Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo tatizo liko wapi? Nimesema ukweli uliopo kuna vitabu vingi sana vya ukristo tunafuata mafundisho yake yapo sawa kabisa na Quran. Fanya utafiti hio sio kazi yanguSidhani kama wewe ni muislamu hakuna muislamu mwenye mtazamo kama wako
Hiyo 65% munayo kwenye akili zenu tu, lakini likija pendekezo sensa ya watu na makaazi waulizwe watu kuhusu dini wakiristo pekee Tanzania ndio wanapinga hilo swali lisiulizwe? unajiuliza kwanini wao tu ndio wanapinga? hiyo 65% ndio idadi ya Waislam Tanzania.Tanzania 65% ni Christians, ruling system inaongozwa na Muslims sasa na ndiyo wenye ubavu wa kwenye sensa kuwekwe yapi kutolewe yapi, kama una akili japo kidogo angalia population kwa kila zone utagundua maeneo ambayo ni predominantly Christians ndiyo by far yenye population kubwa, a simple and easy statistical check will give you the answers.
Kwa hiyo ukristo haukui,,umekaaa tuu unawasubiri nyie,,,can't your brain think wisely??Kama Christian ni billion 2.4 na Islam ni Billion 1.9 na bado Islam ndo dini inayokua kwa kasi duniani hadi sasa ni wazi kabisa Islam wanakuja kufanya domination
He kumbe hapa Tz kuna sehemu wanaishi waisilam tu na wote ni maskini na sehemu nyingine wanaishi wagaratia tu na wote ni matajiri?😀😀 kwakweli mm ndo mara ya kwanza nasikia aisee.Tanzania maeneo ya kimasikini wamejaa watu wa imani ipi?
Africa subcontinent masikini ni watu wa imani ipi?
Dunia yote- Europe, America,Asia & Africa, hebu ingia kwenye Google ufute ujinga kidogo.
KAma marekani Haina dini,, umesahau hoja za Trump kipindi Cha uchaguzi wa 2020 kuwa ni kupambana na ""Islamic terrorists ""Marekani haina dini bali ni taifa lenye mchanganyiko wa watu wa asili,dini, tamaduni mbali mbali kutoka duniani kote.
Alafu kinacho fanya nchi inapata maendeleo ni sera nzuri ya nchi husika na si kwa sababu ya dini wanayo iamini, kuwa na akili.
Marekani haina dini bali ni taifa lenye mchanganyiko wa watu wa asili,dini, tamaduni mbali mbali kutoka duniani kote.

He kumbe hapa Tz kuna sehemu wanaishi waisilam tu na wote ni maskini na sehemu nyingine wanaishi wagaratia tu na wote ni matajiri?😀😀 kwakweli mm ndo mara ya kwanza nasikia aisee.
Sasa mbona kati ya mikoa 10 iliyo jaa umasikini hapa Tz mikoa 7 yote ni ile iliyo jaa wagaratia?
Waisilam hapa Tz wanadhibiti kila sehemu nyeti, kama ulikuwa hujui ni kuwa asilimia 80 ya uchumi wa Tz unamilikiwa na waisilam , ndo wamedhibiti sekta zote za kibiashara kuanzia ,viwanda,usafirishaji,michezo na burudani wakati nyinyi wagaratia wengi wenu mnategemea kuishi kwa uchawa na kuwa vibarua kwenye viwanda na makampuni ya hao waisilam.
Waisilam ndo walipa kodi wakubwa ambayo inaiwezesha serikali kuwalipa wagaratia walio jazana kwenye utumishi wa uma walio upata kwa vyeti feki na kiundugu.
Alafu kingine waisilam walioko kusini mwa jangwa la sahara ni wachache sana ni% 29 tu walio baki wote ni wagaratia lakini kusini mwa jangwa la sahara ndo sehemu iliyo jaa umasikini kuliko eneo lolote hapa ulimwenguni.
Natumaini utaacha kubisha vitu usivyokuwa na taarifa navyonimekupa facts tayari, labda hao milioni 2 ni kutoka katika ukiristu wanarudi zao katika uislamu, hakuna muindonesia ni mkiristu. hakuna. saveMaria ni matandao wa kikiristu ambao munaaminishwa propaganda kukebehi dini ya kiislam
Theluthi mbili ya Waislamu wote duniani wanaishi katika nchi 10 duniani. Kati ya nchi hizo 10, sita ziko Asia (Indonesia, Pakistan, India, Bangladesh, Iran na Uturuki), tatu ziko Afrika Kaskazini (Misri, Algeria na Morocco) na moja iko Kusini mwa Jangwa la Sahara (Nigeria).
Naunga mkono hojaNchi nyingi zenye ukristo wanatamani kuonja kua waislamu na nyingi zenye waislamu wanatamani kuonja ukristo ni vile sheria sio rafiki .
Kiufupi ni pipa na mfuniko tu.
Unachokisema nakieleaa vizuri sana na najua ni ukweli mtupu ila tu hiyo mentality uliyo nayo hakuna muislamu mwenye nayo ndo maana nakushangaa weweSasa hapo tatizo liko wapi? Nimesema ukweli uliopo kuna vitabu vingi sana vya ukristo tunafuata mafundisho yake yapo sawa kabisa na Quran. Fanya utafiti hio sio kazi yangu
Uwongo mwingine,mnajifunza wapi wenzetu kudanganya hadharani bila haya?Walimu wenu wa madrasa hawafundishi historia halisi ya dini yenu . Unajua kwamba hii Quran unayosema haijawahi badirika toka enzi za Mohamed (Hafs) ili rasmishwa mwaka 1924? Kabla ya hapo hamkuwa na kitabu, ashukuriwe mfalme wa misri na Al Azhar university.
Dunia nzima nchi zinazohudumu kikristu hazifiki TanoNaunga mkono hoja
Hizo nchi sio za kidini,,Ila ukristo ndio dominant na powerful religion mbona huna uelewaDunia nzima nchi zinazohudumu kikristu hazifiki Tano
Ni Vatican, san Marino, jamhuri ya Dominika na Armenia labda timor Leste na hizo hazina muislamu hata mmoja labda wageni Sasa taja nchi nyingine za kikristu unazozijua wewe ambapo raia wake wanaotamani kuwa waislamu
Maana uingereza, ujerumani, marekani, ufaransa, ubelgiji, uholanzi sio nchi za kikristu na hazina dinu
Hebu type data ya waislamu kwenye hizo nchi hapo tuone,,,msi force Hana.Dunia nzima nchi zinazohudumu kikristu hazifiki Tano
Ni Vatican, san Marino, jamhuri ya Dominika na Armenia labda timor Leste na hizo hazina muislamu hata mmoja labda wageni Sasa taja nchi nyingine za kikristu unazozijua wewe ambapo raia wake wanaotamani kuwa waislamu
Maana uingereza, ujerumani, marekani, ufaransa, ubelgiji, uholanzi sio nchi za kikristu na hazina dinu
Mbona Israel ni nchi ya kiyahudi Ila Kuna waislamu??.Dunia nzima nchi zinazohudumu kikristu hazifiki Tano
Ni Vatican, san Marino, jamhuri ya Dominika na Armenia labda timor Leste na hizo hazina muislamu hata mmoja labda wageni Sasa taja nchi nyingine za kikristu unazozijua wewe ambapo raia wake wanaotamani kuwa waislamu
Maana uingereza, ujerumani, marekani, ufaransa, ubelgiji, uholanzi sio nchi za kikristu na hazina dinu
Uongo gani? Au hujui cairo edition au unajizima data tu?Uwongo mwingine,mnajifunza wapi wenzetu kudanganya hadharani bila haya?
Mimi wala sijasema ni nchi za kidini ila taratibu zake nyingi zinazongozwa kwa miongozo ya kikristuHizo nchi sio za kidini,,Ila ukristo ndio dominant na powerful religion mbona huna uelewa