Ukristu wazidi kuenea kwa kasi Indonesia

Ukristu wazidi kuenea kwa kasi Indonesia

Hakuna taasisi ya kiislam Indonesia inaitwa sameMaryam, badala yake ni mtandao wa kikiristo ambao umejaa kebehi kuhusu dini ya kiislam huko Indonesia, Indonesia ni miongoni mwa top 10 muslim countries in the world, na kwa mujibu wa sensa ya mwisho iliyofanywa Indonesia ina waislamu 88.25%. population ya Indonesia ni 275,000,000 ambapo idadi ya waislam ni 242,700,000

Wasiokuwa waislam Indonesia ni 11% pekee na kwa mujibu wa taarifa yako hapa jf kwamba kila milioni 2 kila mwaka waislam wanabadili dini indonesia ni uongo na kwamba Indonesia ingekuwa imeondoka kwenye list ya top 10 kitambo sana. Hakuna muindonesia ambaye ni mkiristo duniani hadi sasa hiyo 11% ni kwa wageni waishio hapo Indonesia tu.

Usijaribu kuuchukia uislamu kwa hisia zako ukadhani uislam utatetereka. never..!
Thibitisha kuwa wanaobadili dini milioni 2 ni uongo

Na huo mtandao wa #SaveMaryam ni mtandao wa kiislamu ndo uliotoa takwimu hizo wanaharakati wa kikristu ndo wanapinga hizo 11% badala yake waweke takwimu wazi ambazo makadirio ni 20-30%
 
Kunyooka kwa kuluwani ndo huko kuruhusu kupiga wake zenu?
Kunyooka kwa kuluwani ndo huko kutumia lugha moja tu?
Kunyooka kwa kuluwani ndo huko kuruhusu kuwaua wanaoacha uislamu?
Kunyooka kwa kuluwani ndo huko kuruhusu kuwaua wasioamini?
Kunyooka kwa kuluwani ndo kufuata sunna ya kuoa katoto ka miaka 6???

Hivi mnajisoma kweli
Haya uloyasema hayapo kwenye qur an unaelewa maana ya kupiga
 
Ndiyo maana wanashtakiwa kwa makosa ya ukatili dhidi ya watoto,hao sio mitume wala manabii. Mohamed alikua nabii,mtu wa mfano kuigwa kwenye ulimwenguni wa waislamu .

Matendo yake mnayaishi mpaka leo(sunna za mtume),ndiyo maana hata sheria ya ndoa Tanzania imekuwa ngumu kuibadilisha. Waislam wanakomaa watoto kuanzia miaka 12 waolewe,huku serikali ikitaka iwe ni miaka 18.

Wewe unaweza kumuoza binti yako wa miaka 6 kwa babu wa miaka 53? Huo ndiyo ulikua umri wa Mohamed wakati anamuoa Aisha . Amekuja kumla akiwa na miaka 9 ,binti wa miaka 9 kweli!!!!!
Huyu ni miongoni mwa mabinti waliodhalilishwa zaidi katika historia ya mwanadamu.

In fact dunia inatakiwa iwe na siku ya kimataifa ya "Save Aisha" kuwakumbuka mamilioni ya mabinti wadogo wanaodhalilishwa duniani kote kuanzia huko Afghanistan.
 
Thibitisha kuwa wanaobadili dini milioni 2 ni uongo

Na huo mtandao wa #SaveMaryam ni mtandao wa kiislamu ndo uliotoa takwimu hizo wanaharakati wa kikristu ndo wanapinga hizo 11% badala yake waweke takwimu wazi ambazo makadirio ni 20-30%
nimekupa facts tayari, labda hao milioni 2 ni kutoka katika ukiristu wanarudi zao katika uislamu, hakuna muindonesia ni mkiristu. hakuna. saveMaria ni matandao wa kikiristu ambao munaaminishwa propaganda kukebehi dini ya kiislam

Theluthi mbili ya Waislamu wote duniani wanaishi katika nchi 10 duniani. Kati ya nchi hizo 10, sita ziko Asia (Indonesia, Pakistan, India, Bangladesh, Iran na Uturuki), tatu ziko Afrika Kaskazini (Misri, Algeria na Morocco) na moja iko Kusini mwa Jangwa la Sahara (Nigeria).
 
Ukristo na uislam haufai. Ni mapacha wakoloni na usenzi wa kawaida kwa wenye akili timamu na wanajua ulivyotuharibu na kutudhulumu
 
Weeh weeeh ulisema Qur'an hukusema Hadith.
Na pia hayo maelezo ni ya Sirah sio Hadith umeshafeli.
Mtume alimuoa Bi.Aisha akiwa na miaka 9,na inasemekana zama za zamani mabinti walikua wanawahi kuvunja ungo na walikua na maumbile ya ukuaji wa haraka.
Na alimlea Bi Aisha mbaka akamaliza balehe ndio alipoanza kumchukulia mke wa moja kwa moja.

Aya Lete ushahidi wa mtume kumbaka Zainab na kumuoa mke wa mwanawe,na huyo ni mwanawe yupi embu mtaje jina!??

Nasubiri ushahidi toka kwako ambao unatenganisha uislam na uarabu
 
nimekupa facts tayari, labda hao milioni 2 ni kutoka katika ukiristu wanarudi zao katika uislamu, hakuna muindonesia ni mkiristu. hakuna. saveMaria ni matandao wa kikiristu ambao munaaminishwa propaganda kukebehi dini ya kiislam

Theluthi mbili ya Waislamu wote duniani wanaishi katika nchi 10 duniani. Kati ya nchi hizo 10, sita ziko Asia (Indonesia, Pakistan, India, Bangladesh, Iran na Uturuki), tatu ziko Afrika Kaskazini (Misri, Algeria na Morocco) na moja iko Kusini mwa Jangwa la Sahara (Nigeria).

Mngeweza hata hawa walioko Tanzania mngewabeba mkawamwage huko.
 
Umgenipa aya inayokataza kwanza sababu kitu kama hakijakatazwa kwenye uislam hakina shida hicho na ndio maana kinafanywa

Kwa hiyo kuvuta sigara kwa vile hakujakatazwa kwenye uislam hakuna shida. Ndiyo maana maustadh/a wanajipigia tu fegi

ndengisivilii
 
Back
Top Bottom