DOKEZO Ukumbi Wa Harusi Bethany Mikocheni-Kwa Warioba siri zavuja!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
MpKaaa unapeleka harus8 yako hujun ghalo
 
Na kwa nini uende kukodi ukumbi bila kujiridhisha changamoto zilizopo humo?

Au huwa mnatembea tu barabarani mkiona ukumbi mnakodi?
KWAMBA UKIENDA KUMUULIZA KATEKISTA ATAKWAMBIA huwa analeta watoto yatima waje kuomba hela ukumbini?
Kwamba watakwambai huwa wanakuibia chakula?
Kwamba atakwambai hakuna usalama na kuna wazamiaji ?
 
neno warioba juu ya tabia za ukumbi huo tafadhari toeni hilojina ......
 
KWAMBA UKIENDA KUMUULIZA KATEKISTA ATAKWAMBIA huwa analeta watoto yatima waje kuomba hela ukumbini?
Kwamba watakwambai huwa wanakuibia chakula?
Kwamba atakwambai hakuna usalama na kuna wazamiaji ?
Wewe ni tahira?

Hamna vikao vyenu huko vya sherehe mjadili ukumbi na changamoto zake?
 
Halimuamini Yesu ila Lina askofu au sijaelewa
Mnisaidia wenye hilo kanisa

Watu wana mbinu kadri siku zinavyoenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…