Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Hujajitambulisha Bado. We ni nani?
MpKaaa unapeleka harus8 yako hujun ghaloHongereni kwa kazi na wasomi poleni kwa Masomo, machawa tunawashukuru na wasanii pia kwa kutusimanga sisi wasomi !
Ukumbi wa Bethany unaomilikiwa na thehebu lisiloamini YEsu, wanamiliki ukumbi wa Harusi mikocheni kwa Warioba njia ya kwenda viwandani.
MAUZA UZA YA UKUMBI
PENDEKEZO:
- . Ukumbi ni ghali sana , Milioni 4 kwa masaa saba tu .
- Ukumbi hupewi viti wala meza.
- Ukumbi kitu gani ila kila harusi ikifanyika wanapenyeza mtoto fulani anakuja mbele na kusema yeye ni yatima anaomba na kuomba fedha, mkakati unasukwa kati ya meneja wa ukumbi na mlezi wa huyo mtoto, tena anakuja saa tano usiku kwenye pombe na walevi alafu anasema mtoto.
- Wamiliki wana watu wao ambao wanazamia na kujifanya ni watu wa hapo kanisani St Martha, wanakula na kuiba kuliko hata wenye harusi.
- Ukumbi umezungukwa na vibaka wa mikocheni, haijulikani qwanapotokea.
- Wanapokea milioni 4 na bado wanakwambia ukalipie kibali cha sherehe, 180,000 halmashauri ya kinondoni, sasa sijui mimi nikipanga nyumba mwenye nyumba ataniambia nikalipie land rent?
- Askofu abadili uongozi wa Ukumbi.
- Bei ishushwe maana si halisi.
- Wale watoto qanaoletwa usiku wa manane kuiomba wapigwe marufuku maan pia huko ndio wanakutana na walevi, alafu baadae mtaanza kuuliza mimba za utotoni zimetokea wapiIkishindikana, watu watagomea ukumbi
Sahamani lakini, inaeleke wewe ni wale mnafunga barabara mkifanya harusi, nakuamehe bure.MpKaaa unapeleka harus8 yako hujun ghalo
Na kwa nini uende kukodi ukumbi bila kujiridhisha changamoto zilizopo humo?Haya unayajua baada ya kulipia, ni sawa na kuripoti uovu polisi alafu unageuzwa shahidi.
KWAMBA UKIENDA KUMUULIZA KATEKISTA ATAKWAMBIA huwa analeta watoto yatima waje kuomba hela ukumbini?Na kwa nini uende kukodi ukumbi bila kujiridhisha changamoto zilizopo humo?
Au huwa mnatembea tu barabarani mkiona ukumbi mnakodi?
Wewe ni tahira?KWAMBA UKIENDA KUMUULIZA KATEKISTA ATAKWAMBIA huwa analeta watoto yatima waje kuomba hela ukumbini?
Kwamba watakwambai huwa wanakuibia chakula?
Kwamba atakwambai hakuna usalama na kuna wazamiaji ?
Umesema ukumbi unamilikiwa na dhehebu lisiloamini Yesu, lakini bado unataka ushushiwe bei ili uutumie!Ukumbi wa Bethany unaomilikiwa na thehebu lisiloamini YEsu,
PENDEKEZO:
- Askofu abadili uongozi wa Ukumbi.
- Bei ishushwe maana si halisi.
Ukumbi sio kwa ajili ya ndoa na harusi tu, Gwajima amekodi ukumbi RC na anautumia kwa ibadaNdoa na Harusi ni utapeli.
Utashangaa ukumbi wa level za mlimani city halafu kukodisha ni million 1.5 kila kitu free viti hadi mapambo😂Watu wanaumizwa sana, Mchina siku akishtukia biashara ya kumbi za harusi na Upambaji walanguzi watakimbia DAr es salaam.
Tunaandika limekuathiri sio limekuadhiriJoto la DAr limekuadhiri si bure.
Mimi nakaa mikocheni unataka nije ukumbi wa Kimbiji?
Ni Msoto Wa KutakataMhii bongo dalesama