Ukristu wazidi kuenea kwa kasi Indonesia

Ndio vizuri wakristo ni jamaa zetu wa karibu kiimani japo sio marafiki zetu hivyo ni jambo jema kuna mambo mengi tunashare nao kiimani
Sidhani kama wewe ni muislamu hakuna muislamu mwenye mtazamo kama wako
 
Sasa hapo tatizo liko wapi? Nimesema ukweli uliopo kuna vitabu vingi sana vya ukristo tunafuata mafundisho yake yapo sawa kabisa na Quran. Fanya utafiti hio sio kazi yangu
 
Tanzania 65% ni Christians, ruling system inaongozwa na Muslims sasa na ndiyo wenye ubavu wa kwenye sensa kuwekwe yapi kutolewe yapi, kama una akili japo kidogo angalia population kwa kila zone utagundua maeneo ambayo ni predominantly Christians ndiyo by far yenye population kubwa, a simple and easy statistical check will give you the answers.
Hiyo 65% munayo kwenye akili zenu tu, lakini likija pendekezo sensa ya watu na makaazi waulizwe watu kuhusu dini wakiristo pekee Tanzania ndio wanapinga hilo swali lisiulizwe? unajiuliza kwanini wao tu ndio wanapinga? hiyo 65% ndio idadi ya Waislam Tanzania.

Kuhusu rulling system kuwa ni waislam hii haina mantiki, Taasisi za uongozi za juu Tz zimetawaliwa na kanisa na hapa ni funika kombe mwanaharamu apite mpaka ufadhili wenu mkubwa kutoka nje ni kanisa ndio mana munahofu kujipambanua Tz kwamba ni nchi ya kiislam kutokana na idadi yenu.
 
Kama Christian ni billion 2.4 na Islam ni Billion 1.9 na bado Islam ndo dini inayokua kwa kasi duniani hadi sasa ni wazi kabisa Islam wanakuja kufanya domination
Kwa hiyo ukristo haukui,,umekaaa tuu unawasubiri nyie,,,can't your brain think wisely??
 
Tanzania maeneo ya kimasikini wamejaa watu wa imani ipi?
Africa subcontinent masikini ni watu wa imani ipi?
Dunia yote- Europe, America,Asia & Africa, hebu ingia kwenye Google ufute ujinga kidogo.
He kumbe hapa Tz kuna sehemu wanaishi waisilam tu na wote ni maskini na sehemu nyingine wanaishi wagaratia tu na wote ni matajiri?😀😀 kwakweli mm ndo mara ya kwanza nasikia aisee.
Sasa mbona kati ya mikoa 10 iliyo jaa umasikini hapa Tz mikoa 7 yote ni ile iliyo jaa wagaratia?

Waisilam hapa Tz wanadhibiti kila sehemu nyeti, kama ulikuwa hujui ni kuwa asilimia 80 ya uchumi wa Tz unamilikiwa na waisilam , ndo wamedhibiti sekta zote za kibiashara kuanzia ,viwanda,usafirishaji,michezo na burudani wakati nyinyi wagaratia wengi wenu mnategemea kuishi kwa uchawa na kuwa vibarua kwenye viwanda na makampuni ya hao waisilam.
Waisilam ndo walipa kodi wakubwa ambayo inaiwezesha serikali kuwalipa wagaratia walio jazana kwenye utumishi wa uma walio upata kwa vyeti feki na kiundugu.

Alafu kingine waisilam walioko kusini mwa jangwa la sahara ni wachache sana ni% 29 tu walio baki wote ni wagaratia lakini kusini mwa jangwa la sahara ndo sehemu iliyo jaa umasikini kuliko eneo lolote hapa ulimwenguni.
 
Marekani haina dini bali ni taifa lenye mchanganyiko wa watu wa asili,dini, tamaduni mbali mbali kutoka duniani kote.
Alafu kinacho fanya nchi inapata maendeleo ni sera nzuri ya nchi husika na si kwa sababu ya dini wanayo iamini, kuwa na akili.
KAma marekani Haina dini,, umesahau hoja za Trump kipindi Cha uchaguzi wa 2020 kuwa ni kupambana na ""Islamic terrorists ""
Na je huwezi hata ku google ukaangalia dini ilivyo marekani Kama hapa chini nilivyokuonesha ,,au una ignorance,,I think huna AKILI wewe,kwanza UNA ELIMU GANI,, pengine wewe ni illiterate

Marekani haina dini bali ni taifa lenye mchanganyiko wa watu wa asili,dini, tamaduni mbali mbali kutoka duniani kote.
Alafu kinacho fanya nchi inapata maendeleo ni sera nzuri ya nchi husika na si kwa sababu ya dini wanayo iamini, kuwa na akili.
Screenshot_20241115-091157.png
 
Attachments

  • Screenshot_20241115-091036.png
    Screenshot_20241115-091036.png
    150.4 KB · Views: 1
Marekani haina dini bali ni taifa lenye mchanganyiko wa watu wa asili,dini, tamaduni mbali mbali kutoka duniani kote.
Alafu kinacho fanya nchi inapata maendeleo ni sera nzuri ya nchi husika na si kwa sababu ya dini wanayo iamini, kuwa na akili.
Screenshot_20241115-091157.png

Acha upumbavu tumia akili yako vizuri angalia hapo.
 
He kumbe hapa Tz kuna sehemu wanaishi waisilam tu na wote ni maskini na sehemu nyingine wanaishi wagaratia tu na wote ni matajiri?😀😀 kwakweli mm ndo mara ya kwanza nasikia aisee.
Sasa mbona kati ya mikoa 10 iliyo jaa umasikini hapa Tz mikoa 7 yote ni ile iliyo jaa wagaratia?

Waisilam hapa Tz wanadhibiti kila sehemu nyeti, kama ulikuwa hujui ni kuwa asilimia 80 ya uchumi wa Tz unamilikiwa na waisilam , ndo wamedhibiti sekta zote za kibiashara kuanzia ,viwanda,usafirishaji,michezo na burudani wakati nyinyi wagaratia wengi wenu mnategemea kuishi kwa uchawa na kuwa vibarua kwenye viwanda na makampuni ya hao waisilam.
Waisilam ndo walipa kodi wakubwa ambayo inaiwezesha serikali kuwalipa wagaratia walio jazana kwenye utumishi wa uma walio upata kwa vyeti feki na kiundugu.

Alafu kingine waisilam walioko kusini mwa jangwa la sahara ni wachache sana ni% 29 tu walio baki wote ni wagaratia lakini kusini mwa jangwa la sahara ndo sehemu iliyo jaa umasikini kuliko eneo lolote hapa ulimwenguni.
Screenshot_20241115-103113_1.jpg

Na wasiwasi Sana na IQ yako pamoja na thinking capacity yako, maana ipo chini sana
 
Sasa hapo unaongea kwa utashi wako na kwa hasira
Kitendo cha kusema tu "labda" inaonesha wazi hujui unachokitetea
Hebu Lete takwimu, data na uthibitisho kusapoti makanusho yako
nimekupa facts tayari, labda hao milioni 2 ni kutoka katika ukiristu wanarudi zao katika uislamu, hakuna muindonesia ni mkiristu. hakuna. saveMaria ni matandao wa kikiristu ambao munaaminishwa propaganda kukebehi dini ya kiislam

Theluthi mbili ya Waislamu wote duniani wanaishi katika nchi 10 duniani. Kati ya nchi hizo 10, sita ziko Asia (Indonesia, Pakistan, India, Bangladesh, Iran na Uturuki), tatu ziko Afrika Kaskazini (Misri, Algeria na Morocco) na moja iko Kusini mwa Jangwa la Sahara (Nigeria).
Natumaini utaacha kubisha vitu usivyokuwa na taarifa navyo
 
Attachments

  • Screenshot_20241115-101507.png
    Screenshot_20241115-101507.png
    168.2 KB · Views: 1
Sasa hapo tatizo liko wapi? Nimesema ukweli uliopo kuna vitabu vingi sana vya ukristo tunafuata mafundisho yake yapo sawa kabisa na Quran. Fanya utafiti hio sio kazi yangu
Unachokisema nakieleaa vizuri sana na najua ni ukweli mtupu ila tu hiyo mentality uliyo nayo hakuna muislamu mwenye nayo ndo maana nakushangaa wewe
 
Walimu wenu wa madrasa hawafundishi historia halisi ya dini yenu . Unajua kwamba hii Quran unayosema haijawahi badirika toka enzi za Mohamed (Hafs) ili rasmishwa mwaka 1924? Kabla ya hapo hamkuwa na kitabu, ashukuriwe mfalme wa misri na Al Azhar university.
Uwongo mwingine,mnajifunza wapi wenzetu kudanganya hadharani bila haya?
 
Naunga mkono hoja
Dunia nzima nchi zinazohudumu kikristu hazifiki Tano
Ni Vatican, san Marino, jamhuri ya Dominika na Armenia labda timor Leste na hizo hazina muislamu hata mmoja labda wageni Sasa taja nchi nyingine za kikristu unazozijua wewe ambapo raia wake wanaotamani kuwa waislamu

Maana uingereza, ujerumani, marekani, ufaransa, ubelgiji, uholanzi sio nchi za kikristu na hazina dinu
 
Hizo nchi sio za kidini,,Ila ukristo ndio dominant na powerful religion mbona huna uelewa
 
Hebu type data ya waislamu kwenye hizo nchi hapo tuone,,,msi force Hana.
WESTERN IS CHRISTIAN.
Kama una bisha lete data
 
Dunia nzima nchi zinazohudumu kikristu hazifiki Tano
Ni Vatican, san Marino, jamhuri ya Dominika na Armenia labda timor Leste na hizo hazina muislamu hata mmoja labda wageni Sasa taja nchi nyingine za kikristu unazozijua wewe ambapo raia wake wanaotamani kuwa waislamu

Maana uingereza, ujerumani, marekani, ufaransa, ubelgiji, uholanzi sio nchi za kikristu na hazina dinu
Mbona Israel ni nchi ya kiyahudi Ila Kuna waislamu??.
Inamaanisha mkivaa hizo barakoa kichwani na akili zinawatoka??
 
Uwongo mwingine,mnajifunza wapi wenzetu kudanganya hadharani bila haya?
Uongo gani? Au hujui cairo edition au unajizima data tu?

Achana na cairo edition kuluwana ilianza kuchakachuliwa na Umar haya mengine ni muendelezo tu
Hizo nchi sio za kidini,,Ila ukristo ndio dominant na powerful religion mbona huna uelewa
Mimi wala sijasema ni nchi za kidini ila taratibu zake nyingi zinazongozwa kwa miongozo ya kikristu
Hata hivyo Vatican na san Marino ni nchi za kikristu 200% acha ubishi lakini hizo zingine zinatumia miongozo ya kikristu japo kuna uhuru wa kidini
 
Back
Top Bottom