Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,634
- 3,945
Vipi kama ni mradi wa ASKOFU?Hongereni kwa kazi na wasomi poleni kwa Masomo, machawa tunawashukuru na wasanii pia kwa kutusimanga sisi wasomi !
Ukumbi wa Bethany unaomilikiwa na thehebu lisiloamini YEsu, wanamiliki ukumbi wa Harusi mikocheni kwa Warioba njia ya kwenda viwandani.
MAUZA UZA YA UKUMBI
PENDEKEZO:
- . Ukumbi ni ghali sana , Milioni 4 kwa masaa saba tu .
- Ukumbi hupewi viti wala meza.
- Ukumbi kitu gani ila kila harusi ikifanyika wanapenyeza mtoto fulani anakuja mbele na kusema yeye ni yatima anaomba na kuomba fedha, mkakati unasukwa kati ya meneja wa ukumbi na mlezi wa huyo mtoto, tena anakuja saa tano usiku kwenye pombe na walevi alafu anasema mtoto.
- Wamiliki wana watu wao ambao wanazamia na kujifanya ni watu wa hapo kanisani St Martha, wanakula na kuiba kuliko hata wenye harusi.
- Ukumbi umezungukwa na vibaka wa mikocheni, haijulikani qwanapotokea.
- Wanapokea milioni 4 na bado wanakwambia ukalipie kibali cha sherehe, 180,000 halmashauri ya kinondoni, sasa sijui mimi nikipanga nyumba mwenye nyumba ataniambia nikalipie land rent?
- Askofu abadili uongozi wa Ukumbi.
- Bei ishushwe maana si halisi.
- Wale watoto qanaoletwa usiku wa manane kuiomba wapigwe marufuku maan pia huko ndio wanakutana na walevi, alafu baadae mtaanza kuuliza mimba za utotoni zimetokea wapiIkishindikana, watu watagomea ukumbi
Kama Abdul na wenzake wanaweza kuliibia hili taifa kwanini na hawa wasanii wa dini nao wasiibe?Hongereni kwa kazi na wasomi poleni kwa Masomo, machawa tunawashukuru na wasanii pia kwa kutusimanga sisi wasomi !
Ukumbi wa Bethany unaomilikiwa na thehebu lisiloamini YEsu, wanamiliki ukumbi wa Harusi mikocheni kwa Warioba njia ya kwenda viwandani.
MAUZA UZA YA UKUMBI
PENDEKEZO:
- . Ukumbi ni ghali sana , Milioni 4 kwa masaa saba tu .
- Ukumbi hupewi viti wala meza.
- Ukumbi kitu gani ila kila harusi ikifanyika wanapenyeza mtoto fulani anakuja mbele na kusema yeye ni yatima anaomba na kuomba fedha, mkakati unasukwa kati ya meneja wa ukumbi na mlezi wa huyo mtoto, tena anakuja saa tano usiku kwenye pombe na walevi alafu anasema mtoto.
- Wamiliki wana watu wao ambao wanazamia na kujifanya ni watu wa hapo kanisani St Martha, wanakula na kuiba kuliko hata wenye harusi.
- Ukumbi umezungukwa na vibaka wa mikocheni, haijulikani qwanapotokea.
- Wanapokea milioni 4 na bado wanakwambia ukalipie kibali cha sherehe, 180,000 halmashauri ya kinondoni, sasa sijui mimi nikipanga nyumba mwenye nyumba ataniambia nikalipie land rent?
- Askofu abadili uongozi wa Ukumbi.
- Bei ishushwe maana si halisi.
- Wale watoto qanaoletwa usiku wa manane kuiomba wapigwe marufuku maan pia huko ndio wanakutana na walevi, alafu baadae mtaanza kuuliza mimba za utotoni zimetokea wapiIkishindikana, watu watagomea ukumbi
Swali gumu sana hili, Kuhusu Dully ndio naskia saa hii.Kama Abdul na wenzake wanaweza kuliibia hili taifa kwanini na hawa wasanii wa dini nao wasiibe?
SAwa, nimejifunza, elimu ni bahari.Tunaandika limekuathiri sio limekuadhiri
Mlimani City weekend ni 21 milion , week days ni 15 milion.Kukodi ukumbi hapo mlimani city au ubungo plaza shngp wakuu ??
Mwanakamati wa Harusi.Hujajitambulisha Bado. We ni nani?
Duuuh kumbe ghali hivyo,,Mlimani City weekend ni 21 milion , week days ni 15 milion.
Ubungo plaza weekend ni 7 milion na weekdays ni 4 milion.
Rolls Roys!Duuuh kumbe ghali hivyo,,
Hapo waendelee kutapeliwa siyo?.Mambo yasiwe mengi kakodi ukumbi mwingine
Vitu kama kulipia kibali, viti, ni vitu vinavyotakiwa kujulikana kabla ya kutoa fedha. Bei nayo unakubali kutoa, hunyang'anywi. Kuhusu ''mtoto yatima'' hili nalo unaweza kabisa kukataa na kumtoa nduki. Kimsingi kwa maisha ya siku hizi, hutakiwi kumsadia kila mtu anayelia shida bila kumjua kwa undani au kufanya uchanguzi...Haya unayajua baada ya kulipia, ni sawa na kuripoti uovu polisi alafu unageuzwa shahidi.