goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,149
Halafu Mjukuu wa chifu usijifanye umesahau,tunataka muendlezo[emoji23]MSIBA WA KUJITAKIA HAUNA KILIO
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Uchawi upo na usiombe upigwe jiwe kama Hilo la kuficha funguo kwenye ombwe la hewa au Maji utajuta nakwambia.
Huyo atakufa hivyo hivyo labda akagusishe dushe lake alipotokea, Yaani kama mama yake mzazi bado yupo akangonoke naye huku amefungwa kitambaa cha mabaki ya Sanda kiunoni.
Daah mkuu nimejifunza. Haya mambo nilikuaga nayasikia tu vijiweni lakini sasa huyu shangazi hapa kaniwashia taa. Loooh!!Chunga kuacha malighafi yako kwa mtu usiemuamini[emoji23] Mshana alishafundisha kuwa makini/kutunza manii kuepuka kufanyiwa uchawi
Sijakuelewasio SUPP on?
you sound like a manCongo sehemu gani mkuu ? Tulienda hadi sehemu inaitwa Moba ambayo inasifika Congo nzima kwa kuwa na uganga na uchawi mkubwa. Ilikuwa ni safari ya mateso sana. Tulipanda meli kutoka Kigoma hadi sehemu inaitwa Kalemie upande wa Congo, huko tukachukua gari za kuunga unga hadi Moba. Ni Congo ipi mkuu? Tafadhali. Lakini kote huko hatujafanikiwa. Tumetumia pesa nyingi sana