DOKEZO Ukumbi Wa Harusi Bethany Mikocheni-Kwa Warioba siri zavuja!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
VIPI KAMA ASKOFU NDIYE MHUSIKA MKUU KAWEKA MENEJA AMBAYE NI CHAWA WAKE ANAKULA KUPITIA KWA HUYO MENEJA?

BADO UNAMSHAURI ASKOFU AMTOE? ILI ASKOFU AKALE WAPI?

UNAFIKILI ASKOFU JILI HALIJU? WEWE LIMEKUFIKIAJE HALAFU YEYE LISIMFIKIE?

KILA MTU ALE OFISINI KWAKE PAEE
Hongereni kwa kazi na wasomi poleni kwa Masomo, machawa tunawashukuru na wasanii pia kwa kutusimanga sisi wasomi !

Ukumbi wa Bethany unaomilikiwa na thehebu lisiloamini YEsu, wanamiliki ukumbi wa Harusi mikocheni kwa Warioba njia ya kwenda viwandani.

MAUZA UZA YA UKUMBI
  1. . Ukumbi ni ghali sana , Milioni 4 kwa masaa saba tu .
  2. Ukumbi hupewi viti wala meza.
  3. Ukumbi kitu gani ila kila harusi ikifanyika wanapenyeza mtoto fulani anakuja mbele na kusema yeye ni yatima anaomba na kuomba fedha, mkakati unasukwa kati ya meneja wa ukumbi na mlezi wa huyo mtoto, tena anakuja saa tano usiku kwenye pombe na walevi alafu anasema mtoto.
  4. Wamiliki wana watu wao ambao wanazamia na kujifanya ni watu wa hapo kanisani St Martha, wanakula na kuiba kuliko hata wenye harusi.
  5. Ukumbi umezungukwa na vibaka wa mikocheni, haijulikani qwanapotokea.
  6. Wanapokea milioni 4 na bado wanakwambia ukalipie kibali cha sherehe, 180,000 halmashauri ya kinondoni, sasa sijui mimi nikipanga nyumba mwenye nyumba ataniambia nikalipie land rent?
PENDEKEZO:
  1. Askofu abadili uongozi wa Ukumbi.
  2. Bei ishushwe maana si halisi.
  3. Wale watoto qanaoletwa usiku wa manane kuiomba wapigwe marufuku maan pia huko ndio wanakutana na walevi, alafu baadae mtaanza kuuliza mimba za utotoni zimetokea wapiIkishindikana, watu watagomea ukumbi
Vipi kama ni mradi wa ASKOFU?

Hadi wewe upate hizi Taarifa UNAFIKILI ASKOFU Hana hizi Taarifa?

Vipi kama kaweka MENEJA AMBAYE ni CHAWA wake amkusanyie pesa Bado UNAMSHAURI ASKOFU achukue hatua zipi?

Pambana na Hali yako, Kila mtu ale Kwa urefu wa kamba yake na Kila mtu ale OFISINI KWAKE
 
Hongereni kwa kazi na wasomi poleni kwa Masomo, machawa tunawashukuru na wasanii pia kwa kutusimanga sisi wasomi !

Ukumbi wa Bethany unaomilikiwa na thehebu lisiloamini YEsu, wanamiliki ukumbi wa Harusi mikocheni kwa Warioba njia ya kwenda viwandani.

MAUZA UZA YA UKUMBI
  1. . Ukumbi ni ghali sana , Milioni 4 kwa masaa saba tu .
  2. Ukumbi hupewi viti wala meza.
  3. Ukumbi kitu gani ila kila harusi ikifanyika wanapenyeza mtoto fulani anakuja mbele na kusema yeye ni yatima anaomba na kuomba fedha, mkakati unasukwa kati ya meneja wa ukumbi na mlezi wa huyo mtoto, tena anakuja saa tano usiku kwenye pombe na walevi alafu anasema mtoto.
  4. Wamiliki wana watu wao ambao wanazamia na kujifanya ni watu wa hapo kanisani St Martha, wanakula na kuiba kuliko hata wenye harusi.
  5. Ukumbi umezungukwa na vibaka wa mikocheni, haijulikani qwanapotokea.
  6. Wanapokea milioni 4 na bado wanakwambia ukalipie kibali cha sherehe, 180,000 halmashauri ya kinondoni, sasa sijui mimi nikipanga nyumba mwenye nyumba ataniambia nikalipie land rent?
PENDEKEZO:
  1. Askofu abadili uongozi wa Ukumbi.
  2. Bei ishushwe maana si halisi.
  3. Wale watoto qanaoletwa usiku wa manane kuiomba wapigwe marufuku maan pia huko ndio wanakutana na walevi, alafu baadae mtaanza kuuliza mimba za utotoni zimetokea wapiIkishindikana, watu watagomea ukumbi
Kama Abdul na wenzake wanaweza kuliibia hili taifa kwanini na hawa wasanii wa dini nao wasiibe?
 
Haya unayajua baada ya kulipia, ni sawa na kuripoti uovu polisi alafu unageuzwa shahidi.
Vitu kama kulipia kibali, viti, ni vitu vinavyotakiwa kujulikana kabla ya kutoa fedha. Bei nayo unakubali kutoa, hunyang'anywi. Kuhusu ''mtoto yatima'' hili nalo unaweza kabisa kukataa na kumtoa nduki. Kimsingi kwa maisha ya siku hizi, hutakiwi kumsadia kila mtu anayelia shida bila kumjua kwa undani au kufanya uchanguzi...
 
Back
Top Bottom