imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Ukatili dhidi ya Watoto lakini ni kawaida ya Maayatolah.Akaa jamani
Kwahiyo Aisha alikuwa kama hivi
😢
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukatili dhidi ya Watoto lakini ni kawaida ya Maayatolah.Akaa jamani
Kwahiyo Aisha alikuwa kama hivi
😢
Thibitisha kuwa wanaobadili dini milioni 2 ni uongoHakuna taasisi ya kiislam Indonesia inaitwa sameMaryam, badala yake ni mtandao wa kikiristo ambao umejaa kebehi kuhusu dini ya kiislam huko Indonesia, Indonesia ni miongoni mwa top 10 muslim countries in the world, na kwa mujibu wa sensa ya mwisho iliyofanywa Indonesia ina waislamu 88.25%. population ya Indonesia ni 275,000,000 ambapo idadi ya waislam ni 242,700,000
Wasiokuwa waislam Indonesia ni 11% pekee na kwa mujibu wa taarifa yako hapa jf kwamba kila milioni 2 kila mwaka waislam wanabadili dini indonesia ni uongo na kwamba Indonesia ingekuwa imeondoka kwenye list ya top 10 kitambo sana. Hakuna muindonesia ambaye ni mkiristo duniani hadi sasa hiyo 11% ni kwa wageni waishio hapo Indonesia tu.
Usijaribu kuuchukia uislamu kwa hisia zako ukadhani uislam utatetereka. never..!
Haya uloyasema hayapo kwenye qur an unaelewa maana ya kupigaKunyooka kwa kuluwani ndo huko kuruhusu kupiga wake zenu?
Kunyooka kwa kuluwani ndo huko kutumia lugha moja tu?
Kunyooka kwa kuluwani ndo huko kuruhusu kuwaua wanaoacha uislamu?
Kunyooka kwa kuluwani ndo huko kuruhusu kuwaua wasioamini?
Kunyooka kwa kuluwani ndo kufuata sunna ya kuoa katoto ka miaka 6???
Hivi mnajisoma kweli
Kwamba hawakusikia qur an ama umeisoma hio suraMajini Yana surah nzima yanaongea yao
Huyu ni miongoni mwa mabinti waliodhalilishwa zaidi katika historia ya mwanadamu.Ndiyo maana wanashtakiwa kwa makosa ya ukatili dhidi ya watoto,hao sio mitume wala manabii. Mohamed alikua nabii,mtu wa mfano kuigwa kwenye ulimwenguni wa waislamu .
Matendo yake mnayaishi mpaka leo(sunna za mtume),ndiyo maana hata sheria ya ndoa Tanzania imekuwa ngumu kuibadilisha. Waislam wanakomaa watoto kuanzia miaka 12 waolewe,huku serikali ikitaka iwe ni miaka 18.
Wewe unaweza kumuoza binti yako wa miaka 6 kwa babu wa miaka 53? Huo ndiyo ulikua umri wa Mohamed wakati anamuoa Aisha . Amekuja kumla akiwa na miaka 9 ,binti wa miaka 9 kweli!!!!!
Unaweza ukasema wapi kwenye Quran mmeambiwa mswali swala 5?
Hata hizo Qur'an ziko nyingi ingawa wenyewe wanasema ni moja tu. Kuna Hafs, Warsh, Samarkand, Sana'a, n.k. zikitajwa zote ni zaidi ya 30. Je, zote hizo ni neno kwa neno?
View: https://youtu.be/9y7eWEjBBw4?si=3WpYHoe4u_6U00kB
Pia tupe aya inayokatazaOngezea na swali hili pia.
Ni wapi wameandika kwenye kuruwan kwamba mnapo swali hizo swala tano, ni lazima muwashe ma loudspeakers na kuanza kusumbua wengine?
CC: Kosugi Bwana Utam please tunaomba ufafanuzi.
nimekupa facts tayari, labda hao milioni 2 ni kutoka katika ukiristu wanarudi zao katika uislamu, hakuna muindonesia ni mkiristu. hakuna. saveMaria ni matandao wa kikiristu ambao munaaminishwa propaganda kukebehi dini ya kiislamThibitisha kuwa wanaobadili dini milioni 2 ni uongo
Na huo mtandao wa #SaveMaryam ni mtandao wa kiislamu ndo uliotoa takwimu hizo wanaharakati wa kikristu ndo wanapinga hizo 11% badala yake waweke takwimu wazi ambazo makadirio ni 20-30%
Weeh weeeh ulisema Qur'an hukusema Hadith.
Na pia hayo maelezo ni ya Sirah sio Hadith umeshafeli.
Mtume alimuoa Bi.Aisha akiwa na miaka 9,na inasemekana zama za zamani mabinti walikua wanawahi kuvunja ungo na walikua na maumbile ya ukuaji wa haraka.
Na alimlea Bi Aisha mbaka akamaliza balehe ndio alipoanza kumchukulia mke wa moja kwa moja.
Aya Lete ushahidi wa mtume kumbaka Zainab na kumuoa mke wa mwanawe,na huyo ni mwanawe yupi embu mtaje jina!??
Pia tupe aya inayokataza
nimekupa facts tayari, labda hao milioni 2 ni kutoka katika ukiristu wanarudi zao katika uislamu, hakuna muindonesia ni mkiristu. hakuna. saveMaria ni matandao wa kikiristu ambao munaaminishwa propaganda kukebehi dini ya kiislam
Theluthi mbili ya Waislamu wote duniani wanaishi katika nchi 10 duniani. Kati ya nchi hizo 10, sita ziko Asia (Indonesia, Pakistan, India, Bangladesh, Iran na Uturuki), tatu ziko Afrika Kaskazini (Misri, Algeria na Morocco) na moja iko Kusini mwa Jangwa la Sahara (Nigeria).
Ni kufru dhambi na haifaiKuongeza kitu ambacho hakimo kwenye msaafu ni sawa?
Ni kufru dhambi na haifai
Leta Aya ilo katazaSwala 5 na kuweka ma loudspeaker pia ni kufru kubwa haifai
Leta Aya ilo kataza
Umgenipa aya inayokataza kwanza sababu kitu kama hakijakatazwa kwenye uislam hakina shida hicho na ndio maana kinafanywaKwanza aya ya kuunga mkono hiyo swala 5 na maspika
Umgenipa aya inayokataza kwanza sababu kitu kama hakijakatazwa kwenye uislam hakina shida hicho na ndio maana kinafanywa
Uislamu umekataza kitu cha haramu ukakataza na kila kitu chenye kudhuru afya uislam haujaacha kituKwa hiyo kuvuta sigara kwa vile hakujakatazwa kwenye uislam hakuna shida. Ndiyo maana maustadh/a wanajipigia tu fegi
ndengisivilii