Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,351
Hana lolote utakuwa ni uwongo wa kumtafutia kick Ustadh tu.Hakuna zaidi ya kumrudia Mungu wako.
Hakuna mganga zaidi ya Mungu, okoka, tubu na ukiri!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana lolote utakuwa ni uwongo wa kumtafutia kick Ustadh tu.Hakuna zaidi ya kumrudia Mungu wako.
Hakuna mganga zaidi ya Mungu, okoka, tubu na ukiri!!
Simara[emoji7] [emoji7]Hivi hayo mambo yapo kweli? Mimi huwa naona kama movie tu.
Ngumu kumezaJe unayo roho ngumu.
Fanya hili zoezi.
Chukua mayai viza matatu nenda baharini usiku wa saa sita yatupe kila moja halafu na wewe ingia ndani ya maji kwa mfumo wa kujirusha mithili ya mtu anayeogelea. Utatokea maeneo ya kuzimu hapo unaweza kuonana na mheshimiwa Lucifer mkazungumza.
Au nenda malawi na Nigeria lazima utafunguliwa tu. Hakuna kinachoshindikana duniani. [emoji4]
oo nikutest wewe tuone ukianza kuweweseka nakuteguaHakuna kitu kama hiki
kuna mwanamke mmoja juzi alikuwa ananihadithia kuwa mjombawake ni mlevi kupindukia mke wa mjomba wake huyu ndiye aliyemfanyia mjomba wake ambaye ni engineer upuuzi huo wakiwa wameshirikiana na dada wa mke wa mjombawake jamaa alichanganyikiwa na alikuwa anafanya kazi akastaafishwa sasa wanaishi kwa kutegemea apartment walizojenga hapo nyumakabla huyu mjomba hajapagawa walifanikiwa kuwa na watoto 2 mke analia kila sikuHii nadhani ni Riwaya!
haswaaa