosa Sifa ya kukaa mbinguni.
Wazungu walipigwa sana na magaidi ndio maana sasa wanaona ni bora wawape nafsi wakae kwa amani na dini yao ili kuondoa kero ya kulipuliwa mara kwa mara . Ulaya Ukristo umebaki kwa mtu mmoja mmoja kwa nafsi yake na sio kama taasisi. Ulaya wamestarabika chini ya ukristo kama taasisi iliyojenga utu na heshima na ustaarabu wa hali ya juu sana , Kila mtu ana uhuru wa ama kwenda Mbinguni au Jehanam na sio kulazimishana .
Hatari sana!
 
Back
Top Bottom