Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama meko amekua,nani itamshinda!!Lissu ni nani? Huyu ni lofa tu hawezi kuwa rais wa jmt Leo wala kesho
Vile vile hili ni kipindi cha frustrations kwa watu kama nyie na tuombee tu tusisikie kuna watu au mtu kaanguka baada ya kupata mshituko wa moyo, kisukari kupanda,n.k.
We nani kakupa hela upeleke gwanda lako kwa dobi?Binafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia nia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa.
Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele ambavyo havitaishia tu ndani ya ukumbi bali shamrashamra hizo zitaendelea nje ya ukumbi na baadae kuhami mitandaoni.
Media za kimataifa nazo hazitakuwa nyuma katika kutangaza matokeo hayo huku Lissu akihojiwa aseme machache juu ya ushindi wake bila kusahau Mbowe kama mwenyekiti kwani ni lazima watataka maoni yake.
Ikitokea hiyo asilimia 5 ndio itatoa mshindi kwa maana ya Nyalandu,ukumbi utapoa ingawa wapo wachache watashangilia ila CCM ndio wataongoza kupokea kwa furaha matokeo hayo kuliko wana-CHADEMA wenyewe.
Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu mara kadhaa,Lissu anabebwa na nyakati kwani hizi ni nyakati zake kama tusemavyo: "kila jambo na wakati wake" na wakati huu ni wa Lissu.
Tusubiri.
Vile vile hili ni kipindi cha frustrations kwa watu kama nyie na tuombee tu tusisikie kuna watu au mtu kaanguka baada ya kupata mshituko wa moyo, kisukari kupanda,n.k.
Mbona mimi nipo kwenye ngazi ya maamuzi na tayari tuna Lissu bwasheeeeee emb acha kuwanga mchana bwasheeeeee. Mwambieni JIWE ajiandae kwa makombora na tayari tumechomoa nyaraka zote za siri ikulu
Lissu ana corona? 🤣Kwa hiyo Lissu ameshatoka isolation? Maana tulijuzwa kuwa yuko karantini kutokana na Corona hahahaha
Huyu nae vip?!!
Waliodai wengine ni wapumbavu na malofa leo wako wapi ?!. Futi sita chiniLissu ni nani? Huyu ni lofa tu hawezi kuwa rais wa jmt Leo wala kesho
Nyani NgabuCorona imeisha?
Ungekuwa mwanamama TL angekufaidiBinafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia nia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa.
Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele ambavyo havitaishia tu ndani ya ukumbi bali shamrashamra hizo zitaendelea nje ya ukumbi na baadae kuhami mitandaoni.
Media za kimataifa nazo hazitakuwa nyuma katika kutangaza matokeo hayo huku Lissu akihojiwa aseme machache juu ya ushindi wake bila kusahau Mbowe kama mwenyekiti kwani ni lazima watataka maoni yake.
Ikitokea hiyo asilimia 5 ndio itatoa mshindi kwa maana ya Nyalandu,ukumbi utapoa ingawa wapo wachache watashangilia ila CCM ndio wataongoza kupokea kwa furaha matokeo hayo kuliko wana-CHADEMA wenyewe.
Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu mara kadhaa,Lissu anabebwa na nyakati kwani hizi ni nyakati zake kama tusemavyo: "kila jambo na wakati wake" na wakati huu ni wa Lissu.
Tusubiri.
Wakienda kinyume na matarajio ya wapenzi, mashabiki, wafurukutwa, wakererketwa na wanachama tutawashangaa sana wajumbe.
Kipindi hiki, sio hichi acha kuandika KingoniHichi ndicho kipindi ambacho ambacho matumizi ya akili yako chini sana........inatawala mihemko na tu munkari......
Mungu atuvushe salama kipindi hichi!
Kosa lile la Lowassa kwa Slaa halipaswi kabisa kurudiwa. Kiu ya wana CDM na umma wa Watanzania ipo wazi. Wote wanahitaji mtu sahihi na makini wa kumkabili mgombea wa chama tawala. Any silly mistake will cost profoundly CDM.Binafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia nia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa.
Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele ambavyo havitaishia tu ndani ya ukumbi bali shamrashamra hizo zitaendelea nje ya ukumbi na baadae kuhami mitandaoni.
Media za kimataifa nazo hazitakuwa nyuma katika kutangaza matokeo hayo huku Lissu akihojiwa aseme machache juu ya ushindi wake bila kusahau Mbowe kama mwenyekiti kwani ni lazima watataka maoni yake.
Ikitokea hiyo asilimia 5 ndio itatoa mshindi kwa maana ya Nyalandu,ukumbi utapoa ingawa wapo wachache watashangilia ila CCM ndio wataongoza kupokea kwa furaha matokeo hayo kuliko wana-CHADEMA wenyewe.
Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu mara kadhaa,Lissu anabebwa na nyakati kwani hizi ni nyakati zake kama tusemavyo: "kila jambo na wakati wake" na wakati huu ni wa Lissu.
Tusubiri.
Hivi Lissu akikatwa na tume CHADEMA itafanyaje? Je kuna mazingira ya namna hiyo yanaweza kujitokezA?
Nyalandu ana hela za kampeni,Tindu Lisu hana anategemea ruzuku ya Chama.
Hivyo kwa Wananchi Lisu ndio Chaguo bora kabisa ila kwa Mwenyekiti Nyalandu ana nafasi kubwa zaidi.
Mbona itakuwa ni jambo rahisi mno, wenye mapenzi mema na nia ya mageuzi ya kweli wataunga na Membe kama "Plan B"Ndio hapo itafahamika kabisa kuwa Magufuli hapendi, bali anashurutisha kupendwa. Na itafahamika kabisa yeye ndiye amekuwa akiagiza chaguzi zinajisiwe.