Ukristu wazidi kuenea kwa kasi Indonesia

Hapa hatuokotezi vitu,tunaweka ukweli,kwaio kama ukweli ukikuuma kwamba Mohammad alioa mke wa mwanae wa kambo shauri yako au kama itazidi kukujenga kuisoma imani yako zaidi au uwe mfata mkumbo Sawa.

Mke wa mwanawe wa Kambi unajuwa wewe na kanisa lako , unajuwa Yesu alikamatwa na teenager wa kiume akiwa uchi huku chupi kaiweka begani katikati ya vichaka vya bustani ya Gesthemane utakataa ?
 
Hapa hatuokotezi vitu,tunaweka ukweli,kwaio kama ukweli ukikuuma kwamba Mohammad alioa mke wa mwanae wa kambo shauri yako au kama itazidi kukujenga kuisoma imani yako zaidi au uwe mfata mkumbo Sawa.

What in the world was Jesus doing with a naked kid at 4 am in a public garden? - Dr. Ammon Hillman
 
Adopted son wa Hadija mke wa Mtume na alilelewa na Hadija.
Tushike wapi kwa Sasa?
Mtoto wa Mtume
Mtoto wa kambo wa Mtume
Mtoto wa kulea wa Mtume au Mtoto wa kulea wa bi Khadija mke wa mtume?
Tuwekane sawa hapa kwanza kwa kuweka na ushahidi, halafu tuendelee. Si hasha ukatuambia ni mtoto wa kunyonya.
Maana makafiri mkishazibuliwa mitaro na wachungaji wenu baadhi ya fuse hua zinachomoka.
 
Hauna hoja...endelea kupigania dini kwa jihad

Huyu ni mungu wako anakamatwa na kijana wa kiume alfajiri vichakani akiwa na kijana uchi huku chupi kaiweka begani ?

What in the world was Jesus doing with a naked kid at 4 am in a public garden? - Dr. Ammon Hillman
 
Amekimbia hayo maswali hata hajui analoongea 😛 😛 😛 😛
 
Ishu ni kutamani na kuoa mke wa mwanae ,ishu sio mtoto wa nani sasa kama unabisha ili ubishe tuu hautaelewa
 
Ishu ni kutamani na kuoa mke wa mwanae ,ishu sio mtoto wa nani sasa kama unabisha ili ubishe tuu hautaelewa

Wewe kwishnei , endelea kuabudu mtu aliyekamatwa vichakani alfajiri akiwa na kijana uchi huku chupi kaiweka begani
 
View: https://youtu.be/rtWUdoR1Xco?si=U7vgcTFpzuG01fkY
 
Islam is the fastest growing religion in the world.

Hakuna dini inayokua kwa kasi zaidi ya waislam duniani.
Je, unajua maana ya 'Mubahala'? Soma qur'an 3:61, halafu soma qur'an 69:44-47 malizia kusoma Sahih al-Buhari 4428 "O' Aisha! I still feel the pain caused by the food I ate at Khaybar, and at this time, I as if my aorta is being cut from that poison" Maana yake ni kwamba Muhammad alikuwa mtume wa uongo! Ndugu zangu, badilikeni achaneni na dini ya uongo!
 
Bi Tuma ,UNAWEZA KUTUPA CHAIN YA HIYO HADITHI UNAYOSEMA +???

Kwa nini umeshindwa kuziweka hizo aya za Quran umeweka hadithi tu

KWANI JESUS ALIKUWEPO ???
 
Bi Tuma ,UNAWEZA KUTUPA CHAIN YA HIYO HADITHI UNAYOSEMA +???

Kwa nini umeshindwa kuziweka hizo aya za Quran umeweka hadithi tu

KWANI JESUS ALIKUWEPO ???
Yesu alikuwepo ushahidi ni mwingi kwani hata watawala wa Uyahudi wakati huo Warumi waliandika katika nyaraka zao za kiserikali habari za Yesu. Ndiyo maana hata Petro na Paulo walishitakiwa na kuhukumiwa Roma kwa kumkiri na kumtangaza Yesu mfufuka! Je, mtawala gani aliyeandika habari za Muhammad? Walichofanya wakina Abu Bakr, Omar na Uthman ni kujitangaza kuwa wao ni 'MHMD' yaani wapendwa na ni wateule Mungu, hiyo ndiyo maana ya neno hilo kwa ki- Aramaic.
 
Attachments

  • Screenshot_20240903-131136~2.jpg
    33.4 KB · Views: 2
Huyu ni mungu wako anakamatwa na kijana wa kiume alfajiri vichakani akiwa na kijana uchi huku chupi kaiweka begani ?

What in the world was Jesus doing with a naked kid at 4 am in a public garden? - Dr. Ammon Hillman
Biblia gani uliyosoma wewe, nipe sura na aya!
 
Jagina, huo ni upotoshaji acha mara moja! ACHENI KUNUKUU AYA MOJA MOJA ILI KUPOTOSHA WATU, SOMA KITU KIZIMA- YESU ANAONGEA NA ASKARI WALIOKWENDA KUMKATA WAKATI AKIWA NA WANAFUNZI WAKE KULE GETSEMANI:
Mar 14:49 Kila siku nalikuwa mbele yenu hekaluni nikifundisha, msinikamate; lakini haya yamekuwa ili maandiko yapate kutimia.
Mar 14:50 Ndipo wakamwacha, wakakimbia wote.
Mar 14:51 Na kijana mmoja alimfuata, amejitanda mwili wake nguo ya kitani; wakamkamata;
Mar 14:52 naye akaiacha ile nguo ya kitani, akakimbia yu uchi.
Mar 14:53 Nao wakamchukua Yesu kwa Kuhani Mkuu; wakamkusanyikia wote, wakuu wa makuhani na wazee na waandishi.
Mar 14:54 Naye Petro akamfuata kwa mbali, hata ndani katika behewa ya Kuhani Mkuu; akawa ameketi pamoja na watumishi, anakota moto mwangani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…