digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Unadhani kuna binadamu ataishi milele? Aliyedai baadhi ya watanzania ni malofa kafa akiwa na miaka 80+ ambayo ndo umri ukomo Mungu alioweka kwa mwanadamu,sasa ajabu ni nini? Ulitegemea aishi miaka mingapi?Waliodai wengine ni wapumbavu na malofa leo wako wapi ?!. Futi sita chini
Endelea kumkufuru Mungu jibu utalipata
Kipindi hiki, sio hichi acha kuandika Kingoni
Lissu ana corona? [emoji1787]
Huu mkutano ni muhimu sana kwa mstakabali wa taifa letu, tunafuatilia kwa karibu sana.Binafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia nia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa.
Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele ambavyo havitaishia tu ndani ya ukumbi bali shamrashamra hizo zitaendelea nje ya ukumbi na baadae kuhami mitandaoni.
Media za kimataifa nazo hazitakuwa nyuma katika kutangaza matokeo hayo huku Lissu akihojiwa aseme machache juu ya ushindi wake bila kusahau Mbowe kama mwenyekiti kwani ni lazima watataka maoni yake.
Ikitokea hiyo asilimia 5 ndio itatoa mshindi kwa maana ya Nyalandu,ukumbi utapoa ingawa wapo wachache watashangilia ila CCM ndio wataongoza kupokea kwa furaha matokeo hayo kuliko wana-CHADEMA wenyewe.
Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu mara kadhaa,Lissu anabebwa na nyakati kwani hizi ni nyakati zake kama tusemavyo: "kila jambo na wakati wake" na wakati huu ni wa Lissu.
Tusubiri.
Mbona itakuwa ni jambo rahisi mno, wenye mapenzi mema na nia ya mageuzi ya kweli wataunga na Membe kama "Plan B"
Wakili wake peter Kibatala aliiambia mahakama kuwa Mteja wake Lissu ameshindwa kufika mahamani juzi kutokana na kushauriwa kukaa karantini kutokana na ugonjwa wa Corona! Sasa tuna shangaa kumuona Mlimani City
Ole wenu muimbe tuna imani na MboweBinafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia nia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa.
Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele ambavyo havitaishia tu ndani ya ukumbi bali shamrashamra hizo zitaendelea nje ya ukumbi na baadae kuhami mitandaoni.
Media za kimataifa nazo hazitakuwa nyuma katika kutangaza matokeo hayo huku Lissu akihojiwa aseme machache juu ya ushindi wake bila kusahau Mbowe kama mwenyekiti kwani ni lazima watataka maoni yake.
Ikitokea hiyo asilimia 5 ndio itatoa mshindi kwa maana ya Nyalandu,ukumbi utapoa ingawa wapo wachache watashangilia ila CCM ndio wataongoza kupokea kwa furaha matokeo hayo kuliko wana-CHADEMA wenyewe.
Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu mara kadhaa,Lissu anabebwa na nyakati kwani hizi ni nyakati zake kama tusemavyo: "kila jambo na wakati wake" na wakati huu ni wa Lissu.
Tusubiri.
MsindikizajiBinafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia nia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa.
Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele ambavyo havitaishia tu ndani ya ukumbi bali shamrashamra hizo zitaendelea nje ya ukumbi na baadae kuhami mitandaoni.
Media za kimataifa nazo hazitakuwa nyuma katika kutangaza matokeo hayo huku Lissu akihojiwa aseme machache juu ya ushindi wake bila kusahau Mbowe kama mwenyekiti kwani ni lazima watataka maoni yake.
Ikitokea hiyo asilimia 5 ndio itatoa mshindi kwa maana ya Nyalandu,ukumbi utapoa ingawa wapo wachache watashangilia ila CCM ndio wataongoza kupokea kwa furaha matokeo hayo kuliko wana-CHADEMA wenyewe.
Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu mara kadhaa,Lissu anabebwa na nyakati kwani hizi ni nyakati zake kama tusemavyo: "kila jambo na wakati wake" na wakati huu ni wa Lissu.
Tusubiri.
Hali mbaya kichwan mwako.Uchaguzi wa ndani wa chadema wewe unaiwaza sisiemu, kweli huko hali mbaya
Huo ndio ukweli mkuu.......
Wajumbe wasijewakafanya makosa.....
Nyalandu ilikua tu km backup iwapo lolote lingetokea kwa Lissu either kuahirisha kuja nchini akihofia usalama wake ama kuuwawa na kina musiba pindi akitua nchini....
Lkn Mungu aliyelitendea miujiza taifa kupitia kwa Lissu amewapooza madikteta Lissu amerudi kuungana na watz kutafuta ukombozi wa taifa
Mimi naona wewe unawewesuka na mapokezi ya Lissu Airport tarehe 27 iliyopita. Kitu ambacho wewe umeshindwa kutambua ni kwamba ule ulikuwa umati ambao ulipangwa kwa mda mrefu na kwa wafuasi kutoka sehemu mbalimnali za Tanzania.Binafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia nia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa.
Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele ambavyo havitaishia tu ndani ya ukumbi bali shamrashamra hizo zitaendelea nje ya ukumbi na baadae kuhami mitandaoni.
Media za kimataifa nazo hazitakuwa nyuma katika kutangaza matokeo hayo huku Lissu akihojiwa aseme machache juu ya ushindi wake bila kusahau Mbowe kama mwenyekiti kwani ni lazima watataka maoni yake.
Ikitokea hiyo asilimia 5 ndio itatoa mshindi kwa maana ya Nyalandu,ukumbi utapoa ingawa wapo wachache watashangilia ila CCM ndio wataongoza kupokea kwa furaha matokeo hayo kuliko wana-CHADEMA wenyewe.
Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu mara kadhaa,Lissu anabebwa na nyakati kwani hizi ni nyakati zake kama tusemavyo: "kila jambo na wakati wake" na wakati huu ni wa Lissu.
Tusubiri.
Hali itakuwa nzuri sana kwa upande wa Tanzania na watanzania kwa unumla. Ikumbukwe watanzania wana chaguo Moja tu Lissu tu.Binafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia nia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa.
Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele ambavyo havitaishia tu ndani ya ukumbi bali shamrashamra hizo zitaendelea nje ya ukumbi na baadae kuhami mitandaoni.
Media za kimataifa nazo hazitakuwa nyuma katika kutangaza matokeo hayo huku Lissu akihojiwa aseme machache juu ya ushindi wake bila kusahau Mbowe kama mwenyekiti kwani ni lazima watataka maoni yake.
Ikitokea hiyo asilimia 5 ndio itatoa mshindi kwa maana ya Nyalandu,ukumbi utapoa ingawa wapo wachache watashangilia ila CCM ndio wataongoza kupokea kwa furaha matokeo hayo kuliko wana-CHADEMA wenyewe.
Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu mara kadhaa,Lissu anabebwa na nyakati kwani hizi ni nyakati zake kama tusemavyo: "kila jambo na wakati wake" na wakati huu ni wa Lissu.
Tusubiri.
Dr Mwinyi hadi malori yalibeba watu. Maandamano yalifanyika hadi picha na mabango yakatandazwa mitaa yoote ya Mjini magharibi, Malindi, Chukwani, airport, kiembe samaki kote kulifurika matangazo. Lakini watu kiduchu.Mimi naona wewe unawewesuka na mapokezi ya Lissu Airport tarehe 27 iliyopita. Kitu ambacho wewe umeshindwa kutambua ni kwamba ule ulikuwa umati ambao ulipangwa kwa mda mrefu na kwa wafuasi kutoka sehemu mbalimnali za Tanzania.
Ukilinganisha ule umati wa watu kwenye mapokezi ya Lissu na ule wa Dr Mwinyi Zanzibar tu hapo utaona thamani ya Lissu kwa watanzania. Umati wa Dr Mwinyi haukipangwa kwa sbabu hakuna alitegemea kama angeshinda.
Kama umati kama ule wa Lissu Airport na makao makuu ya CHADEMA, Ufipa, unapikuliwa na umati wa Rais alipo simama Mkulanga au Kibiti na ambao watu walijitokeza spontaniously kumsalimia, je ukiwa wa nchi nzima na ukipangwa utakuwaje? Hapo ndipo unaweza sema kuhusu kukubalika kwa Lissu kwa watanzania. Kwa CHADEMA pengine. Mimi sio msemaji wao.
Naona Lissu angefaa kuwa Pengine Waziri flani hivi kuliko kuwa Rais,nadhani kwenye uraisi hatoshi.
Kusikia husikii, kuona huoni hata kusoma hujui?Hizi hesabu ni za shule ya Msingi!?
Wacha nicheke tu hahahaaaa!Kusikia husikii, kuona huoni hata kusoma hujui?
Tundu Lissu Rais baada ya October 28