Ukristu wazidi kuenea kwa kasi Indonesia

Ukristu wazidi kuenea kwa kasi Indonesia

Umalaya kafanya mtume muhammad maana alikua anabaka wanawake baada ya kuua waume zao pia aliruhusu umalaya.
Mut'ah is a concept that appears in the Quran. Verse 24 of surah 4 explains that a man and a woman can enter a temporary marriage-like relationship. The relationship must be agreed upon in advance, and the woman must receive financial compensation.
Mutah ni ndoa za uongo na uzushi walizoleta mashia.
Usiongope aisee,hiyo verse 24 Qur'an 4 ilikua inasema "Kwa wale waliokamatwa vitani sio ruhusu kuwazini na kuwatumia kingono,kama mkiwaridhia waombeni ruhusa na muwalipie mahari zao Kesha muwaoe ndoa halali'.
Umepuyanga Tena kijana loooh!
Screenshot_2024-11-14-16-21-10-53_9c8f038911ec651d7a588d16d22aeb03.jpg
 
Kama dini ya Allah watu wanajilipua kuitetea sembuse hivi inavyowekwa wazi uongo wake ukae kimya! Wewe sio Abdool
Ni mpuuzi tu anaejiripua kwaajili ya kutetea uislam sababu ya kwanza Allah kakataza kujidhuru wewe na wengine pia kakataza kulazimishana kwenye dini
 
Ni mpuuzi tu anaejiripua kwaajili ya kutetea uislam sababu ya kwanza Allah kakataza kujidhuru wewe na wengine pia kakataza kulazimishana kwenye dini
Huyu na yule mwenzake wanaongea Kwa hearsay hearsay.
Yani ni fata mkumbo,wakisikia jambo masikio waru.
Ila waulize swali kuhusu walichokileta hapa wataruka futi buku na hawatakua na majibu.
 
Huyu na yule mwenzake wanaongea Kwa hearsay hearsay.
Yani ni fata mkumbo,wakisikia jambo masikio waru.
Ila waulize swali kuhusu walichokileta hapa wataruka futi buku na hawatakua na majibu.
Yaani mwanzo nliwaona wana hoja kumbe hawajui vingi hawa majamaa weupeeee
 
Mutah ni ndoa za uongo na uzushi walizoleta mashia.
Usiongope aisee,hiyo verse 24 Qur'an 4 ilikua inasema "Kwa wale waliokamatwa vitani sio ruhusu kuwazini na kuwatumia kingono,kama mkiwaridhia waombeni ruhusa na muwalipie mahari zao Kesha muwaoe ndoa halali'.
Umepuyanga Tena kijana loooh!View attachment 3152280
Yani mtu umuue mme wake na familia yake halafu akubali umuoe? Embu fikiria vizuri, halafu Shia hawajandika Quran na Shia hadi leo wanafanya ichi kitu kwa maana kipo kwenye Quran na wao hawana kosa maana nyeupe ni nyeupe kwao
 
Kampeni ya Kiislamu ya mitandao ya kijamii inayojulikana kama #SaveMaryam inakuza ufahamu wa kuenea kwa Ukristo kote Indonesia - na inatumia takwimu na taarifa zenye utata kufanya hivyo. Meneja wa kampeni hiyo alisema kuwa Waislamu milioni 2 wanabadili dini na kuwa Wakristo kila mwaka nchini humo. Aliongeza kuwa Indonesia itakoma kuwa taifa lenye Waislamu wengi ifikapo 2035.

Wakosoaji na watoa maoni wameshutumu timu ya kampeni hiyo kwa kutisha, kuleta mvutano wa kidini usio wa lazima, na kutoa taarifa zisizo sahihi ili kukusanya fedha zaidi kwa ajili ya shughuli zao. Indonesia inajivunia idadi kubwa zaidi ya Waislamu duniani, ikiwa na Waislamu zaidi ya milioni 212.

Takwimu rasmi zinakadiria kuwa karibu 11% ya idadi ya watu ni Wakristo. Hata hivyo, viongozi kadhaa wa makanisa ya Indonesia wanaamini kuwa hii ni dharau kubwa, ikiweka idadi halisi ya Wakristo kati ya 20% na 30% ya idadi ya watu.

Vyovyote takwimu sahihi, kilicho wazi ni ugumu wa kupindukia Wakristo wa Indonesia wanakabiliana nao, hasa wale wanaobadili Uislamu na kuwa Wakristo. Familia za Kiislamu mara nyingi huwakana watoto wao ambao wanakuwa Wakristo.

Ni vigumu zaidi kwa Mwislamu kubadili Ukristo katika jimbo la Aceh, ambalo linafuata sheria za Kiislamu.

=================

An Islamic social media campaign known as #SaveMaryam is raising awareness of the spread of Christianity throughout Indonesia — and it’s using controversial statistics and statements to do so.

The campaign’s manager stated that 2 million Muslims convert to Christianity every year in the country. He added that Indonesia would cease to be a predominantly Muslim nation by 2035.

Critics and commentators have accused the campaign’s team of being alarmist, creating unnecessary religious tension, and giving inaccurate information to raise more funds for their activities.

Indonesia boasts the largest Muslim population in the world, with more than 212 million Muslims. Official figures estimate that about 11% of the population are Christians. However, several Indonesian church leaders believe this is a huge underestimation, placing the actual number of Christians between 20% and 30% of the population.

Whatever the correct figure, what is clear is the extreme hardship Indonesian Christians face, particularly those who convert from Islam to Christianity. Muslim families often disown their children who become Christians. It’s even more difficult for a Muslim to convert to Christianity in the province of Aceh, which follows Islamic law.
Huu ni mwanzo tu na Bado
 
Yani mtu umuue mme wake na familia yake halafu akubali umuoe? Embu fikiria vizuri, halafu Shia hawajandika Quran na Shia hadi leo wanafanya ichi kitu kwa maana kipo kwenye Quran na wao hawana kosa maana nyeupe ni nyeupe kwao
Nikikuita wewe ni kichaa nakosea!??
Katika hiyo Qur'an 4 verse 24 Kuna sehemu imeandikwa ndoa za mutah!??
Naomba unioneshe sehemu iliyoandikwa Mutah katika hiyo verse.

Pia nani kakwambia Kila wanachofanya shia kipo katika Qur'an!?
Una ushahidi huo au unaropoka tu!?

Unausemea moyo!?
Hilo linawezekana tena sana tu mtu ukamuulia mumewe na akakubali kuolewa na wewe.
Na ndio maana hiyo Qur'an 4 verse 24 imesema "msiwalazimishe wala kuwatumia kingono,waombeni ruhusa zao wakikubali lipeni mahari muwaoe kihalali".
Hivi umeelewa maana ya hayo maelezo!?
Ni sawa unaambiwa na babaako,"usiende nje kucheza Hadi uombe ruhusa Kwa mamaako,akikubali na akiridhia basi toka nenda kacheze".
Aiseeee😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Katika hali ya kawaida hamna mtu anaekubali uue familia yake yote na jamii yake halafu akubali umuoe,sheikh hapo kulikua ni kubaka tuu kama tunavyoona kule Congo na sehemu zingine mateka wakike wakivita wakibakwa
 
We jamaa embu tuliza akili usiwe kama fala.
UISLAM HAUKULAZIMISHA HAO WATU WAOLEWE.
NI ANGALIZO LIMETOKA KUWA HAO WANAWAKE AMBAO WAMEPATIKANA KUTOKANA NA VITA WASIGUSWE WALA WASINAJISIWE,KAMA MTU ANAWATAKA AENDE AKAWAOMBE RUHUSA,AKIKUBALIWA SAWA ATOE MAHARI AOE AKIKATALIWA AONDOKE.
INAMAANA HURUHUSIWI KUWAGUSA KAMA HAWAJAKUPA RUHUSA.

HUO UBAKAJI UNATOKA WAPI!??
Mbona unakua na akili za kipumbavu we jamaa!?

Halafu pia usipotoshe,vita inapiganwa na askari wanaume Kwa wanaume.
Sasa suala la kusema kuua familia yake yote inatokea wapi!?
 
Ukiisikiliza Quran inavyoimbwa unaweza ukaona ni kitu cha maana,ila soma na kuielewa ndio utaona utani wake maana humo utakutana na Mzee wa miaka 53 anaoa mtoto wa miaka 6,utaona mzee anachukua mke wa mwanae na kumuoa yani ni tofauti na kile unachokiona juu juu ukihadithiwa, na wengi wao kutokana na Ile lugha iliyoandika Quran hawaelewi kilichopo mle wao wanawasikiliza hawa Wafanya tafsiri.
Kwenye Qur'an kuna aya hiyo?! unaweza kuileta hapa ukatuwekea?! ukishindwa laiti tungekuwa kwenye known world ningejitolea kuja kukurusha kichura mbele za watu nikufundishe adabu kwa niaba, shukuru anonymity.
 
Back
Top Bottom