Tetesi: UKUTA: Kofia na Tisheti za kuzuia mabomu ya machozi kusambazwa

Tetesi: UKUTA: Kofia na Tisheti za kuzuia mabomu ya machozi kusambazwa

Mkuu huwa najiuliza mengi sana kuhusiana na wewe kumwita jamaa Bob.Maana bob ni kifupi cha jina la yule wa sauzi rodeshia....sasa sijui umekompea karakta zikamechi ndo maana ukaamua kutumia jina moja kwa wote??? bado najiuliza.
Hahhahahaaaa [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
 
kujenga ofisi siyo kazi,kazi ni kuitangaza chama kwa umma. aluta continua!!!!!!!!!!!!!!!! baba
Cdm hawana haraka ya kujenga ofisi maana tunaweza kununua magogoni tukayafanya hq
 
SASA SI WAKATI WA KUTULIA HATA KIDOGO,BALI NI WAKATI WA KUENDELEZA MOTO HUU ILI HII SERIKALI IJUE MAENDELEO HAYAJI KWA KUZUIA VYAMA VYA SIASA KUFANYA SHUGHULI ZAKE.
Yes hii ni non stop
 
Kwani nyinyi kofia zenu na tshirts huwa mnampatia nani na lini nyinyi mliwahi kuhoji mtemgenezaji wa hayo mavazi yenu? Mbona unaongea kama upo shimoni?
Kwa hiyo Chadema ni sawa tu na ccm ??
 
Ndio raha ya kuongoza hawa watu hawajiulizi hiyo tenda ya kuchapisha t - shirt na kofia za maandamano amepewa nani??
Hizo hela za kuchapisha hizo t shirt zimetoka bajeti gani??

Ni kwa nini hela za kujenga ofisi za chama Mbowe anasema hamna , lkn za kuchapisha t shirt za maandamano zinapatikana??
pongezi kwa kujua uhalisia wa siasa na siri ya ulinzi wa taifa


pon
 
Mbona Chadema ndio majizi zaidi hadi yanajiibia posho kwa kujipiga ngwala.

Wanaleta maigizo ya UKUTA ili wapate nafasi ya kula ruzuku ya chama !!!!
Juzi mmekamatana wizi, nilini na wapi kiongozi wa cdm amewahi kufikishwa mahakamani? Tumia akili ya kawaida siyo masaburi
 
Back
Top Bottom