Ukurasa Maalumu wenye picha za Rais wa Urusi, Vladimir Putin

Ukurasa Maalumu wenye picha za Rais wa Urusi, Vladimir Putin

VITA [emoji125][emoji125][emoji125]!! Hii vita inanikumbusha Mtukula VITA ya Nduli AMINI, haliilivyozidi kua mbaya, mapambano ya usiku ilibidi tulale kwenye MIILI kumi na sita iliyo haribiwa na mabomu miili ya asikari wa Uganda tulilala mpaka alfajiri ndio tukaanza kuteleza mmoja mmoja taratibu, USIOMBEE isikie tu kama ninavyo elezewa!!

Aisee Poleni sana, vita isikie kwa mwingine, mwaka huo nilikuwa mdogo na nilikuwa naishi Mbezi Luis kulikuwa hakujajengeka kama sasa hivi ni Giza tupu na nyumbani kulipandwa migomba basi migomba ikitingishika na upepo naona kama wanajeshi wa Idd Amin[emoji31][emoji31] Ndege ikipita angani hasa usiku nakimbia ndani kujificha[emoji23][emoji23][emoji23]nina shangazi yangu anaishi Bukoba anasema walikuwa wanalala kwenye maandaki kila nyumba ilifundishwa jinsi ya kuchimba maandaki.
 
IMG_4776.jpg
 
Dùuuuuuuuùu, hadi nyangumi alishapanda, it's more than dangerous
Hahaha jamaa ni dizain ya wale watu wakati wakifanya maamuzi magumu akili zao wanazifungiaga kabatini.

Huyu stand up comedy rais wa Ukraine wakati mwenzake akifanya michezo ya hatari ya kujitoa ufahamu kama hii yeye alikuwa amejifungia ukumbini akichekesha watu.
 
Team Putin
Timu Gym
Timu Kazi kazi tu
Timu mikausho
Daaaah, Kiduku anapasha jalamba, sjui itakuaje?
 
Aisee Poleni sana, vita isikie kwa mwingine, mwaka huo nilikuwa mdogo na nilikuwa naishi Mbezi Luis kulikuwa hakujajengeka kama sasa hivi ni Giza tupu na nyumbani kulipandwa migomba basi migomba ikitingishika na upepo naona kama wanajeshi wa Idd Amin[emoji31][emoji31] Ndege ikipita angani hasa usiku nakimbia ndani kujificha[emoji23][emoji23][emoji23]nina shangazi yangu anaishi Bukoba anasema walikuwa wanalala kwenye maandaki kila nyumba ilifundishwa jinsi ya kuchimba maandaki.
Asante, Aisee umenikukumbusha tulivyokuwa tunawafundisha kuchimba handaki la familia na handaki la kawaida, unakuta unakurupushwa huko unakimbia handaki litakalo kuwa mbeleyako basi ni halali yako unazama unaskilizia ikiwashari unadonga[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom