Ukumbi wa Mlimani City utalipuka kwa shangwe baada ya Lissu kutangazwa mshindi katika kinyang'anyiro cha kumchagua mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA

What if kesi za lisu zikamsweka lupango si atakuwa disqualified?
 
Vile vile hili ni kipindi cha frustrations kwa watu kama nyie na tuombee tu tusisikie kuna watu au mtu kaanguka baada ya kupata mshituko wa moyo, kisukari kupanda,n.k.

Hahahaaahaaa!!!!......
akili yenu inawambia kuwa kila anayewakosoa ni mwana CCM

BE OPEN MINDED

Word is enough for the wise!!!!.....
 
Binafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia nia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa.

Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele ambavyo havitaishia tu ndani ya ukumbi bali shamrashamra hizo zitaendelea nje ya ukumbi na baadae kuhami mitandaoni.

Media za kimataifa nazo hazitakuwa nyuma katika kutangaza matokeo hayo huku Lissu akihojiwa aseme machache juu ya ushindi wake bila kusahau Mbowe kama mwenyekiti kwani ni lazima watataka maoni yake.

Ikitokea hiyo asilimia 5 ndio itatoa mshindi kwa maana ya Nyalandu,ukumbi utapoa ingawa wapo wachache watashangilia ila CCM ndio wataongoza kupokea kwa furaha matokeo hayo kuliko wana-CHADEMA wenyewe.

Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu mara kadhaa,Lissu anabebwa na nyakati kwani hizi ni nyakati zake kama tusemavyo: "kila jambo na wakati wake" na wakati huu ni wa Lissu.

Tusubiri.
We nani kakupa hela upeleke gwanda lako kwa dobi?
 
Vile vile hili ni kipindi cha frustrations kwa watu kama nyie na tuombee tu tusisikie kuna watu au mtu kaanguka baada ya kupata mshituko wa moyo, kisukari kupanda,n.k.

Mkuu hivi Lissu ameshatoka karantini kama ilivyo juzwa mahakama na wakili wake?
 
Mbona mimi nipo kwenye ngazi ya maamuzi na tayari tuna Lissu bwasheeeeee emb acha kuwanga mchana bwasheeeeee. Mwambieni JIWE ajiandae kwa makombora na tayari tumechomoa nyaraka zote za siri ikulu

Kwa hiyo Lissu ameshatoka isolation? Maana tulijuzwa kuwa yuko karantini kutokana na Corona hahahaha
 
Atakayepita ni yule tu atakaekubaliana na DJ Mbowe ili aendelee kula ruzuku peke yake na vibaraka wenzie aliowaeneza humu kwenye jukwaa hili. hiki chama cha ukoo wa kina Mbowe kitakufa kibudu.
 
Binafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia nia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa.

Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele ambavyo havitaishia tu ndani ya ukumbi bali shamrashamra hizo zitaendelea nje ya ukumbi na baadae kuhami mitandaoni.

Media za kimataifa nazo hazitakuwa nyuma katika kutangaza matokeo hayo huku Lissu akihojiwa aseme machache juu ya ushindi wake bila kusahau Mbowe kama mwenyekiti kwani ni lazima watataka maoni yake.

Ikitokea hiyo asilimia 5 ndio itatoa mshindi kwa maana ya Nyalandu,ukumbi utapoa ingawa wapo wachache watashangilia ila CCM ndio wataongoza kupokea kwa furaha matokeo hayo kuliko wana-CHADEMA wenyewe.

Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu mara kadhaa,Lissu anabebwa na nyakati kwani hizi ni nyakati zake kama tusemavyo: "kila jambo na wakati wake" na wakati huu ni wa Lissu.

Tusubiri.
Ungekuwa mwanamama TL angekufaidi
 
Kosa lile la Lowassa kwa Slaa halipaswi kabisa kurudiwa. Kiu ya wana CDM na umma wa Watanzania ipo wazi. Wote wanahitaji mtu sahihi na makini wa kumkabili mgombea wa chama tawala. Any silly mistake will cost profoundly CDM.
 
Hivi Lissu akikatwa na tume CHADEMA itafanyaje? Je kuna mazingira ya namna hiyo yanaweza kujitokezA?

Ndio hapo itafahamika kabisa kuwa Magufuli hapendi, bali anashurutisha kupendwa. Na itafahamika kabisa yeye ndiye amekuwa akiagiza chaguzi zinajisiwe.
 
Nyalandu ana hela za kampeni,Tindu Lisu hana anategemea ruzuku ya Chama.

Hivyo kwa Wananchi Lisu ndio Chaguo bora kabisa ila kwa Mwenyekiti Nyalandu ana nafasi kubwa zaidi.

Mwenyekiti ndio atampigia kura Nyalandu.
 
Ndio hapo itafahamika kabisa kuwa Magufuli hapendi, bali anashurutisha kupendwa. Na itafahamika kabisa yeye ndiye amekuwa akiagiza chaguzi zinajisiwe.
Mbona itakuwa ni jambo rahisi mno, wenye mapenzi mema na nia ya mageuzi ya kweli wataunga na Membe kama "Plan B"
 
Back
Top Bottom