Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

Hivi hilo dhehebu ndilo lile ambalo yule jambazi wa kura huwa analitumia kuenezea propaganda zake za kishenzi & kishirikina l
 
"Kanisa ni Moja,takatifu Katoliki......." Mkuu GREENER , hii sehemu imeandikwa katika kitabu gani cha Biblia?

Ahsante
 
Mimi sijapinga kwamba hilo jengo halina muonekano wa nyoka (naomba unielewe vyema point hii)

Ila nahoji kutaka kujua kwanini conclusion yenu kwa muonekano wa jengo hilo liashirie ni ishara ya ushetani na sio kinyume chake?
Unahoji conclusion yetu au ume propose conclusion yako pia?

Naweza kukuuliza swali hilo hilo
"Kwanini hio alama ya nyoka i-base kwenye nyoka wa shaba na sio vinginevyo?"

Pia conclusion yangu haija base kwenye ushetani na hakuna pahala niliposema ivyo.....
 
Mimi sijaweka conclusion nimeweka suggestion kwa mtindo wa swali ku challenge dhana ambayo wengi wenu humu mnaishikilia

Nyinyi ambao mmeona hilo jumba linamuonekano wa nyoka wengi wenu mmejadili negatively swala hilo as if symbol ya nyoka ina taswira mbaya katika mafundisho ya dini kitu ambacho ni UWONGO
 
Mda mwingine kupata reactions nyingi kwa kile kilichoandikwa haaimanishi muandiahi kapatia sana kuandika ,lakin ni wazo LA........ Okay tuishiee hapo
 
Nlichokuja gundua watu wanatetea uovu hawapendi ambiwa ukweli....ntakuja na siasa nyingi propaganda kibao lakini those things are useless and demonic
 
Mti mwema hujulikana kwa matunda yake, nitajie movement moja inayoashiria viongozi wa vatcan ni watu waovu na wapinga cristo, achana na hizo picha za ku zoom na kuunga. Je pope yupo kutete man kind au anguko la mankind? Uovu au ubaya ni nini? Kazi ya shetani ni ipi? Utamtambuaje shetani na kazi zake? Kwa kuangalia picha ya kanisa au ukumbi? Think big
 
Even Satan sometimes masquerades as an angel of light
 
Ni hivi, if you know what is good then you know God, but if you don't then you don't know God and you are ignorant, but let me assure you one thing, God has always enjoyed our differences such than when we came together bible told us He confused our language
 
kuna PAPA kiongozi wa kanisa Catholic, PAPA ya father(baba), PAPA yule samaki/ mnyama wa majini, Alafu kuna PAPA wa gigy .....alafu kuna maana gani nyingine ya PAPA mkuu???
We PAPA Ndama na PAPA msofe kuongeza A ni matamshi tuuu.Au nasema uongo ndigu zangu!
 
"Biblia imeandikwa na wakatoliki" funga mdomo na kaa kimya pumbavu

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwanza nikupongeze , kuwaza au kufikiria kitu ambacho wengine wengi wakiwemo wanaopongeza huu mchango hawakukiwaza kabla. KONGOLE kwako

Mimi ni mwandishi, Na skuileta hii Nadharia kwamba Nakubali au Laah, ndio maana nikasisitiza hizi ni Claims.
Niliitaji ili Ije kuwa majadiliano baina Ya watu wanaopembua mambo,Na hivi ndivyo ilivyotakiwa sio hawa ndugu zetu wengine wanaoporomosha matusi ,kutokana na mhemko wa kiimani
Na watu wa namna hiyo huwa Tunawakalia kimya
Maana jibu la kumjibu mpumbavu ni kumkalia kimya

Lakini Je kwanini wawazie NEGATIVELY tu na Sio POSITIVELY
kama Ulivyouliza.

Basi nlitamaani niandike kwa Upana ila PARAGRAGH yangu ya Mwisho ina Majibu ya swali lako ni kwanini imehisiwa hivyo...
Shukraani🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…