Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

Waulize waliokuwa wakusanya kodi (Idara ya mapato kama sijakosea) toka Iringa miaka ya 1990, wanaweza kukwambia ubaya na uzuri wake nawe uamue kusuka ama kunyoa
Tatizo nitawapata wapi kaka angu? Kama unajua abc zake please nijulishe tafadhali
 
Asante sana kaka kwa ushauri wako. Je gharama zake zikoje ? Na je sio aina ya waganga wanao taka kufanya mapenzi na wateja ?
Hapo kwenye red mama utakuwa unauliza makofi Polisi!! Na hivi mnavyojuaga kujiremba,, lazima upigwe hata cha uchawi!!
 
Oh gosh!!
Mungu atuepushie mbali viumbe wa namna hii, nampa pole huyo jamaa alijibebea gunia la misumari hakyanani.
 
Dada kwanza pole kwa yote, pili nakushauri uachane na waganga hawatakusaidia chochote ila utapoteza hela na imani yako kwa Mungu.

Tafadhali naomba mrudie Mungu, fanya toba kwanza kwa kupitia jina la YESU atakusamehe na mumeo atapona.

YESU mimi ameniponya niliumwa sana nikakata tamaa...ila sasa ni mzima.

Nicheki PM

Soma: Yeremia 33:3
Mwambie yesu akawaponye na wale wa ocean road
 
Huo ndio uwongo mnaotudanganya..hata babu wa Loliondo kabla ya kukupa unywe kikombe alikuwa anakuombea kwanza na alikuwa ni mchungaji leo hii mmemkana mnamwita tapeli
Kama huna Imani huwezi nielewa.

Imani ni matarajio ya mambo yajayo ni bayana na vitu visivyoonekana...
 
Huu uzi mi napita
Ila ulichomfanyia mwenzako nawe utafanyiwa vivyo hivyo kwa wakati wako
 
Hilo jina lako hujalitendea haki "fatma"
 
Mwandulami amenisaidia sana nenda dada utasaidiwa na tatizo lako litaisha...biashara zangu zilikuwa haziendi vizuri baada ya kwenda kwake sasa hivi mambo yko safi kabisa
Yeremia 17:5-7 Amelaaniwa yeyote yule amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kinga yake na moyoni mwake amemwacha Bwana
 
Tatizo nitawapata wapi kaka angu? Kama unajua abc zake please nijulishe tafadhali


Ana mchanganyiko wa mambo hatabiriki

Anaweza akabahatisha au akakuliza "maneno ya wengi waliofika huko" ni bora ukahangaike na maandiko kwa imani yako na Mungu wako maana hata hao wanaoitwa watumishi ni ngumu kuwabaini wasema kweli na wapiga pesa, Mungu wako ndiye mwenye jibu la mwisho na la kweli.
 
Ana mchanganyiko wa mambo hatabiriki

Anaweza akabahatisha au akakuliza "maneno ya wengi waliofika huko" ni bora ukahangaike na maandiko kwa imani yako na Mungu wako maana hata hao wanaoitwa watumishi ni ngumu kuwabaini wasema kweli na wapiga pesa, Mungu wako ndiye mwenye jibu la mwisho na la kweli.
Nalijua hilo mkuu ndio maana napambana kujisaidia.. Tafadhali nielezee tu jinsi unavyo mfahamu..
 
Huyu Dada ni bonge LA mshirikina aisee

Yaani bado tu una hangaika na waganga jamani jionee huruma hata wewe na imani yako

Yanini kung'ang'ania tiba za nguvu za Giza .

Halafu na kitakachofanya mgonjwa wako asipone ninwewe mwenyewe kutikiri kwake kwamba ndie uliemroga .

Usipokiri kosa lako haponi kamwa utaangaika bure tu.

Acha na mambo ya Giza mrudi Muumba wako
 
Kwa hiyo unataka ukatuulie Mwandulami wetu? Pambana na hali yako mama uliyataka mwenyewe!! Huyo mganga aliyemfunga usimtishie fedha mwambie uko tayari kumpa papuchi ili amfungue Serengeti boy wako!!
 
Huko kwa waganga hutafanikiwa hata siku moja. Dawa kubwa ni kutubu na mumeo ajue ulichomfanyia, tafuteni watu wa dini muombewe. Pepo mkubwa hapo ni wewe mwenyewe!
Na kama unahitaji kumfahamu huyo mganga funga safari uende ukaonane nae.
Watu hatuamini story zako maana matapeli wengi siku hizi. Ni kama unampigia promo huyo mwandulami mwambie hatuendi ng'o atawapata mazwazwa kama nyie!
 
Dada kwanza pole kwa yote, pili nakushauri uachane na waganga hawatakusaidia chochote ila utapoteza hela na imani yako kwa Mungu.

Tafadhali naomba mrudie Mungu, fanya toba kwanza kwa kupitia jina la YESU atakusamehe na mumeo atapona.

YESU mimi ameniponya niliumwa sana nikakata tamaa...ila sasa ni mzima.

Nicheki PM

Soma: Yeremia 33:3
Unapoteza muda wako kumuhubiria neno. Huyu yeye akili zake anataka waganga wakienyeji wale wapiga ramli.
 
Wasalaam wakuu,

Siku kadhaa zilizopita niliandika uzi hapa nikiomba ushauri kuhusu mtu anayeweza kunisaidia kumtibu mume wangu maradhi ya ukhanithi wa kurogwa.

Ukubwa wa maumbile ya mume wangu umesababisha vifo vya waganga 7

Nimepokea meseji kutoka kwa watu mbalimbali wakinielekeza nijaribu kuwaona waganga, masheikh na wachungaji mbalimbali.

Ila katika watu wote nilioelekezwa kuwaona ni huyu Mganga anaitwa " Mwandulami " ndio amependekezwa na watu wengi sana.

Nimeelekezwa yupo Njombe na ni wa uhakika na ukweli sana na amesaidia watu wengi sana.

Ninataka kufunga safari kwenda kumuona. Kwa mnao mjua vizuri huyu Mwandulami naomba mnipe maelezo yake tafadhali.

Ninataka kabla sijaenda kumuona nijiridhishe kwanza.Najua hapa JF kuna watu wengi sana na nnajua watakuwepo ambao wameisha kutana na Mwandulami.

ASANTENI SANA.
nili bahatika kusoma na mtoto wake alikuwa anafuja pesa kama hana akili nzuri
 
Asante sana dada, naja pm.
Mungu hapimwi kwa imani yako vuguvugu hueleweki unamuhitaji Mungu au binadamu mwandulami. Na ukivichanganya hivi vitu viwili utapigwa pigo takatifu. Chagua kimoja..huko PM kwa huyo dada ni mambo ya Yesu.
 
Back
Top Bottom