Unaongea nini wewe?
Yaani tatizo una kaunafiki fulani, unajifanya kutafuta Suluhu na kusawazisha mambo ilhali unaegemea kwenye mapenzi na uislamu wako
Hivi wakristu hii nchi tumedhulumiwa mara ngapi na waislamu na mamlaka zinakaa kimya tu?
Tusiende mbali Zanzibar tu hapo kila mwaka Wanadhalilisha wakristu na kuwatesa kipindi cha ramadhani je unakemeaga huo upande wa waislamu?
Halafu unakaa hapa unabwabwaja unasema wakristu tumeamua kuuhujumu uislamu, una akili vizuri wewe?
Hujiielewi hata kidogo
Asikusumbue,ukijua dhana nzima ya uislam na kile wanachokiabudu wala hauwezi kupata shida . Waislam hata Mungu atoe nafsi bure ya watu wote kuingia Peponi waislam watalalamika kuwa Wakristo wanapendelewa.
Ukisoma kisa cha Shetani ambaye alikua ni muislam namba moja na aliyesujudu kuliko hata Mohamad na kuitwa mwenye Sigda usoni utagundua kuwa wanayoyafanya waislam ndiyo yale yale aliyoyafanya shetani mpaka anafukuzwa peponi.
Yes ,kuna upendeleo toka kwa Mungu kwa mtu anayemwamini Yesu kwa moyo wake wote. Unajua wazungu wanaoishi ukristo ndio maana huwaoni wakikimbilia makanisani kama unavyoona huku Afrika watu wanajazana kwenye makanisa lakini ni washirikina ,wachawi ,wezi ,wala rushwa ,mafisadi ,wanatekana,wanaiba kura , wanafunga watu kwa kuwaonea , wa anaua maalbino, wana wabunge waongo , Wanashindwa kutoa huduma za Dialisis bure kwa wagonjwa wa Figo lakini wanatoa Pikipiki elfu 18 za rushwa kupata madaraka wakawatawale wale wanaokufa kwa kukosa huduma za afya,wanashindwa kutoa bima ya afya kwa wote wakati wananunua magari ya kifahari kwa fedha za umma wakati majumbani kwao wana magari yamepaki hayana hata wa kuyaandesha .Lakini hawa wanakimbilia kwa manabii wa wasio na chembe ya huruma , wanaojaza watu makumi elfu kwenye mikutano ya ibada huku wakiwa wanatenda kinyume kabisa na Ukristo na biblia .
Wa Afrika inabidi watubu kila saa ili wapate rehema na neema ya kristo maana anasema mtu akikukosea msamehe hata sana mara sabini kwa siku.
Lakini kwa matendo yao kamwe hakuna atakaye uona ufame wa Mungu.
Halikadhalika waarabu na waislam wanajazana kwenye misikiti na kuswali kutwa mara tano lakini roho zao hazijatakaswa hata chembe ndio maana akitokea mtu akaingia amelewa wanaweza wakamuua kwa kipigo na hasira . Maana yake ni kwamba mioyo yao haijatakasika pamoja na kuswali sana .
Hii ni kwa sababu wamekataa amri ya kumsujudia Adamu wa pili yaani Yeshua au Yesu kama Shetani wanayemwabudu alivyokataa kumsujudia Adamu wa kwanza kama alivyoamuru Mola wa akati huo kua kama mtihani kwa malaika na shetani akiwemo . Wote wakaainama mbele ya Adam isipokuwa shetani peke yake .
Mungu ameelekeza kuwa wafu wote wa apitie kwa Yesu na kumsujudia yeye kama mwana wa Mungu lakini waislam wamegoma . Hawana sifa ya kuingia mbinguni kama zlivyokosa Sifa yule mkuu wao wanayemfuata bila kujua