Ukubwa haupigi hodi, Mvi zimeanza kunitoka kwa wingi

Babu babuuuu, babua zako zangu unikaangie.
Aaaah, mimi nini mvi siyo babu bwana.
Kuniita babu saa hizi ni kutaka kunifedhehesha bure tu.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Huwa inatokea mkuu...
Hasa pale unapokuwa umetingwa na majukumu au umekosa chapaa.
Utakuwa kama mbabu fulani hivi, kumbe chalii mdogo tu.
Kwa miaka 11, nimekuwa busy sana na kazi, hata likizo nilijifanya siendi,Saa 11.45-12.00 asubuhi nimeshafika kazini, kutoka saa 3 usiku.
 
Kwa miaka 11, nimekuwa busy sana na kazi, hata likizo nilijifanya siendi,Saa 11.45-12.00 asubuhi nimeshafika kazini, kutoka saa 3 usiku.
Duuh pole sana ndugu yangu, naelewa unachosema hapa.
Huu mchezo niliwahi kuufanya, yaani nilichakaa sana sanaaa.
Unachelewa kulala na unawahi kuamka, nakumbuka nilikaa vibaya sana kiafya.
 
Bila picha mkuu wewe bado sio babu
Nimefikiria kuleta picha leo asubuhi lakini nikaona niahirishe tu.
Hivyo mkuu wewe una ruhusa kufikiria vyovyote vile utakavyo kuhusu Malcom (Babu, katoto au kijana)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…