Tetesi: UKUTA: Kofia na Tisheti za kuzuia mabomu ya machozi kusambazwa

ukawa2020

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2016
Posts
339
Reaction score
1,314
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kwamba kamati ndogo ya ULINZI na usalama ( ukuta ) imetoa mapendekezo yake kwenye kamati kuu na mapendekezo ayo yamekubaliwa kuwa;

Kofia na t-shirt za kuzuia Maji ya washa washa na mabomu ya machozi kuanza kusambazwa nchi nzima kuanzia jumapili hii tarehe 21/8/2016 Kwa ajiri ya red briged wapatao 1000 kila kata, ambao watasambaa nchi nzima kuanzia Jumatatu ijayo

Mimi naendelea kujenga ukuta , tukutane jangwani siku ya mkesha.
 
Ndio raha ya kuongoza hawa watu hawajiulizi hiyo tenda ya kuchapisha t - shirt na kofia za maandamano amepewa nani??
Hizo hela za kuchapisha hizo t shirt zimetoka bajeti gani??

Ni kwa nini hela za kujenga ofisi za chama Mbowe anasema hamna , lkn za kuchapisha t shirt za maandamano zinapatikana??
 
We tulia uone tar 1/9/2016
 

Upo nje ya mada Mkuu..
 

Uko sawa ila tutauliza baada ya september 1.
 
TShert?? [emoji57]
 
Yale yale ya Kinjeketile na wapiganaji wake wa majimaji...!
...yetu macho, masikio, na pesa za kununua magazeti kusoma yatakayokuwa yamejiri sept 01...
 
Hilo halikuhusu. Kama umesha katwa mkia lazima uumie kwa habr hii.
 
Siyo kila kitu unaaniaka hapa...wasubirie 1.9 tuwaonyeshe mpera mpera
 

Tupo pamoja nimejiandaa kweli kweli
 
Yale yale ya Kinjeketile na wapiganaji wake wa majimaji...!
...yetu macho, masikio, na pesa za kununua magazeti kusoma yatakayokuwa yamejiri sept 01...

Kweli wewe ujui nguo yoyote ya kuteleza ( karatasi naironi)
 
Wangetupa na sisi hy mabomu y machoz n hy magar y washasha iwe ngma droo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…