Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

Wasalaam wakuu,

Siku kadhaa zilizopita niliandika uzi hapa nikiomba ushauri kuhusu mtu anayeweza kunisaidia kumtibu mume wangu maradhi ya ukhanithi wa kurogwa.

Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

Nimepokea meseji kutoka kwa watu mbalimbali wakinielekeza nijaribu kuwaona waganga, masheikh na wachungaji mbalimbali.

Ila katika watu wote nilioelekezwa kuwaona ni huyu Mganga anaitwa " Mwandulami " ndio amependekezwa na watu wengi sana.

Nimeelekezwa yupo Njombe na ni wa uhakika na ukweli sana na amesaidia watu wengi sana.

Ninataka kufunga safari kwenda kumuona. Kwa mnao mjua vizuri huyu Mwandulami naomba mnipe maelezo yake tafadhali.

Ninataka kabla sijaenda kumuona nijiridhishe kwanza.Najua hapa JF kuna watu wengi sana na nnajua watakuwepo ambao wameisha kutana na Mwandulami.

ASANTENI SANA.
Nimekuchukia sana na roho yako ya kichawi Na kishetani. Adhabu ambayo Mungu atakupa itakutesa maisha yako yotee
 
Dada kwanza pole kwa yote, pili nakushauri uachane na waganga hawatakusaidia chochote ila utapoteza hela na imani yako kwa Mungu.

Tafadhali naomba mrudie Mungu, fanya toba kwanza kwa kupitia jina la YESU atakusamehe na mumeo atapona.

YESU mimi ameniponya niliumwa sana nikakata tamaa...ila sasa ni mzima.

Nicheki PM

Soma: Yeremia 33:3
 
Huyo niache tu aangamie, jitu gani chawi na halina huruma?
 
Dada kwanza pole kwa yote, pili nakushauri uachane na waganga hawatakusaidia chochote ila utapoteza hela na imani yako kwa Mungu.

Tafadhali naomba mrudie Mungu, fanya toba kwanza kwa kupitia jina la YESU atakusamehe na mumeo atapona.

YESU mimi ameniponya niliumwa sana nikakata tamaa...ila sasa ni mzima.

Nicheki PM

Soma: Yeremia 33:3
Asante sana dada, naja pm.
 
haha eti Yesu amekuponya!...ingekuwa kweli mahospitalini kusingekuw na wagonjwa!
 
Mwandulami amenisaidia sana nenda dada utasaidiwa na tatizo lako litaisha...biashara zangu zilikuwa haziendi vizuri baada ya kwenda kwake sasa hivi mambo yko safi kabisa
 
Kwa uandishi wako huu...kuhusu taratibu za kiganga inaonesha kabisa wewe ni mjuzi wa haya mambo, nahisi kabisa inawezekana hili ni tangazo la biashara,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera kwa uandishi mzur, sisi wengine Yesu anatosha nothing more
 
Wapendwa! Msigombane tafadhari, ila nawewe mwenye mgonjwa tunataka ufafanue kuhusu waganga7 kufa, walikuje? Ukizingatia umesema sababu ya maumbile makubwa ya Mzee wako, ndoo maana wasomaji wanaperekea na tangazo/ uchawi
 
Mwandulami amenisaidia sana nenda dada utasaidiwa na tatizo lako litaisha...biashara zangu zilikuwa haziendi vizuri baada ya kwenda kwake sasa hivi mambo yko safi kabisa
Asante sana kaka kwa ushauri wako. Je gharama zake zikoje ? Na je sio aina ya waganga wanao taka kufanya mapenzi na wateja ?
 
Waulize waliokuwa wakusanya kodi (Idara ya mapato kama sijakosea) toka Iringa miaka ya 1990, wanaweza kukwambia ubaya na uzuri wake nawe uamue kusuka ama kunyoa
 
Asante sana kaka kwa ushauri wako. Je gharama zake zikoje ? Na je sio aina ya waganga wanao taka kufanya mapenzi na wateja ?
Gharama zake inategemea na tatizo lako lakini sio kubwa kivilee mimi nilitumia kama laki mbili na nusu hivi..kufanya mappenzi na wateja yule mzee hanaga hayo mambo sijawahi kusikia
 
Hata wakati huo YESU aliponya wagonjwa...pamoja na kuwa kulikuwa na hospitali..

Imani yako haba
Huo ndio uwongo mnaotudanganya..hata babu wa Loliondo kabla ya kukupa unywe kikombe alikuwa anakuombea kwanza na alikuwa ni mchungaji leo hii mmemkana mnamwita tapeli
 
Back
Top Bottom