Tetesi: UKUTA: Kofia na Tisheti za kuzuia mabomu ya machozi kusambazwa

Tetesi: UKUTA: Kofia na Tisheti za kuzuia mabomu ya machozi kusambazwa

Baada ya sept mosi kutakuwa na mkakati mwingine wa CDM ngoja tusubiri.
 
KAZI YA CAG
Ndio raha ya kuongoza hawa watu hawajiulizi hiyo tenda ya kuchapisha t - shirt na kofia za maandamano amepewa nani??
Hizo hela za kuchapisha hizo t shirt zimetoka bajeti gani??

Ni kwa nini hela za kujenga ofisi za chama Mbowe anasema hamna , lkn za kuchapisha t shirt za maandamano zinapatikana??
 
Hebu tueleze zile za kumpokea D UCHWARA kwa maandamano kutoka airport mpaka lumumba zilitoka wapi
 
Wanajeshi pamoja na kuvaa bullet proof lakini risasi huwaua sembuse na tshirt za mtumba!!?
 
Tangu lini uliunga mkono kuipinga ccm?
Nimesoma your join date... nimeshangaa ulikua unatumia ID ipi, wewe si wa mwaka huu??? Tena siku 29 zilizopita??? bbbbwwwaahahahahahahaaa

I am for the straight shooters and real deciders... UKAWA sawa, UKUTA hapana

CCM ya mafisadi hapana CCM ya governance na accountability sawa

Mbafff wahed
 
Back
Top Bottom