Tetesi: UKUTA: Kofia na Tisheti za kuzuia mabomu ya machozi kusambazwa

Tetesi: UKUTA: Kofia na Tisheti za kuzuia mabomu ya machozi kusambazwa

Jiandaeni kuyapokea hayo maandamano maana hamna jinsi ya kuyazuia
Tangazo hili limevunja morali ya wale waliokuwa wamejiandaa....! Huwezi kudanganya vijana na watu wazima kwa mbinu za 'kienyeji' hivi kama alizotumia Kinjekitile...!!
 
Tangazo hili limevunja morali ya wale waliokuwa wamejiandaa....! Huwezi kudanganya vijana na watu wazima kwa mbinu za 'kienyeji' hivi kama alizotumia Kinjekitile...!!
Endeleeni kujidanganganya na tv yenu ya kuanza kutuonyesha vita za nchi jirani lkn mnajichosha tu kwa sasa ni mbele kwa mbele
 
hahahahahahhahahaha natamani sana cku hyo ifike ndo mtajua vyombo vya dora vnafanyaje kazi yanapotokea machafuko na oparation rudisha nyumbu serengeti itakavyokuwa cku hyo c khaki bali ni mabaka mabaka nadhani mnakumbka wale viburi wa mtwara na pia nawakaribisha nyumbu wote waliojificha nyuma ya keypad au keybord mjitokeze cku hyo tukutane site
Ubongo wako na wa kibajaj hautofautiani
 
Hahahahahaaaaaaaa! Njooni na hizo t shirt zenu na kofia muone kama zitaweza kuzuia mvuke wa mabomu
 
mtakiua kile kijamaa..
hapo pressure pressure..
kina tamani kile mtu.
 
Isije ikawa ndiyo mambo yaleyale ya Majimaji, ambapo bingwa Kinjekitile alipowaambia makamanda na wapiganaji wake kwamba risasi za mzungu zitageuka kuwa maji. Kilichotokea mnakifahamu kupitia historia.
 
Ndio raha ya kuongoza hawa watu hawajiulizi hiyo tenda ya kuchapisha t - shirt na kofia za maandamano amepewa nani??
Hizo hela za kuchapisha hizo t shirt zimetoka bajeti gani??

Ni kwa nini hela za kujenga ofisi za chama Mbowe anasema hamna , lkn za kuchapisha t shirt za maandamano zinapatikana??
unaandika matapishi tu.


swissme
 
Back
Top Bottom