Ukumbi wa Mlimani City utalipuka kwa shangwe baada ya Lissu kutangazwa mshindi katika kinyang'anyiro cha kumchagua mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA

Waliodai wengine ni wapumbavu na malofa leo wako wapi ?!. Futi sita chini

Endelea kumkufuru Mungu jibu utalipata
Unadhani kuna binadamu ataishi milele? Aliyedai baadhi ya watanzania ni malofa kafa akiwa na miaka 80+ ambayo ndo umri ukomo Mungu alioweka kwa mwanadamu,sasa ajabu ni nini? Ulitegemea aishi miaka mingapi?
 
Lissu ana corona? [emoji1787]

Wakili wake peter Kibatala aliiambia mahakama kuwa Mteja wake Lissu ameshindwa kufika mahamani juzi kutokana na kushauriwa kukaa karantini kutokana na ugonjwa wa Corona! Sasa tuna shangaa kumuona Mlimani City
 
Binafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia nia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa.

Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele ambavyo havitaishia tu ndani ya ukumbi bali shamrashamra hizo zitaendelea nje ya ukumbi na baadae kuhami mitandaoni.

Media za kimataifa nazo hazitakuwa nyuma katika kutangaza matokeo hayo huku Lissu akihojiwa aseme machache juu ya ushindi wake bila kusahau Mbowe kama mwenyekiti kwani ni lazima watataka maoni yake.

Ikitokea hiyo asilimia 5 ndio itatoa mshindi kwa maana ya Nyalandu,ukumbi utapoa ingawa wapo wachache watashangilia ila CCM ndio wataongoza kupokea kwa furaha matokeo hayo kuliko wana-CHADEMA wenyewe.

Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu mara kadhaa,Lissu anabebwa na nyakati kwani hizi ni nyakati zake kama tusemavyo: "kila jambo na wakati wake" na wakati huu ni wa Lissu.

Tusubiri.
Huu mkutano ni muhimu sana kwa mstakabali wa taifa letu, tunafuatilia kwa karibu sana.
 
Mbona itakuwa ni jambo rahisi mno, wenye mapenzi mema na nia ya mageuzi ya kweli wataunga na Membe kama "Plan B"

Membe tena kaka, mbona ngumu kumeza?
 
Wakili wake peter Kibatala aliiambia mahakama kuwa Mteja wake Lissu ameshindwa kufika mahamani juzi kutokana na kushauriwa kukaa karantini kutokana na ugonjwa wa Corona! Sasa tuna shangaa kumuona Mlimani City

Hakuna kesi hapo bali kupotezeana muda. Hizo mahakama zimejigeuza kuwa tawi la ccm.
 
Binafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia nia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa.

Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele ambavyo havitaishia tu ndani ya ukumbi bali shamrashamra hizo zitaendelea nje ya ukumbi na baadae kuhami mitandaoni.

Media za kimataifa nazo hazitakuwa nyuma katika kutangaza matokeo hayo huku Lissu akihojiwa aseme machache juu ya ushindi wake bila kusahau Mbowe kama mwenyekiti kwani ni lazima watataka maoni yake.

Ikitokea hiyo asilimia 5 ndio itatoa mshindi kwa maana ya Nyalandu,ukumbi utapoa ingawa wapo wachache watashangilia ila CCM ndio wataongoza kupokea kwa furaha matokeo hayo kuliko wana-CHADEMA wenyewe.

Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu mara kadhaa,Lissu anabebwa na nyakati kwani hizi ni nyakati zake kama tusemavyo: "kila jambo na wakati wake" na wakati huu ni wa Lissu.

Tusubiri.
Ole wenu muimbe tuna imani na Mbowe
 
Msindikizaji
 
Huo ndio ukweli mkuu.......

Wajumbe wasijewakafanya makosa.....

Nyalandu ilikua tu km backup iwapo lolote lingetokea kwa Lissu either kuahirisha kuja nchini akihofia usalama wake ama kuuwawa na kina musiba pindi akitua nchini....

Lkn Mungu aliyelitendea miujiza taifa kupitia kwa Lissu amewapooza madikteta Lissu amerudi kuungana na watz kutafuta ukombozi wa taifa

Tunampenda sana TAML na tunahitaji apate sapoti kubwa tika kwa wadau wenye pesa nyingi kwa ajili ya uchaguzi sababu inasemekana yeye hana pesa nyingi kama Nyalandu.

Pia natamani sana TAML, hatimaye aungwe mkono na Membe wa ACT Wazalendo na vyama vingine vyote vyenye mapenzi mema kwa Tanzania!
 
Binafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia nia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa.

Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele ambavyo havitaishia tu ndani ya ukumbi bali shamrashamra hizo zitaendelea nje ya ukumbi na baadae kuhami mitandaoni.

Media za kimataifa nazo hazitakuwa nyuma katika kutangaza matokeo hayo huku Lissu akihojiwa aseme machache juu ya ushindi wake bila kusahau Mbowe kama mwenyekiti kwani ni lazima watataka maoni yake.

Ikitokea hiyo asilimia 5 ndio itatoa mshindi kwa maana ya Nyalandu,ukumbi utapoa ingawa wapo wachache watashangilia ila CCM ndio wataongoza kupokea kwa furaha matokeo hayo kuliko wana-CHADEMA wenyewe.

Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu mara kadhaa,Lissu anabebwa na nyakati kwani hizi ni nyakati zake kama tusemavyo: "kila jambo na wakati wake" na wakati huu ni wa Lissu.

Tusubiri.
Mimi naona wewe unawewesuka na mapokezi ya Lissu Airport tarehe 27 iliyopita. Kitu ambacho wewe umeshindwa kutambua ni kwamba ule ulikuwa umati ambao ulipangwa kwa mda mrefu na kwa wafuasi kutoka sehemu mbalimnali za Tanzania.

Ukilinganisha ule umati wa watu kwenye mapokezi ya Lissu na ule wa Dr Mwinyi Zanzibar tu hapo utaona thamani ya Lissu kwa watanzania. Umati wa Dr Mwinyi haukipangwa kwa sbabu hakuna alitegemea kama angeshinda.

Kama umati kama ule wa Lissu Airport na makao makuu ya CHADEMA, Ufipa, unapikuliwa na umati wa Rais alipo simama Mkulanga au Kibiti na ambao watu walijitokeza spontaniously kumsalimia, je ukiwa wa nchi nzima na ukipangwa utakuwaje? Hapo ndipo unaweza sema kuhusu kukubalika kwa Lissu kwa watanzania. Kwa CHADEMA pengine. Mimi sio msemaji wao.
 
Hali itakuwa nzuri sana kwa upande wa Tanzania na watanzania kwa unumla. Ikumbukwe watanzania wana chaguo Moja tu Lissu tu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mimi naona wewe unawewesuka na mapokezi ya Lissu Airport tarehe 27 iliyopita. Kitu ambacho wewe umeshindwa kutambua ni kwamba ule ulikuwa umati ambao ulipangwa kwa mda mrefu na kwa wafuasi kutoka sehemu mbalimnali za Tanzania.

Ukilinganisha ule umati wa watu kwenye mapokezi ya Lissu na ule wa Dr Mwinyi Zanzibar tu hapo utaona thamani ya Lissu kwa watanzania. Umati wa Dr Mwinyi haukipangwa kwa sbabu hakuna alitegemea kama angeshinda.

Kama umati kama ule wa Lissu Airport na makao makuu ya CHADEMA, Ufipa, unapikuliwa na umati wa Rais alipo simama Mkulanga au Kibiti na ambao watu walijitokeza spontaniously kumsalimia, je ukiwa wa nchi nzima na ukipangwa utakuwaje? Hapo ndipo unaweza sema kuhusu kukubalika kwa Lissu kwa watanzania. Kwa CHADEMA pengine. Mimi sio msemaji wao.
Dr Mwinyi hadi malori yalibeba watu. Maandamano yalifanyika hadi picha na mabango yakatandazwa mitaa yoote ya Mjini magharibi, Malindi, Chukwani, airport, kiembe samaki kote kulifurika matangazo. Lakini watu kiduchu.

Acha kulinganisha Lissu na vitu vya hovyo
 
Naona Lissu angefaa kuwa Pengine Waziri flani hivi kuliko kuwa Rais,nadhani kwenye uraisi hatoshi.
 
Nyie sijui mkoje. Nyalandu si ni mwanachama wenu tena mlimuita kijana Jasiri, aliyeamua kuachia ubunge wake na kujiunga na upinzani, leo kawa CCM tena, na hafai kupeperusha Bendera yenu.

Mbona hamko wakweli, si mgemzuia au kunchekecha kabla hajaingia 3 bora. Kwa akishindwa ni mwana CDM, akishunda ni pandikizi la CCM.

Ukweli ni kuwa Lissu na Nyalandu wote ni vijana makini na mwatanzania, mimi sio cdm, ni ccm damu, lakini tukishndwa kura, na mmojawapo wa hao au hata Membe akichaguliwa, atakuwa Raisi wangu na anastahili heshima na kufanya kazi naye.
 
Ni YEYE TU!

Image
 
Lini ulifanya tathmini kwamba Lissu hatoshi Urais? Na hiyo tathmini yako ulitumia vigezo gani?

Back
Top Bottom