MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
- Thread starter
-
- #41
Hata sasa hivi unaweza kunipa shikamoo kama utapenda, japo huwa siipendi sana hiyo salamu.Pamoja hahah ukiwa muhenga uniambie nikupe shikamoo yako
Jaman mm najua huku mwetu najilinji usipomsalimia mwanaume lazima uonekane huna heshimaHata sasa hivi unaweza kunipa shikamoo kama utapenda, japo huwa siipendi sana hiyo salamu.
Hapo graph imegonga kwenye ceiling inashuka kwa kasi ya ajabu ya deceleration kuelekea chini kwenye kifo. Are you scared? [emoji23]Wasalaam.
Leo nimeamka mapema najiandaa kwenye kwenye mihangaiko. Sasa nimetoka kuoga nachana nywele, nikasema nisogee kwenye kioo, japo binafsi sina huo utamaduni wa kupenda vioo. Ile kujiangalia vizuri nakutana na mvi kibao sana huku kichwani, nikajua tu labda ni nyuzi ya Blanketi lakini kuangalia nakuta mvi kabisa kabisaa.
Nkaishia kutabasamu nakujisemea kwamba ninaanza kuzeeka sasa na siwezi kurudisha tena muda nyuma, kujiangalia vizuri nakuta hadi makunyanzi yameanza usoni. Nimeondoka nacheka tu maana juzi tu nilikuwa na kichwa cheusii na uso usio na makunyanzi mengi.
Leo nimewaza kwamba unaweza ukajihisi una muda mwingi sana na bado kijana, lakini uzee huwa haupigi hodi jamani....
Rangi kwenye nyewle ndiyo siwezi kuweka mkuu huu ndiyo mwonekano wangu mpya.dawa ya makunyanzi nnayo,hats kama una miaka ,70 utaonekana kama una miaka 35,
we tuna lakini nikuonyeshe,
kuhusu mvi we tia rangi hizo nywele,utaonekana kama mnyamwezi kutoka New york
Naaah, Shambuku I ain't dreaded by nothin.Hapo graph imegonga kwenye ceiling inashuka kwa kasi ya ajabu ya deceleration kuelekea chini kwenye kifo. Are you scared? [emoji23]
Maisha haya!
Hayo sio majibu ya wenye mvi Mkuu.Huna adabu...
Mimi huku nilipo watu wanasalimiana kilugha hivyo Shikamoo siyo kivileeee!Jaman mm najua huku mwetu najilinji usipomsalimia mwanaume lazima uonekane huna heshima
Hahahaha,Hayo sio majibu ya wenye mvi Mkuu.
BUSARA,HEKIMA,UVUMILIVU,UPENDO,HAKI,SUBIRA,UPENDO,AMANI,UCHAMUNGU ndio sahii kwa wenye Mvi.
ππππππPamoja.Hahahaha,
Mkuu Chiwaso, huyu Mbitiyaza ni mtani wangu bwana.
Tell you what Shambuku!Naaah, Shambuku I ain't dreaded by nothin.
We all die, but mine is neither today, tomorrow nor the day after tomorrow.
Bado nipo nipo sana kitaa, japo leo nimekumbushwa kwamba naelekea huko.
Aaaah, mkuu.Shikamoo, Nirithishe mipango ya maisha kijana wako hapa
Basi naomba training siku ukikubali kua ushakua mbabu unanipa mikoba.Aaaah, mkuu.
Mimi siyo mbabu bwana.
πππππππππ
Hahahaha, haya maneno yako.Tell you what Shambuku!
The good die young.. The bad die late. You gotta die sooner or later and meet the creator.. Why is he in heaven and left us here in this crazy tormenting world?
Let's go and have a good time with him out there in heaven...! Next year I gotta be there I miss him so much..we gonna have some fun with him in heaven.
You are warmly welcome to join the party niqqa.[emoji23]
πππππππππππ
ππππππPamoja.
Zizoee tu.
Hutapewa unapopenda kupewa. Ndio tatizo lake kubwa
Tatizo ni kuwa kama huna Chapaa, wale wa 25-30 huwapati.
Ukiwa nazo, watakuja huku wakiwa na hoja kuwa ''wazee hutunza''
Nina mikoba kibao mkuu, wewe unataka nikupe ipi ???Basi naomba training siku ukikubali kua ushakua mbabu unanipa mikoba.
Mimi mkubwa, japo siyo mkubwa kutisha nipo kati ya Uzee na Ujana.Una umri gani? Maana kuna wengine wanatoka Mvi at 20's.
Sasa upo kati ya uzee cha kushangaza nini kuwa na mvi?Mimi mkubwa, japo siyo mkubwa kutisha nipo kati ya Uzee na Ujana.
MI umri haujaenda sana ila nimekuwa Mzee.Hahahaha, mimi siyo babu mkuu, japo umri umeenda enda kiaina.