Kiswahili chenyewe hujui. Ukuandika ndiyo nini?Andika kiswahili NA we we mbona ukuandika ukuta kiingereza
we we ndiyo nini?
CCM inaandikwaje kwa kiingereza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiswahili chenyewe hujui. Ukuandika ndiyo nini?Andika kiswahili NA we we mbona ukuandika ukuta kiingereza
WallAndika kiswahili NA we we mbona ukuandika ukuta kiingereza
Kusema UKUTA una mafanikio ni kuonyesha unavyoendeshwa kwa hisia. Tangu kutangazwa kwa UKUTA rate ya viongozi wa CDM kukamatwa na kudhalilishwa imeongezeka mara dufu, mpaka sasa Naibu Katibu Mkuu wa CDM Zenji ananyea debe selo, haya ndio mafanikio kwako au ni propaganda za kujitia moyo.
Mpaka sasa nadhani viongozi wa CDM watakuwa wamejifunza kuto kutoa maamuzi kwa hisia, ukianzisha mgogoro usitegemee serikali itakuja kukubembeleza, kama walivyoamua kususia bunge na watarudi wenyewe na vivyo hivyo wanaomba maridhiano kwenye UKUTA.
Naunga mkono hoja. Chadema sasa ni lazima kifanye transformation kutoka chama cha kiharakati kuwa chama Tawala tarajiwa, huu ni mwanzo mzuri.
Pasco
The police have lost sight of the fact that they are public servants. They ever ready to execute orders from their master who may not be paying taxes that are meant for their upkeep.
Faida za UKUTA:-They say there's no harm in daydreaming, but there is―Charlaine Harris
Having sentiments make you susceptible to lies and misjudgement―Aniekee Tochukwu
UKUTA's orderly retreat has cheated the CCM police, hyped to maim or kill, out of their evil plan to spill innocent blood.
UKUTA's accomplishment has been as effective as a victory, sparing innocent lives but delivering their message...
The CCM police's morale is low; like vampires, they are confused and frustrated...their thirst for blood still unquenched.
Their street show, full of sound and fury, has served no useful purpose other than misuse of poor tax-payers money.
UKUTA's tactical retreat gives them a chance to wisely change parts of their strategy, now they know their enemy!
A retreating force is merely taking some time out to re-assess the stakes and so be ready for a better fight another day.
Hail to UKUTA! Dictatorship in Tanzania? No, never...
![]()
Tanzania Police? Ready to maim or kill who? UKUTA Demonstrators?
Kama mtu anakesha siku nzima kuiombea nchi yake mabaya huyo si mwenzako wala si wa kumchekia, unatafuta huruma ya wananchi ila kutwa kucha wapambe wa CDM wanakaa kuiombea mabaya serikali, kila kitu wao ni kupinga pinga, kukejeli na kutoa lugha zisizo za staha mbele ya mamlaka halali, hawa si watu wa kuwaendekeza hata kidogo.Ikifikia mahali baadhi ya wananchi wanaanza kuusifia utawala wa kifashisti usiofuata sheria wala kuheshimu Katiba...
Ikifikia mahali baadhi ya wananchi wanafurahia raia wenzao kupigwa, kuumizwa na hata kuuawa na vyombo vilivyotakiwa kuwalinda...
Watanzania tumefikia hapo na wapo wananchi wenzetu wanaoshangilia hali hiyo...
HahahaaaaaaWall
Povu linakutokaa nimeuliza ukuta acha mhemuko mtoto wakikeKiswahili chenyewe hujui. Ukuandika ndiyo nini?
we we ndiyo nini?
CCM inaandikwaje kwa kiingereza?
UKUTA's orderly retreat has cheated the CCM police, hyped to maim or kill, out of their evil plan to spill innocent blood.
UKUTA's accomplishment has been as effective as a victory, sparing innocent lives but delivering their message...
The CCM police's morale is low; like vampires, they are confused and frustrated...their thirst for blood still unquenched.
Their street show, full of sound and fury, has served no useful purpose other than misuse of poor tax-payers money.
UKUTA's tactical retreat gives them a chance to wisely change parts of their strategy, now they know their enemy!
A retreating force is merely taking some time out to re-assess the stakes and so be ready for a better fight another day.
Hail to UKUTA! Dictatorship in Tanzania? No, never...
![]()
Tanzania Police? Ready to maim or kill who? UKUTA Demonstrators?
I never knew I was replying to an insane.Povu linakutokaa nimeuliza ukuta acha mhemuko mtoto wakike
BASIASI, UKUTA is an acronym just like CCM, CUF or CHADEMA. An acronym is a word formed from the initial letters or groups of letters of words in a set phrase or series of words and pronounced as a separate word.Povu linakutokaa nimeuliza ukuta acha mhemuko mtoto wakike
My friend Ibambasi, I have said it not once but many times and so I will say it again; I may have supported Chadema's efforts a number of times but please take my word, I am not a Chadema.Mzee pole sana. Mnabadili tena gear safari hii. Utapeli wenu wa kisiasa umefikia ukomo.