Dah nchi hii inahitaji ukombozi, koo wanaweza ku verified account ya parody kwa jina la nchi ? "Tanzania Government"Una uhakika ni ya serikali? Ulishaingia kwa hiyo account kabla au baada ya hiyo post??
Kifupi raisi awaache watu wale bila bugudha.Kigogo hakamatiki! Kangi Lugola alijiapiza, lakini mpaka anatumbuliwa na bosi wake, alishindwa kumtia mikononi!
Dawa sahihi ni kwa serikali mpya kukibali tu kubadilika. Rais avunje Baraza la Mawaziri. Airudishe Nchi katika misingi sahihi ya kiutawala, na mwisho wa siku huyo Kigogo atapoteza mashabiki na kupotea kabisa.
Mbona hata aliyepita aliwabana tu wale ambao hawakuwa wa upande wake? Vipi akina Makonda alio watangaza hadharani kutaka kukwepa kodi? Aliwachukulia hatua gani?Kifupi raisi awaache watu wale bila bugudha.
Na anaijua Ifakara nje ndani...Man city na yanga
Kwa mimi naona ni mmoja ila taarifa anapokea kwa watu tofauti tofauti ambao ni spy wake🚶🚶Mzee yule sio watu wengi ni mmoja tu kama unabisha nenda kamuulize kuhusu MANCITY .
Haiwezekani taasisi nzima ishabikie team moja boss
Ha ha ha ha labda wamekubaliana!Mzee yule sio watu wengi ni mmoja tu kama unabisha nenda kamuulize kuhusu MANCITY .
Haiwezekani taasisi nzima ishabikie team moja boss