Tetesi: UKUTA: Kofia na Tisheti za kuzuia mabomu ya machozi kusambazwa

Tetesi: UKUTA: Kofia na Tisheti za kuzuia mabomu ya machozi kusambazwa

Ndio raha ya kuongoza hawa watu hawajiulizi hiyo tenda ya kuchapisha t - shirt na kofia za maandamano amepewa nani??
Hizo hela za kuchapisha hizo t shirt zimetoka bajeti gani??

Ni kwa nini hela za kujenga ofisi za chama Mbowe anasema hamna , lkn za kuchapisha t shirt za maandamano zinapatikana??
Wewe umejenga ngapi
 
Kwanza hakuna kitu kama hicho,.unless mnaturudisha kwenye vita ya majimaji, pili kwanini wasigawie waandamanaji wote na wanawapa watu wao tu? Au hao 1000 wametayarishwa kupambana na askari?
 
Utasikia tu muda ukikaribia..Tumeshauriwa tusiandamane na tumeamua kukubali..
 
Ndio raha ya kuongoza hawa watu hawajiulizi hiyo tenda ya kuchapisha t - shirt na kofia za maandamano amepewa nani??
Hizo hela za kuchapisha hizo t shirt zimetoka bajeti gani??

Ni kwa nini hela za kujenga ofisi za chama Mbowe anasema hamna , lkn za kuchapisha t shirt za maandamano zinapatikana??

Hela ya kuhamia Dodoma na kujenga uwanja airport Chato imetoka kwenye bajeti gani na nani aliipitisha?
 
Mkiwa wajinga raha sana mnadhani yupo askari atawapiga mabomu ya machozi?mtapigwa za moto mpakamuishe.
 
Eti red brigade 1000,watasambazwa nchi nzima,Red brigade wa chadema ni sawa na chui wa makaratasi tu wakishapewa miwani meusi na makoti wanayeyuka
 
Mkiwa wajinga raha sana mnadhani yupo askari atawapiga mabomu ya machozi?mtapigwa za moto mpakamuishe.
Halafu mkuu kwa maji yale,labda wavae Tshirt za chuma,kama yanakupata mwanaume lazima ujikojolee na kujinyea,kama ni mwanamke unapata dharura hapo hapo acha wayajaribu kwanza hayajatumika hata mara moja baada ya kuufyata kesi ya mit 200 maji hayakutumika tena
 
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kwamba kamati ndogo ya ULINZI na usalama ( ukuta ) imetoa mapendekezo yake kwenye kamati kuu na mapendekezo ayo yamekubaliwa kuwa;

Kofia na t-shirt za kuzuia Maji ya washa washa na mabomu ya machozi kuanza kusambazwa nchi nzima kuanzia jumapili hii tarehe 21/8/2016 Kwa ajiri ya red briged wapatao 1000 kila kata, ambao watasambaa nchi nzima kuanzia Jumatatu ijayo

Mimi naendelea kujenga ukuta , tukutane jangwani siku ya mkesha.

Kweli Tz kuna watu wa ajabu
Mtu katunga uongo wake mwepesi tayari mtu ameshamrukia Mbowe hivi hata chembe ya kutafakari haipo?
 
Ndio raha ya kuongoza hawa watu hawajiulizi hiyo tenda ya kuchapisha t - shirt na kofia za maandamano amepewa nani??
Hizo hela za kuchapisha hizo t shirt zimetoka bajeti gani??

Ni kwa nini hela za kujenga ofisi za chama Mbowe anasema hamna , lkn za kuchapisha t shirt za maandamano zinapatikana??
Ni kweli kabisa mkuu, maana hata hela za kununua mabomu na magari ya washawasha hatujui zinatoka wapi!!! lakini hapo hapo hela za kujenga nyumba za walimu hazipo, na tushasema serikali yetu haitatoa misaada ya maafa wananchi wajijue wenyewe ila hela ya kununua mabomu ipo!
 
Hahahahaha message sent.

Umetisha.
 
T.shirt & kofia mbona ni vitu vya kawaida sana . kama vikoba wanachapisha itakuwA chama cha siasa???
Kwa hiyo unaamini kofia na tisheti zinweza zuia mabomu ya machozi?
 
Mkiwa wajinga raha sana mnadhani yupo askari atawapiga mabomu ya machozi?mtapigwa za moto mpakamuishe.
Hivi hizo tisheti za kuzuia maji ya washa washa na mabomu ya machozi ni za material gani Teh Teh
Aiseee Mbowe ana raha sana kuongoza nyumbu..
 
Mna mbwe mbwe kama zile wakati wa uchaguzi "ushindi ni asubuhi tu" hata huwazi kuwa kura huhesabiwa.

Hii nayo mbwe mbwe balaa Mambo ya T'shirt. Nadhani mtagawa bure maana siku hiz yupo mamvi.
 
Mwenye hamu na kipondo atokeze pua yake barabarani siku hiyo ndiyo utatambua kua huwezishindana na dola.
 
Back
Top Bottom