Ngano tunategemea ya Ukraine na Russia unadhani wanalimia mikono?
Yani ungekataa vyote ila apo kwenye umeme wa Nini mkuu umefeli sana futa kauli yako kabisa Yani ata wenzako wasio mpenda magu hawato kuunga mkono
Watu kama hawa si wanafuata mkumbo kusikia magu anachukiwa basi nao wanamalizia hasira za umaskini wao hapo kila mmoja ana mapungufu yake magu alizingua kwa upande fulani na nikawaida kwa viongozi wa afrika panapostahili pongezi apewe anapozingua aambiwe kama mama yetu anapenda kusifiwa kwakua ni binadamu na ana mapungufu yake pia
Kuna Mu Iran mmoja yuko uhamishoni Canada. Alikuwa ndugu wa ufalme na mwana usalama kabla hajakimbia alipokosana nao.
Anasema kwenye documentary ya NETFLIX kwamba serikalini Iran wana ofisi ya IT kazi yake ni kutuma maelfu na maelfu ya ma post ya kuupamba utawala, na kupinga wakosoaji, na wanayatuma kana kwamba kuna watu weeengi wanaunga mkono utawala. Kama hicho kitengo hakipo serikalini URT basi kipo CCM, I bet everything I have on this.
Sio kitengo tu na mapopoma kibao wanatofautiana misimu tu kipindi cha jpm walikuepo waliosifia hadi ujinga unaotuumiza na hivyo hivyo serikali hii pia wapo kusifia hata visivyofaa kusifiwa ila mwisho wa uongozi utaona wanaibuka wengine wa kumsifia na wengine watamponda
Ugumu wa maisha unaendelea mtaani kwa wengi yeye ndie chanzo kwa kupeleka pesa nyingi Sana kwenye miradi. Na miradi yote imepeleka pesa nje kwenye nchi zao kununua vifaa vya miradi.
Pesa zote zile zingebakia nchini kuchochea uzalishaji kupitia nguvu Kazi ya ndani, maisha yasingekuwa magumu kiasi hiki.
Habari Wana JF, Bila shaka wengi mnafahamu kuwa Serikali ya Tanzania maarufu kama Serikali ya Magufuli ilitenda kwa kutanguliza nguvu, vitisho na weledi duni hasa katika kudeal na majadiliano ya kibiashara na wawekezaji mbalimbali. Matumizi ya nguvu yalichagizwa zaidi na kutungwa kwa sheria...

Kwani Magufuli ndiyo aliye sign hiyo mikataba ya kiunyonyaji!!? Tena Magu alifanya vizuri sana kuivunja angalau na sisi tumejua kumbe kuna watu wali sign mikataba ya hovyo sana hadi kesho itaendelea kuligharimu Taifa!!
Ngano tunategemea ya Ukraine na Russia unadhani wanalimia mikono?
Yani ungekataa vyote ila apo kwenye umeme wa Nini mkuu umefeli sana futa kauli yako kabisa Yani ata wenzako wasio mpenda magu hawato kuunga mkono
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.