Ukurupukaji wa Hayati Magufuli unavyozidi kuligharimu taifa hata baada ya kifo chake

Usingeuliza umeme wa nini kwenye kilimo ningeona ww unauelewa mpana ila umesinyaa akili kwa kuwaza unapoishia kuona hakuna mradi wowote unaorudisha hela kwa haraka usijidanganye ka kaakili kako ka ngedere
Hayo ni mawazo ya kukariri ndugu,ipo miradi mingi tena ya ndani na inaweza rejesha pesa na faida tele,omba ueleweshwe usijifungie kwenye box si wote tunalingana ufahamu sema wengi hawapo kwenye level ya maamuzi lakini Wana fikra pana zaidi.
 
Tukubaliane kuto kubaliana.
Wanao ona katimiza wajibu wake kwa ufanisi mkubwa ,wabaki na msimamo wao . Wanao amni aliboronga wabakie hivyo.

Bahati mbaya upande mmoja hauna hoja zaidi ya kebehi na matusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unazingua kiukweli
Hayo ni mawazo ya kukariri ndugu,ipo miradi mingi tena ya ndani na inaweza rejesha pesa na faida tele,omba ueleweshwe usijifungie kwenye box si wote tunalingana ufahamu sema wengi hawapo kwenye level ya maamuzi lakini Wana fikra pana zaidi.
 
Umeme wa kutegemea maji sio chanzo pekee cha umeme
Maji ndio cheap way ya umeme na salama ata kama usingetosha ila sisi tulitakiwa tuwe na vyanzo vingi vya umeme wa maji na tuvune umeme mwingi wa maji kuliko nchi zote Africa
NB: Netherlands wanavuna umeme kwa mawimbi ya bahari em fikilia apo af useme sio wakutegemea
 
Mvua zimeenda na Magu,ipo haja ya kubuni vyanzo hakika vingine pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…