Uongo gani? Au hujui cairo edition au unajizima data tu?
Achana na cairo edition kuluwana ilianza kuchakachuliwa na Umar haya mengine ni muendelezo tu
Mimi wala sijasema ni nchi za kidini ila taratibu zake nyingi zinazongozwa kwa miongozo ya kikristu
Hata hivyo Vatican na san Marino ni nchi za kikristu 200% acha ubishi lakini hizo zingine zinatumia miongozo ya kikristu japo kuna uhuru wa kidini

Al Qur'anu wa sunna aswilu
Qur'an na sunna (hadithi) ndiyo asili!
Lakini farqihi (ncha zake)ni:
• Al ijmai
• Wal Qiyas
Adillatu sharia; dalili za sheria ni hizo nne:
• Qur'an
• Sunna
• Al ijmai na
• Qiyas
Na Qur'an inatafsiriwa:
• Qur'an bi Qur'an
• Qur'an bi Sunna
• Qur'an bi sswahaba
Wewe unachofanya ni unasoma tarjum. Na tarjum ni kuihamisha Qur'an kutoka kwenye lugha yake ya asili ya kiarabu kuipeleka kwenye lugha ya kiajemi (lugha isiyokuwa ya kiarabu) ambayo inaweza ikawa lugha ya kichina, kifarsi, kiswahili, kihindi, kiingereza n.k
Hivyo Qur'an inapozungumzia suala fulani fafanuzi yake imma utaikuta humohumo kwenye Qur'an kwa maana Qur'an bi Qur'an. Fafanuzi za aya nyengine hazimo kwenye Qur'an bali anayezifafanua ni Mtume (Qur'an bi Sunna).
Fafanuzi nyengine zinafafanuliwa na maswahaba baada ya Mtume kufariki watu wanauliza ninyi ndiyo mliyokuwa na mtume, hii aya hapa inamaanisha nini? Fafanuzi hii inaitwa Qur'an bi swahaba.
Mfano:"Idhaa kuntum ila sswalaa faghsiluu wujuhakum..."
Hii ni sehemu ya aya katika Qur'an, inatutaka tukiwa kwenye swala tuwe na udhu.
Huo udhu kwenye Qur'an umeelezwa kuwa muoshe uso, mikono, kichwa na miguu. Lakini swali litakuja utaoshaje na kwa utaratibu upi? Na hiyo swala utaiswali vipi na kwa utaratibu upi?
Sasa ikiwa unasoma tarjum kama wewe ndipo utakapokuja hapa na kuwapotosha watu kuwa kwenye Qur'an hilo suala halipo na halijaelekezwa na utaongezea maneno kuwa waislamu wana buni tu hali ya kuwa umesoma subtitle ya aya.
Fafanuzi ama tafseer ya iyo aya unaipata kwenye sunna (hadith). Yaani Qur'an bi Sunna.
Ndipo utakapoelezewa udhu ni nini, sharti zake ni zipi! Fardhi zake ni zipi! Sunna zake ni zipi! Vitenguzi vyake ni vipi!
Ndipo utakapoelezwa hii ni swala: Fardhi zake ni zipi! Vibatilishi vyake ni vipi! Sharti zake ni zipi n.k
Hata hiyo aya unayohoji, wapi tumeambiwa tuswali swala 5 kwenye Qur'an imo! Tafseer yake unaipata Qur'an bi Sunna.
Hivyo usipotoshe na usihoji kwa kujiamini hali ya kuwa hujui.

Sasa hapo unaongea kwa utashi wako na kwa hasira
Kitendo cha kusema tu "labda" inaonesha wazi hujui unachokitetea
Hebu Lete takwimu, data na uthibitisho kusapoti makanusho yako
Natumaini utaacha kubisha vitu usivyokuwa na taarifa navyo
Mkuu narudia tena hii saveMaryam nimeitembelea juu chini ni blog na page na ya mtu binafsi ipo facebook lengo lake ni kuuchafua uislam, kama una website ama link nyengine lete hapa tuone waislam milioni 2 Indonesia waingia ukiristoni kila mwaka.
Before the 1924 Quran, there were various readings of the Quran. By reading, I mean a text that included variants, or differences, from the supposed Uthmanic Quran. The differences included variations in letters, verbs, and nouns. Some differences were mor significant than others. Around the early twentieth century, during the last years of the Ottoman Empire, there were two widespread readings of the Quran: Hafs and Warsh. They contained MANY DISCREPANCIES. Copies of the two readings still exist today. The Warsh variant is commonly known in Morocco, while the Hafs variant is common in Egypt and Saudi Arabia (in addition to most countries, but not all). Hafs became well-known when the Ottoman Empire adopted it from among the many available variants of the Quran, claiming it as the authoritative text. This adoption made this particular reading the official variant of the empire. There was one problem: many Qurans imported during the last decade of the Ottoman Empire contained errors.
In 1907, during the reign of the Ottoman king Foad, the Egyptian government discovered that the copies of the Quran used in local schools were full of what were labeled “errors.” Where did these copies come from? The fact is that copies of the Arabic Quran (of various readings) were printed in Europe and sent to the Muslim countries. The first Quran was printed in Venice in 1537. Then in Hamburg in 1694, a copy was published by Abraham Hincklemann. This was followed by the well-known 1834 edition by the German scholar Gustav Leberecht Flugel, which became the definitive text for Western scholars for at least a century until the production of the Cairo edition. The 1924 Cairo edition was authorized by the Ottomans and supervised by Azhar University and a committee of Muslim clerics. The goal was to establish an authoritative text based on the Hafs reading ALONE in order to eliminate errors.
The production of the 1924 Quran was supported by a royal political decree and the Azhar’s religious influence. The Muslim scholars of the Azhar did not aim to create a critical edition of the Quran. They did not seek to examine different manuscripts and compare variants. Their goal was to produce a fixed text based on one preselected reading. In other words, the scholars of the Azhar did not scrutinize manuscripts but rather studied books written about one particular variant selected by the committee. In a sense, the committee relied on secondary–rather than primary–sources, which is a flawed method in establishing an ancient text.
Today the 1924 Quran is the authoritative text for Islam. Even foreign translations depend on it. It has been printed widely, and other readings have almost disappeared. While this is arguably a success for the committee of the Azhar, it does not mean that this copy is the only available reading of Islam’s scripture.
Interestingly, the 1924 Cairo edition required corrections after its initial publication. In the same year, a second edition was printed to fix a few typographical errors; then in 1936 another set of corrections was applied. One may ask, What did the government do with the previously printed copies that contained errors? It is reported that, after later prints eliminated all errors, the Egyptian government gathered the erroneous Qurans AND THREW THEM INTO THE NILE. Did this end the confusion over the text? Not necessarily. Today in a globalized age with the internet offering access to material that was previously inaccessible, one can compare copies of different Qurans and multiple variants.
Most Muslims worldwide today–whether Sunni or Shiite– trust the 1924 Quran and consider it the only Quran that has ever existed. To them, it is not only the official Quranic text but also, and more importantly, the exact documentation of the revelations proclaimed by Muhammad in the seventh century, codified by Uthman decades after Muhammad’s death, and transmitted perfectly throughout the fourteen centuries of Islam. The 1924 Cairo Quran is Islam’s scripture; this is the reality. However, critical thinkers must remember how this text reached us. It is hardly a reconstruction of what Muhammad proclaimed. The 1924 Quran is a purpose-designed and manipulated text built on one selected reading that ignored many other legitimate texts that existed throughout Islamic history. We CANNOT be confident in today’s Quran as a true representation of the text that initially appeared in a seventh-century Arabian desert. (Ayman S. Ibrahim, A Concise Guide to the Quran [BakerAcademic, Grand Rapids, MI 2020], Part 1: The History of the Text of the Quran, 13. What Do We Know about the 1924 Royal Cairo Edition of the Quran?, pp. 47-50; bold and capital emphasis mine)
FURTHER READING
Hafs: The Lying, Unreliable Transmitter of the Quran
Textual Integrity
The Incomplete and Imperfect Quran
The Compilation and Textual Veracity of the Quran
Challenge to the Muslims Concerning the Quran [Part 1]
Challenge to the Muslims Concerning the Quran [Part 2]
Challenge to the Muslims Concerning the Quran [Part 3]
Challenge to the Muslims Concerning the Quran [Excursus]
The Irreparable Loss of Much of the Quran
The Quran Testifies To Its Own Textual Corruption
The Seven Ahruf and Multiple Qiraat – A Quranic Perspective.
Soma hayo maelezo hapo kisha kamuulize Ustaadh wako kama anajua first edition ya Hafs Quran ilichapishwa wapi na mwaka gani?
Nenda hata wikipedia basi kuliko kuniita mimi muongo.
Kumbe tatizo ni uwezo wako wa kufikiria.
Kama vile ukristo hauwezi kukua na kuzidi kule Zanzibar,,,ndivyo ilivyo vigumu uislamu kukua na kuzidi IN developed world especially western countries.
Mtapambana Ila mtashindwa??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.