Hivi kwanini kulifanyika Sensa miaka 4 iliyopita?
Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (na Kanuni zake) haijafuatwa na itashangaza kama Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi itakaa kimya huku Sheria ikionekana wazi kuelekea kuvunjwa.
Wenye mamlaka wamezoea kufanya vitu kwa mazoea, nyakati kama hizi si za kukusanya personal data za raia kizembe namna hii.
Sisi sio wajinga! Wakazi wa Masaki GOMEENI HUU UHUNI. KATAENI KUTOA USHIRIKIANO