mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Aisee mimi mshanichosha kama janga la uelewa ni kubwa kiasi hiki naona JPM alikuwa sawa tu kuwanyoosha.kwa uelewa wako Polisi haijawhi kutngaza officially au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee mimi mshanichosha kama janga la uelewa ni kubwa kiasi hiki naona JPM alikuwa sawa tu kuwanyoosha.kwa uelewa wako Polisi haijawhi kutngaza officially au?
Sasa hivi umeongea vyema.Sasa wewe umeandika logic gani hapa zaidi ya mahaba ndio yanakuendesha?
Unataka nikupe facts? haya hizi hapa
Angalia email iliyotumika kufungulia hii account, je ni email address ya ikulu? Lakini ikawa verified
View attachment 1736426View attachment 1736426
Kabla ya kuifunga hii account Facebook waliondoa blue tick, umejiuliza why? jamani punguzeni mahaba au chuki mpaka mnagoma kuupokea ukweli.
View attachment 1736430
Leo unajikana tena chief 😎😎😎Kigogo tena hahaha
Elimu unajipa mwenyewe. Hakuna mtu atakayekufuata kukupa elimu. Hii hii internet imejaa elimu kibao. Usikimbilie ku-follow mambo ya kijinga kama ya akina Diamond etc. Soma mambo ya maana.Mkuu badala ya kutuona sisi watanzania ni mambumbu mimi naoana ungejikita kutupa elimu ya kutofautisha Fake account na Genuine acc kwenye mitandao, Tutashukuru mkuu
Kwaiyo nije upate pesa sio pesa ndefuLeo unajikana tena chief 😎😎😎
😆😆😆😆 peda ya kawaida tu.. Gift fatKwaiyo nije upate pesa sio pesa ndefu
wewe ulikuwa unalazimisha hiyo page imefunguliwa na ikulu nimekuwekea email address iliyofungua hiyo account unasema imepachikwa...Sasa unadhani kuna haja ya mimi kuendelea kupoteza muda wangu kwa mtu anaepambania umbeya uwe ukweli? wewe si umesema unaijua mitandao wewe why unauliza vitu ambavyo vipo very clear.Sasa hivi umeongea vyema.
Haya sasa tuanze.
Page ya kwanza yenye blue tick ina hiyo email ya es@plancom.go.tz
Picha ya page iliyoondolewa blue tick kabla ya kufutwa haina hiyo email, ina website peke yake.
Kwa unavyoamini, mtu anayeweza kufungua hiyo page hawezi google ili kupata email ya ikulu? Aipachike tu hapo ili iwe more convincing?
Serikali ilitakiwa kuikana hii page. Nafikiri hawajaikana mpaka muda huu.
Gift fat tena si ungesema zawadi kubwa kama tembo😆😆😆😆 peda ya kawaida tu.. Gift fat
Sawa mkuu sasa mbona ule ukurasa ulikuwa na Blue Badge? Je ili tujue ukurasa ni halali si tunangalia Blue badge ilikuwaje ile page ikawa verified?Elimu unajipa mwenyewe. Hakuna mtu atakayekufuata kukupa elimu. Hii hii internet imejaa elimu kibao. Usikimbilie ku-follow mambo ya kijinga kama ya akina Diamond etc. Soma mambo ya maana.
😀😀😀😀😀 Bwana Flani.. Ukihamuka nipe code, nije na askari polisi tukukamate tule mpunga mzitoGift fat tena si ungesema zawadi kubwa kama tembo
Nitakupa ila wambie wakuambie watakupa kiasi gani ili tujuwe kama ni fat kweli!😀😀😀😀😀 Bwana Flani.. Ukihamuka nipe code, nije na askari polisi tukukamate tule mpunga mzito
foji na wewe basi tukuone bichwa lakoDocuments gani? Wahuni hawawezi kufoji na kujifanya ni serikali?
Ila zingine za kweli au siyo kama mhe. Akiwa msikitiniNdio maana Mkapa aliwatukana kwa kuwaita malofa. Watanzania wengi wajinga sana, huyo Kigogo mwenyewe ni mpiga ramli tu sio kila taarifa anayotoa ni ya kweli
Inabidi waanzie 8.8 BillionNitakupa ila wambie wakuambie watakupa kiasi gani ili tujuwe kama ni fat kweli!
Duh hatari.wewe ulikuwa unalazimisha hiyo page imefunguliwa na ikulu nimekuwekea email address iliyofungua hiyo account unasema imepachikwa...Sasa unadhani kuna haja ya mimi kuendelea kupoteza muda wangu kwa mtu anaepambania umbeya uwe ukweli? wewe si umesema unaijua mitandao wewe why unauliza vitu ambavyo vipo very clear.
Haya mimi nakuacha na mahaba yako kwa upande wako uliouchagua.
Eeh mkuu hayo hayo matundu😀Matundu tena
Inaonekana teknolojia ya mawasiliano imekuacha mbali Sana! Lichunguze tangazo lile na utaiona tick ya rangi ya bluu yenye maana ya kuwa account Ile ni ya serikali ya Tanzania na imekuwa verified kwenye mtando husika! Upo bandugu? Next time tambua hadhira unayoiandikia kuwa Ina utaalamu kuliko wako hivyo hawadanganyiki kirahisi!Kwa mwenye akili anajua hiyo ni michezo ya Kigogo mwenyewe, anataka kujiongezea nguvu aonekane mtu mzito sana.
Serikali ingetaka kutangaza wangetumia structure yake inayoeleweka wangemtumia msemaji wa jeshi la polisi au account za tanpol ambazo mpaka sasa zipo kimya hazijasema lolote.
Yani taarifa imetangazwa Jumamosi na account imefutwa usiku hahahaha jamani serikali haifanyi mambo yake namna hiyo acheni upumbavu wa kumeza kila tango.
Washawajua watanzania mnapenda sana udaku na mpo radhi kuupambania udaku uwe ukweli kwa kuwa tu mnaupenda.
Kuna baadhi walifananishwa na nyumbu kwa mahaba yao yaliyopitiliza.
Hiyo imekaa poa sasa nita kujulisha kituo gani cha polisi ili tukutane ila waku tangulizie nusu na robo kwanzaInabidi waanzie 8.8 Billion
Naunga mkono hojaKigogo hakamatiki! Kangi Lugola alijiapiza, lakini mpaka anatumbuliwa na bosi wake, alishindwa kumtia mikononi!
Dawa sahihi ni kwa serikali mpya kukibali tu kubadilika. Rais avunje Baraza la Mawaziri. Airudishe Nchi katika misingi sahihi ya kiutawala, na mwisho wa siku huyo Kigogo atapoteza mashabiki na kupotea kabisa.
Mkuu upo sahihi na hiko ndicho mama alichowauliza hao wanao hangaika na kigogoKigogo hakamatiki! Kangi Lugola alijiapiza, lakini mpaka anatumbuliwa na bosi wake, alishindwa kumtia mikononi!
Dawa sahihi ni kwa serikali mpya kukibali tu kubadilika. Rais avunje Baraza la Mawaziri. Airudishe Nchi katika misingi sahihi ya kiutawala, na mwisho wa siku huyo Kigogo atapoteza mashabiki na kupotea kabisa.