Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Mhii bongo dalesamaHongereni kwa kazi na wasomi poleni kwa Masomo, machawa tunawashukuru na wasanii pia kwa kutusimanga sisi wasomi !
Ukumbi wa Bethany unaomilikiwa na thehebu lisiloamini YEsu, wanamiliki ukumbi wa Harusi mikocheni kwa Warioba njia ya kwenda viwandani.
MAUZA UZA YA UKUMBI
PENDEKEZO:
- . Ukumbi ni ghali sana , Milioni 4 kwa masaa saba tu .
- Ukumbi hupewi viti wala meza.
- Ukumbi kitu gani ila kila harusi ikifanyika wanapenyeza mtoto fulani anakuja mbele na kusema yeye ni yatima anaomba na kuomba fedha, mkakati unasukwa kati ya meneja wa ukumbi na mlezi wa huyo mtoto, tena anakuja saa tano usiku kwenye pombe na walevi alafu anasema mtoto.
- Wamiliki wana watu wao ambao wanazamia na kujifanya ni watu wa hapo kanisani St Martha, wanakula na kuiba kuliko hata wenye harusi.
- Ukumbi umezungukwa na vibaka wa mikocheni, haijulikani qwanapotokea.
- Wanapokea milioni 4 na bado wanakwambia ukalipie kibali cha sherehe, 180,000 halmashauri ya kinondoni, sasa sijui mimi nikipanga nyumba mwenye nyumba ataniambia nikalipie land rent?
- Askofu abadili uongozi wa Ukumbi.
- Bei ishushwe maana si halisi.
- Wale watoto qanaoletwa usiku wa manane kuiomba wapigwe marufuku maan pia huko ndio wanakutana na walevi, alafu baadae mtaanza kuuliza mimba za utotoni zimetokea wapiIkishindikana, watu watagomea ukumbi
Kwani mmelazimishwa, tafuteni kumbi zingine.Hongereni kwa kazi na wasomi poleni kwa Masomo, machawa tunawashukuru na wasanii pia kwa kutusimanga sisi wasomi !
Ukumbi wa Bethany unaomilikiwa na thehebu lisiloamini YEsu, wanamiliki ukumbi wa Harusi mikocheni kwa Warioba njia ya kwenda viwandani.
MAUZA UZA YA UKUMBI
PENDEKEZO:
- . Ukumbi ni ghali sana , Milioni 4 kwa masaa saba tu .
- Ukumbi hupewi viti wala meza.
- Ukumbi kitu gani ila kila harusi ikifanyika wanapenyeza mtoto fulani anakuja mbele na kusema yeye ni yatima anaomba na kuomba fedha, mkakati unasukwa kati ya meneja wa ukumbi na mlezi wa huyo mtoto, tena anakuja saa tano usiku kwenye pombe na walevi alafu anasema mtoto.
- Wamiliki wana watu wao ambao wanazamia na kujifanya ni watu wa hapo kanisani St Martha, wanakula na kuiba kuliko hata wenye harusi.
- Ukumbi umezungukwa na vibaka wa mikocheni, haijulikani qwanapotokea.
- Wanapokea milioni 4 na bado wanakwambia ukalipie kibali cha sherehe, 180,000 halmashauri ya kinondoni, sasa sijui mimi nikipanga nyumba mwenye nyumba ataniambia nikalipie land rent?
- Askofu abadili uongozi wa Ukumbi.
- Bei ishushwe maana si halisi.
- Wale watoto qanaoletwa usiku wa manane kuiomba wapigwe marufuku maan pia huko ndio wanakutana na walevi, alafu baadae mtaanza kuuliza mimba za utotoni zimetokea wapiIkishindikana, watu watagomea ukumbi
Watu wanaumizwa sana, Mchina siku akishtukia biashara ya kumbi za harusi na Upambaji walanguzi watakimbia DAr es salaam.Mhii bongo dalesama
Haya unayajua baada ya kulipia, ni sawa na kuripoti uovu polisi alafu unageuzwa shahidi.Kwani mmelazimishwa, tafuteni kumbi zingine.
Hongereni kwa kazi na wasomi poleni kwa Masomo, machawa tunawashukuru na wasanii pia kwa kutusimanga sisi wasomi !
Ukumbi wa Bethany unaomilikiwa na thehebu lisiloamini YEsu, wanamiliki ukumbi wa Harusi mikocheni kwa Warioba njia ya kwenda viwandani.
MAUZA UZA YA UKUMBI
PENDEKEZO:
- . Ukumbi ni ghali sana , Milioni 4 kwa masaa saba tu .
- Ukumbi hupewi viti wala meza.
- Ukumbi kitu gani ila kila harusi ikifanyika wanapenyeza mtoto fulani anakuja mbele na kusema yeye ni yatima anaomba na kuomba fedha, mkakati unasukwa kati ya meneja wa ukumbi na mlezi wa huyo mtoto, tena anakuja saa tano usiku kwenye pombe na walevi alafu anasema mtoto.
- Wamiliki wana watu wao ambao wanazamia na kujifanya ni watu wa hapo kanisani St Martha, wanakula na kuiba kuliko hata wenye harusi.
- Ukumbi umezungukwa na vibaka wa mikocheni, haijulikani qwanapotokea.
- Wanapokea milioni 4 na bado wanakwambia ukalipie kibali cha sherehe, 180,000 halmashauri ya kinondoni, sasa sijui mimi nikipanga nyumba mwenye nyumba ataniambia nikalipie land rent?
- Askofu abadili uongozi wa Ukumbi.
- Bei ishushwe maana si halisi.
- Wale watoto qanaoletwa usiku wa manane kuiomba wapigwe marufuku maan pia huko ndio wanakutana na walevi, alafu baadae mtaanza kuuliza mimba za utotoni zimetokea wapiIkishindikana, watu watagomea ukumbi
Ukiona haukufai pita kushoto, kama unavyozipita dawa za UTI wakati waugua Kaswende.Mbona kama ni ushauri wa ndani usiofaa kuja kwenye public
Mambo yao tuwaachie wenyewe.Hongereni kwa kazi na wasomi poleni kwa Masomo, machawa tunawashukuru na wasanii pia kwa kutusimanga sisi wasomi !
Ukumbi wa Bethany unaomilikiwa na thehebu lisiloamini YEsu, wanamiliki ukumbi wa Harusi mikocheni kwa Warioba njia ya kwenda viwandani.
MAUZA UZA YA UKUMBI
PENDEKEZO:
- . Ukumbi ni ghali sana , Milioni 4 kwa masaa saba tu .
- Ukumbi hupewi viti wala meza.
- Ukumbi kitu gani ila kila harusi ikifanyika wanapenyeza mtoto fulani anakuja mbele na kusema yeye ni yatima anaomba na kuomba fedha, mkakati unasukwa kati ya meneja wa ukumbi na mlezi wa huyo mtoto, tena anakuja saa tano usiku kwenye pombe na walevi alafu anasema mtoto.
- Wamiliki wana watu wao ambao wanazamia na kujifanya ni watu wa hapo kanisani St Martha, wanakula na kuiba kuliko hata wenye harusi.
- Ukumbi umezungukwa na vibaka wa mikocheni, haijulikani qwanapotokea.
- Wanapokea milioni 4 na bado wanakwambia ukalipie kibali cha sherehe, 180,000 halmashauri ya kinondoni, sasa sijui mimi nikipanga nyumba mwenye nyumba ataniambia nikalipie land rent?
- Askofu abadili uongozi wa Ukumbi.
- Bei ishushwe maana si halisi.
- Wale watoto qanaoletwa usiku wa manane kuiomba wapigwe marufuku maan pia huko ndio wanakutana na walevi, alafu baadae mtaanza kuuliza mimba za utotoni zimetokea wapiIkishindikana, watu watagomea ukumbi
Anayajua baada ya kulipia na siku ya harusi ndio anayajua, hiyo si Bar ya kuangalia mpira useme mtu atakuwa anajua, ukishapigwa tukio ndio unashtukia hali ilivyo.Mambo yao tuwaachie wenyewe.
Kila mmoja anayeenda hapo kukodi ukumbi anajua ABC za hapo na ameridhia kukabiliana na hayo, kama hauridhishwi na matukio ya hapo unasusa kukodi ukumbi huo na ikitokea watu wakasusa kwenda kukodi hapo, wamiliki wa ukumbi huo watachukua hatua kudhibiti kero hizo.
Joto la DAr limekuadhiri si bure.Hapo uliyoyaongea hapo siri ni ipi? Nini kimevuja hapo katika hayo maelezo yako?
Bandiko lako limejaa majungu. Dar kuna kumbi ngapi za sherehe umelazimishwa na nani kwenda hapo?
Ukiona haukufai pita kushoto, kama unavyozipita dawa za UTI wakati una KAswende.
Ila wapinzani bhana, hamtaki mtanzania atoe maoni yake kabisa?Mapovu ya Nini ndugu yangu? Kwani wenye ukumbi wamekufanya Nini ndugu? Tuliza hasira
Hadi u MC ,unakua na MC WA kichina bei poa tu, wale jamaa hata huku watakuja ,acha wajisahauWatu wanaumizwa sana, Mchina siku akishtukia biashara ya kumbi za harusi na Upambaji walanguzi watakimbia DAr es salaam.