Ukristu wazidi kuenea kwa kasi Indonesia

Mnamuaminu vipi Omar na wenzake kama hawajaweka maneno na mawazo yao kwenye kuluwani?
 
Watu hadi wanaandika vitabu vingine vya uongo maana yake Allah kashindwa kulinda
 
Unajua maana ya Hadith!?
Hadith ni MTUME KASEMA.
Hii ni falls narration unaniletea hapa.
Embu kasome Hadith ni nini kwanza.
Hiyo ni Sirah,na Sirah haisimuliwi na kina Bukhari kijana.
 
Unajua maana ya Hadith!?
Hadith ni MTUME KASEMA.
Hii ni falls narration unaniletea hapa.
Embu kasome Hadith ni nini kwanza.
Hiyo ni Sirah,na Sirah haisimuliwi na kina Bukhari kijana.
Leta ushahidi wa mtume kusema alimuoa Aisha akiwa na miaka 9
 
Watu hadi wanaandika vitabu vingine vya uongo maana yake Allah kashindwa kulinda
Kitendo Cha vitabu vya uongo kujulikana ni dhahiri kuwa UKWELI UNA NGUVU na Melinda ukweli ni huyo huyo Allah.
Kama Allah angeshindwa kuilinda basi hadi leo watu wasingeweza kutofautisha baina ya andiko la ukweli na uongo.
 
Mnamuaminu vipi Omar na wenzake kama hawajaweka maneno na mawazo yao kwenye kuluwani?
Kwa nini waweke maneno yao!?
Hakuna mahala ambapo Qur'an inaeleza maslahi ya mtu yeyote.
Ingekua Kuna pahala panaonesha Omar zimepenyezwa interest zake basi ningesema ni sahihi pamepenyezwa vitu.
 
Mwambie tu hata marekani na chuki zao dhidi ya uislam wanailinda makka kwa njia ya moja kwa moja au ya mkato
 
Acheni kupotosha watu,Quran Haina hayo maandishi uliyoyaweka wewe....Quran ndo kitabu pekee ambacho Huwezi kufananaisha na kitabu chochote.
Hujawahi kuisoma Wuran,hebu Fanya utenge muda uisome kwa Akili tulivu kisha uje tena hapa
 
Nifiche nini na kwaniniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we vipi jamaa!?
Kwani mnapotoa hizo taarifa ni wapi!?
Huko huko tafuteni na hiko kitabu.
Hizo taarifa tunazokuletea unazipinga tunataka utuletee wewe unazozithibitisha halafu unatupa kazi tena ya sisi kutafuta..
Mwanangu achana na uislamu ni SCAM
 
Akimleta unitag
The Prophet Muhammad (Peace and Blessings be upon him) married his adopted son’s ex-wife because in Islam, an adopted child is not seen as your actual child. When the Prophet (Peace and Blessings be upon him) adopted Zaid, he named him Zaid Ibn Muhammad, but Allah did not condone this, because in Islam, the lineage of a person is protected. Later on, Zaid and Zainab chose to get divorced, and Allah enforced this idea even more (that your adopted son is not your actual son) by ordering the Prophet (Peace and Blessings be upon him) to marry her.
 
Hizo taarifa tunazokuletea unazipinga tunataka utuletee wewe unazozithibitisha halafu unatupa kazi tena ya sisi kutafuta..
Mwanangu achana na uislamu ni SCAM
Unajielewa wewe!?
Mfano mtu akakwambia nenda katafute kitabu fulani hiyo ni kazi!??
Are you fucking out of your mind!?
Ila ungeambiwa ukatafute kitu kwenye biblia ungeshindwa!??
Umetajiwa kitabu nenda katafute unaanza kuleta excuses!?
 
Hongera sana kwa kupiga hatua kufikisha 11% ya waumini indonesia, japo uko ulaya uliko anzia kanisa zinabadilishwa kua misikiti kwa kasi ila sio mbaya ukristu utabaki kuenea sambamba na rate za illiteracy and ignorence katika nchi husika.
Ulaya ni migrants wakimbiz wakiislamu ndio waislamu na wanahamia kwa wingi kinyama ila nchi za kiislamu ni waislamu ndio wanaobadili dini huku wakijua kifo kitawahusu ,kutengwa na jamii na kadhalika nina heshima kubwa sana kwa wakristo waliopo nchi za kiislamu
 
AiseeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Wewe ulipoenda kutafuta uongo ulioleta umeshindwa kwenda kutafuta hiko kitabu!??
Au unatafuta pa kujifukia!?
Mimi nmejitahidi hata ku copy kuleta wewe haujafanya hivyo
 
Acheni kupotosha watu,Quran Haina hayo maandishi uliyoyaweka wewe....Quran ndo kitabu pekee ambacho Huwezi kufananaisha na kitabu chochote.
Hujawahi kuisoma Wuran,hebu Fanya utenge muda uisome kwa Akili tulivu kisha uje tena hapa
Pia Quran haijawahi kusema uswali swala 5 hoja je unabisha Mohammad alimuoa mtoto wa miaka 6 na kumapanda akiwa na miaka 9?
 
C&P πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Zaid ni mtoto aliyelelewa na mtume,ila uislam sio tu Kwa mtume bali uislam Kwa ujumla unaridhia kumlea mtoto ila HAURUHUSU UMPE MTOTO JINA LAKO.
Huko ni sawa na kukata ubini wa aliyemzaa hiyo hairuhusiwi.
Zainab hakutalikiana na Zaid bali Zaid alifariki.
Baada ya Zaid kufariki mtume ndio akamuoa Zainab.

C&P mkipata madude mnayapachika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…