Ukubwa haupigi hodi, Mvi zimeanza kunitoka kwa wingi

Ukubwa haupigi hodi, Mvi zimeanza kunitoka kwa wingi

Wasalaam.
Leo nimeamka mapema najiandaa kwenye kwenye mihangaiko. Sasa nimetoka kuoga nachana nywele, nikasema nisogee kwenye kioo, japo binafsi sina huo utamaduni wa kupenda vioo. Ile kujiangalia vizuri nakutana na mvi kibao sana huku kichwani, nikajua tu labda ni nyuzi ya Blanketi lakini kuangalia nakuta mvi kabisa kabisaa.

Nkaishia kutabasamu nakujisemea kwamba ninaanza kuzeeka sasa na siwezi kurudisha tena muda nyuma, kujiangalia vizuri nakuta hadi makunyanzi yameanza usoni. Nimeondoka nacheka tu maana juzi tu nilikuwa na kichwa cheusii na uso usio na makunyanzi mengi.

Leo nimewaza kwamba unaweza ukajihisi una muda mwingi sana na bado kijana, lakini uzee huwa haupigi hodi jamani....
Hapo graph imegonga kwenye ceiling inashuka kwa kasi ya ajabu ya deceleration kuelekea chini kwenye kifo. Are you scared? [emoji23]

Maisha haya!
 
dawa ya makunyanzi nnayo,hats kama una miaka ,70 utaonekana kama una miaka 35,
we tuna lakini nikuonyeshe,

kuhusu mvi we tia rangi hizo nywele,utaonekana kama mnyamwezi kutoka New york
Rangi kwenye nyewle ndiyo siwezi kuweka mkuu huu ndiyo mwonekano wangu mpya.
Hata makunyanzi nayo siwezi kuyakimbia, ni suala la muda tu yatakuja.
Its our nature , we wither as we age......
 
Hapo graph imegonga kwenye ceiling inashuka kwa kasi ya ajabu ya deceleration kuelekea chini kwenye kifo. Are you scared? [emoji23]

Maisha haya!
Naaah, Shambuku I ain't dreaded by nothin.
We all die, but mine is neither today, tomorrow nor the day after tomorrow.
Bado nipo nipo sana kitaa, japo leo nimekumbushwa kwamba naelekea huko.
Its called You Can Run But you Can't hide......
 
Jaman mm najua huku mwetu najilinji usipomsalimia mwanaume lazima uonekane huna heshima
Mimi huku nilipo watu wanasalimiana kilugha hivyo Shikamoo siyo kivileeee!
Habari tu, kwangu ni salamu tosha mkuu....
 
Hayo sio majibu ya wenye mvi Mkuu.
BUSARA,HEKIMA,UVUMILIVU,UPENDO,HAKI,SUBIRA,UPENDO,AMANI,UCHAMUNGU ndio sahii kwa wenye Mvi.
Hahahaha,
Mkuu Chiwaso, huyu Mbitiyaza ni mtani wangu bwana.
 
Naaah, Shambuku I ain't dreaded by nothin.
We all die, but mine is neither today, tomorrow nor the day after tomorrow.
Bado nipo nipo sana kitaa, japo leo nimekumbushwa kwamba naelekea huko.
Tell you what Shambuku!

The good die young.. The bad die late. You gotta die sooner or later and meet the creator.. Why is he in heaven and left us here in this crazy tormenting world?

Let's go and have a good time with him out there in heaven...! Next year I gotta be there I miss him so much..we gonna have some fun with him in heaven.

You are warmly welcome to join the party niqqa.[emoji23]
 
Hahahaha, haya maneno yako.
Nimejikuta nacheka tu Shambuku.
 
😀😀
😀😀😀😀😀😀Pamoja.
Zizoee tu.
Hutapewa unapopenda kupewa. Ndio tatizo lake kubwa
Tatizo ni kuwa kama huna Chapaa, wale wa 25-30 huwapati.
Ukiwa nazo, watakuja huku wakiwa na hoja kuwa ''wazee hutunza''
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Hao walio 25-30 nashinda nao sana kuanzia nyumbani hadi Ofisini.
Huwa hawanisumbui kabisa kichwa......
 
Back
Top Bottom