DOKEZO Ukumbi Wa Harusi Bethany Mikocheni-Kwa Warioba siri zavuja!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Hongereni kwa kazi na wasomi poleni kwa Masomo, machawa tunawashukuru na wasanii pia kwa kutusimanga sisi wasomi !

Ukumbi wa Bethany unaomilikiwa na thehebu lisiloamini YEsu, wanamiliki ukumbi wa Harusi mikocheni kwa Warioba njia ya kwenda viwandani.

MAUZA UZA YA UKUMBI:-
  1. Ukumbi ni ghali sana , Milioni 4 kwa masaa saba tu .
  2. Ukumbi hupewi viti wala meza.
  3. Ukumbi kitu gani ila kila harusi ikifanyika wanapenyeza mtoto fulani anakuja mbele na kusema yeye ni yatima anaomba na kuomba fedha, mkakati unasukwa kati ya meneja wa ukumbi na mlezi wa huyo mtoto, tena anakuja saa tano usiku kwenye pombe na walevi alafu anasema mtoto.
  4. Wamiliki wana watu wao ambao wanazamia na kujifanya ni watu wa hapo kanisani St Martha, wanakula na kuiba kuliko hata wenye harusi.
  5. Ukumbi umezungukwa na vibaka wa mikocheni, haijulikani qwanapotokea.
  6. Wanapokea milioni 4 na bado wanakwambia ukalipie kibali cha sherehe, 180,000 halmashauri ya kinondoni, sasa sijui mimi nikipanga nyumba mwenye nyumba ataniambia nikalipie land rent?
PENDEKEZO:-
  1. Askofu abadili uongozi wa Ukumbi.
  2. Bei ishushwe maana si halisi.
  3. Wale watoto qanaoletwa usiku wa manane kuiomba wapigwe marufuku maan pia huko ndio wanakutana na walevi, alafu baadae mtaanza kuuliza mimba za utotoni zimetokea wapiIkishindikana, watu watagomea ukumbi
 
Hongereni kwa kazi na wasomi poleni kwa Masomo, machawa tunawashukuru na wasanii pia kwa kutusimanga sisi wasomi !

Ukumbi wa Bethany unaomilikiwa na thehebu lisiloamini YEsu, wanamiliki ukumbi wa Harusi mikocheni kwa Warioba njia ya kwenda viwandani.

MAUZA UZA YA UKUMBI
  1. . Ukumbi ni ghali sana , Milioni 4 kwa masaa saba tu .

PENDEKEZO:

Mhii bongo dalesama
 
Kwani mmelazimishwa, tafuteni kumbi zingine.
 
Mbona kama ni ushauri wa ndani usiofaa kuja kwenye public
 
Mambo yao tuwaachie wenyewe.
Kila mmoja anayeenda hapo kukodi ukumbi anajua ABC za hapo na ameridhia kukabiliana na hayo, kama hauridhishwi na matukio ya hapo unasusa kukodi ukumbi huo na ikitokea watu wakasusa kwenda kukodi hapo, wamiliki wa ukumbi huo watachukua hatua kudhibiti kero hizo.
 
Anayajua baada ya kulipia na siku ya harusi ndio anayajua, hiyo si Bar ya kuangalia mpira useme mtu atakuwa anajua, ukishapigwa tukio ndio unashtukia hali ilivyo.
 
Back
Top Bottom