Fatma Pazi
Member
- May 5, 2018
- 20
- 40
- Thread starter
- #261
we kaka mbona unakuwa sio mstaarabu.Hili ni tangazo la Biashara JamiiForums njooni mchukue tozo yenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we kaka mbona unakuwa sio mstaarabu.Hili ni tangazo la Biashara JamiiForums njooni mchukue tozo yenu
Nimekuchukia sana na roho yako ya kichawi Na kishetani. Adhabu ambayo Mungu atakupa itakutesa maisha yako yoteeWasalaam wakuu,
Siku kadhaa zilizopita niliandika uzi hapa nikiomba ushauri kuhusu mtu anayeweza kunisaidia kumtibu mume wangu maradhi ya ukhanithi wa kurogwa.
Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7
Nimepokea meseji kutoka kwa watu mbalimbali wakinielekeza nijaribu kuwaona waganga, masheikh na wachungaji mbalimbali.
Ila katika watu wote nilioelekezwa kuwaona ni huyu Mganga anaitwa " Mwandulami " ndio amependekezwa na watu wengi sana.
Nimeelekezwa yupo Njombe na ni wa uhakika na ukweli sana na amesaidia watu wengi sana.
Ninataka kufunga safari kwenda kumuona. Kwa mnao mjua vizuri huyu Mwandulami naomba mnipe maelezo yake tafadhali.
Ninataka kabla sijaenda kumuona nijiridhishe kwanza.Najua hapa JF kuna watu wengi sana na nnajua watakuwepo ambao wameisha kutana na Mwandulami.
ASANTENI SANA.
MaranathaRudisha imani yko kwa mungu wa mbinguni, km upo dar esalaam muone Mchungaji mmoja anaitwa Paul marekana pale magomeni Kanisa LA wasabato mungu atamsaidia Mzee wako kupitia kwa Mchungaji Huyo hii nikwaimani.
Huyo niache tu aangamie, jitu gani chawi na halina huruma?Dada kwanza pole kwa yote, pili nakushauri uachane na waganga hawatakusaidia chochote ila utapoteza hela na imani yako kwa Mungu.
Tafadhali naomba mrudie Mungu, fanya toba kwanza kwa kupitia jina la YESU atakusamehe na mumeo atapona.
YESU mimi ameniponya niliumwa sana nikakata tamaa...ila sasa ni mzima.
Nicheki PM
Soma: Yeremia 33:3
Asante sana dada, naja pm.Dada kwanza pole kwa yote, pili nakushauri uachane na waganga hawatakusaidia chochote ila utapoteza hela na imani yako kwa Mungu.
Tafadhali naomba mrudie Mungu, fanya toba kwanza kwa kupitia jina la YESU atakusamehe na mumeo atapona.
YESU mimi ameniponya niliumwa sana nikakata tamaa...ila sasa ni mzima.
Nicheki PM
Soma: Yeremia 33:3
haha eti Yesu amekuponya!...ingekuwa kweli mahospitalini kusingekuw na wagonjwa!Dada kwanza pole kwa yote, pili nakushauri uachane na waganga hawatakusaidia chochote ila utapoteza hela na imani yako kwa Mungu.
Tafadhali naomba mrudie Mungu, fanya toba kwanza kwa kupitia jina la YESU atakusamehe na mumeo atapona.
YESU mimi ameniponya niliumwa sana nikakata tamaa...ila sasa ni mzima.
Nicheki PM
Soma: Yeremia 33:3
Asante sana kaka kwa ushauri wako. Je gharama zake zikoje ? Na je sio aina ya waganga wanao taka kufanya mapenzi na wateja ?Mwandulami amenisaidia sana nenda dada utasaidiwa na tatizo lako litaisha...biashara zangu zilikuwa haziendi vizuri baada ya kwenda kwake sasa hivi mambo yko safi kabisa
Wapendwa! Msigombane tafadhari, ila nawewe mwenye mgonjwa tunataka ufafanue kuhusu waganga7 kufa, walikufaje? Ukizingatia umesema sababu ya maumbile makubwa ya Mzee wako, ndoo maana wasomaji wanaperekea na tangazo/ uchawi
Msamehe mkuuHuyo niache tu aangamie, jitu gani chawi na halina huruma?
Hata wakati huo YESU aliponya wagonjwa...pamoja na kuwa kulikuwa na hospitali..haha eti Yesu amekuponya!...ingekuwa kweli mahospitalini kusingekuw na wagonjwa!
Gharama zake inategemea na tatizo lako lakini sio kubwa kivilee mimi nilitumia kama laki mbili na nusu hivi..kufanya mappenzi na wateja yule mzee hanaga hayo mambo sijawahi kusikiaAsante sana kaka kwa ushauri wako. Je gharama zake zikoje ? Na je sio aina ya waganga wanao taka kufanya mapenzi na wateja ?
Huo ndio uwongo mnaotudanganya..hata babu wa Loliondo kabla ya kukupa unywe kikombe alikuwa anakuombea kwanza na alikuwa ni mchungaji leo hii mmemkana mnamwita tapeliHata wakati huo YESU aliponya wagonjwa...pamoja na kuwa kulikuwa na hospitali..
Imani yako haba