ndengisivilii
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 496
- 570
Quran 33:37Huo unaouita uchafu uliandika kua ushahidi wake unapatika kwenye Qur Ani. Tuambie Aya Gani zilizopo sura gani unaaza kuhamisha magoli.
Ili tuendelee na mjadala tutajie hizo Aya au uende ku edit kule ulikoitaja Qur ani.
Akishindwa hayo nikutakie usiku mwema na starehe yako njema ya kufukuliwa mtaro.
And ˹remember, O Prophet,˺ when you said to the one1 for whom Allah has done a favour and you ˹too˺ have done a favour,2 “Keep your wife and fear Allah,” while concealing within yourself what Allah was going to reveal. And ˹so˺ you were considering the people, whereas Allah was more worthy of your consideration. So when Zaid totally lost interest in ˹keeping˺ his wife, We gave her to you in marriage, so that there would be no blame on the believers for marrying the ex-wives of their adopted sons after their divorce. And Allah’s command is totally binding.
Mohamad baada ya kutamani mkwe wake kijana ikabidi ajifanye hamtaki mke wake ili Mtume wa Allah achukue mzigo.