Mkuu kwa nini unasema masaki sio mtaa?Huyo mlugaluga gani kachonga huo upupu?
Anadhani masaki ni mtaa
AiseeeeMkuu kwa nini unasema masaki sio mtaa?
Masaki ni mtaa uliopo kata ya Msasani.
Kata ya Msasani Ina mitaa mitano(masaki, oysterbay, makangira, bonde la mpunga na mikoroshini)
View attachment 3538190
Wapi nimesema hivyo ni vitongoji? Dar Ni jiji hakuna kitongojiAiseeee
Ina maana Kiswahili kimebadilika hivi ?
Hivyo sio vitongoji(sub urban)
Mtaa kwa kizungu ni Street
Pamoja na kuzaliwa na kuishi Dar sijawahi kuona mtaa wa Masaki wala Msasani
Na Masaki ni lini imekuwa chini ya kata ya Msasani?
Una poteza muda wako na rasilimali kubishana na mtu amezaliwa na kukulia kishapu DSM kaja ukubwani kutafuta michongo ya Pesa.Wapi nimesema hivyo ni vitongoji? Dar Ni jiji hakuna kitongoji
Alafu pia wapi nimekuambia Msasani ni mtaa? Nimekuambia msasani ni kata, mitaa iliyopo ndiyo hiyo masaki, obey n.k
Nimekuwekea na ramani. Bado hujaelewa? Neno mtaa linakuchanganya?
Masaki ni mtaa uliopo kata ya Msasani. Utakua huijui vizuri Msasani, isome vizuri hapa Msasani kupitia hii taarifa ya
manispaa ya kinondoni
View attachment 3538192
Chini ni link. Isome hapo uijue Msasani na mitaa yake masaki, oysterbay n.k
Mgumu sana wa kuelewa. Alafu pengine hajui kusoma vizuriUna bishana na mtu kaza
Una poteza muda wako na rasilimali kubishana na mtu amezaliwa na kukulia kishapu DSM kaja ukubwani kutafuta michongo ya Pesa.
Umetoa elimu nzuri, ila kuna kundi ambalo ni gumu sana kuelewa...mboga mboga MakeboWapi nimesema hivyo ni vitongoji? Dar Ni jiji hakuna kitongoji
Alafu pia wapi nimekuambia Msasani ni mtaa? Nimekuambia msasani ni kata, mitaa iliyopo ndiyo hiyo masaki, obey n.k
Nimekuwekea na ramani. Bado hujaelewa? Neno mtaa linakuchanganya?
Masaki ni mtaa uliopo kata ya Msasani. Utakua huijui vizuri Msasani, isome vizuri hapa Msasani kupitia hii taarifa ya
manispaa ya kinondoni
View attachment 3538192
Chini ni link. Isome hapo uijue Msasani na mitaa yake masaki, oysterbay n.k
Huyo wala hajazaliwa DAR ni mshamba mmoja ambaye hata Masaki yenyewe haijui anaisikia tu watu wakiizungumziaMgumu sana wa kuelewa. Alafu pengine hajui kusoma vizuri
Kilichonishangaza anasema amezaliwa dar na anaishi dar Ila hajui masaki ni mtaa. Pengine alikua anajua masaki ni wilaya
kwani kunanini mkuu huko?Hivi kwanini kulifanyika Sensa miaka 4 iliyopita?
Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (na Kanuni zake) haijafuatwa na itashangaza kama Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi itakaa kimya huku Sheria ikionekana wazi kuelekea kuvunjwa.
Wenye mamlaka wamezoea kufanya vitu kwa mazoea, nyakati kama hizi si za kukusanya personal data za raia kizembe namna hii.
Sisi sio wajinga! Wakazi wa Masaki GOMEENI HUU UHUNI. KATAENI KUTOA USHIRIKIANO
View attachment 3538182
Hawa machawa sifa yao kubwa ni uongo. Haijui Msasani pia haijui masaki, lakini alitaka kuizungumziaHuyo wala hajazaliwa DAR ni mshamba mmoja ambaye hata Masaki yenyewe haijui anaisikia tu watu wakiizungumzia
Machawa wengi wana vichwa vizito, kuelewa chochote mpaka utumie muda mrefuUmetoa elimu nzuri, ila kuna kundi ambalo ni gumu sana kuelewa...mboga mboga Makebo