UKUTA's tactical move, a blow to prophets of doom!

UKUTA's tactical move, a blow to prophets of doom!

Kusema UKUTA una mafanikio ni kuonyesha unavyoendeshwa kwa hisia. Tangu kutangazwa kwa UKUTA rate ya viongozi wa CDM kukamatwa na kudhalilishwa imeongezeka mara dufu, mpaka sasa Naibu Katibu Mkuu wa CDM Zenji ananyea debe selo, haya ndio mafanikio kwako au ni propaganda za kujitia moyo.

Mpaka sasa nadhani viongozi wa CDM watakuwa wamejifunza kuto kutoa maamuzi kwa hisia, ukianzisha mgogoro usitegemee serikali itakuja kukubembeleza, kama walivyoamua kususia bunge na watarudi wenyewe na vivyo hivyo wanaomba maridhiano kwenye UKUTA.

unapingana na shujaa mzee madiba historia yake tamu inachagizwa na kukaa jela miaka 27 ktk mafanikio ya kweli hakuna njia ya mkato lazima uumie ukifoji mambo lazima uje uteseke baadae.
 
Chadema basi-Kupigisha Kwata polisi mwezi mzima sio mchezo.
 
Ikifikia mahali baadhi ya wananchi wanaanza kuusifia utawala wa kifashisti usiofuata sheria wala kuheshimu Katiba...

Ikifikia mahali baadhi ya wananchi wanafurahia raia wenzao kupigwa, kuumizwa na hata kuuawa na vyombo vilivyotakiwa kuwalinda...

Watanzania tumefikia hapo na wapo wananchi wenzetu wanaoshangilia hali hiyo...
 
Naunga mkono hoja. Chadema sasa ni lazima kifanye transformation kutoka chama cha kiharakati kuwa chama Tawala tarajiwa, huu ni mwanzo mzuri.

Pasco

Mkuu Pasco hebu tuelimishe jinsi ya kuchora mstari ulionyooka kabisa kati ya chama cha UPINZANI cha kisiasa na cha kiharakati katika mazingira ya kidikteta kama tuliyomo. Rej: "Kosa pekee ambalo hatuwezi kufanya ni kuwakabidhi Ikulu".
 
The police have lost sight of the fact that they are public servants. They ever ready to execute orders from their master who may not be paying taxes that are meant for their upkeep.

Don't be hard on the police. It's not their fault entirely. Public institutions and servants are operating under the instruction "kowtow or the highway!". What options do the poor guys have in this highly contorted environment?
 
They say there's no harm in daydreaming, but there is―Charlaine Harris

Having sentiments make you susceptible to lies and misjudgement―Aniekee Tochukwu
Faida za UKUTA:-
(1) Mwisho wa matamko yasiyozingatia katiba, sheria, haki za binadamu.
(2) Mwanzo kwa viongozi kutafuta ushauri wa kisheria kabla ya kutoa matamko.
(3) Kusoma hotuba zilizoandaliwa.
(4) ......
(5) ......
 
UKUTA's orderly retreat has cheated the CCM police, hyped to maim or kill, out of their evil plan to spill innocent blood.

UKUTA's accomplishment has been as effective as a victory, sparing innocent lives but delivering their message...

The CCM police's morale is low; like vampires, they are confused and frustrated...their thirst for blood still unquenched.

Their street show, full of sound and fury, has served no useful purpose other than misuse of poor tax-payers money.

UKUTA's tactical retreat gives them a chance to wisely change parts of their strategy, now they know their enemy!

A retreating force is merely taking some time out to re-assess the stakes and so be ready for a better fight another day.

Hail to UKUTA! Dictatorship in Tanzania? No, never...

Wakijiandaa-kulipua-mabomu-mbele-ya-kituo-cha-polisi.-620x308.jpg

Tanzania Police? Ready to maim or kill who? UKUTA Demonstrators?

Ukilinganisha mgawanyo wa kura za uchaguzi mkuu wa 2015, kwa mujibu wa takwimu za tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) CHADEMA walipata wastani wa kura milioni sita (6) na CCM walipata wastani wa kura milioni nane (8). Jambo linalonishangaza sana humu JF ni usemaji wa hao milioni 6 wa CHADEMA kulinganisha na ukimya wa hao milioni 8 wa CCM. Bado sijapata jibu.
 
Ikifikia mahali baadhi ya wananchi wanaanza kuusifia utawala wa kifashisti usiofuata sheria wala kuheshimu Katiba...

Ikifikia mahali baadhi ya wananchi wanafurahia raia wenzao kupigwa, kuumizwa na hata kuuawa na vyombo vilivyotakiwa kuwalinda...

Watanzania tumefikia hapo na wapo wananchi wenzetu wanaoshangilia hali hiyo...
Kama mtu anakesha siku nzima kuiombea nchi yake mabaya huyo si mwenzako wala si wa kumchekia, unatafuta huruma ya wananchi ila kutwa kucha wapambe wa CDM wanakaa kuiombea mabaya serikali, kila kitu wao ni kupinga pinga, kukejeli na kutoa lugha zisizo za staha mbele ya mamlaka halali, hawa si watu wa kuwaendekeza hata kidogo.
 
.....
.....well noted even Ikungulyabhashi were tayari for UKUTA
 
UKUTA's orderly retreat has cheated the CCM police, hyped to maim or kill, out of their evil plan to spill innocent blood.

UKUTA's accomplishment has been as effective as a victory, sparing innocent lives but delivering their message...

The CCM police's morale is low; like vampires, they are confused and frustrated...their thirst for blood still unquenched.

Their street show, full of sound and fury, has served no useful purpose other than misuse of poor tax-payers money.

UKUTA's tactical retreat gives them a chance to wisely change parts of their strategy, now they know their enemy!

A retreating force is merely taking some time out to re-assess the stakes and so be ready for a better fight another day.

Hail to UKUTA! Dictatorship in Tanzania? No, never...

Wakijiandaa-kulipua-mabomu-mbele-ya-kituo-cha-polisi.-620x308.jpg

Tanzania Police? Ready to maim or kill who? UKUTA Demonstrators?

Mzee pole sana. Mnabadili tena gear safari hii. Utapeli wenu wa kisiasa umefikia ukomo.
 
Kwakweli serikali imechezeshwa ngoma nayo ikacheza tuu kama taahira flani hivi
 
in the 70's the americans withdrew their forces in viatnam not because they were defeated, but because they realised that the vietnamese were ready to fight to their last blood drop ruther than being ruled.
 
Povu linakutokaa nimeuliza ukuta acha mhemuko mtoto wakike
BASIASI, UKUTA is an acronym just like CCM, CUF or CHADEMA. An acronym is a word formed from the initial letters or groups of letters of words in a set phrase or series of words and pronounced as a separate word.

UKUTA stands for Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania which literally means Unity to Oppose Dictatorship in Tanzania just like CCM stands for Chama cha Mapinduzi and remains CCM in English or Kiswahili.

The fact that you failed to even comprehend this tells more about you than your argument...I just don't know what happens to political sycophants like you; somewhere, somehow reason gets thrown out the window...how sad!
Mzee pole sana. Mnabadili tena gear safari hii. Utapeli wenu wa kisiasa umefikia ukomo.
My friend Ibambasi, I have said it not once but many times and so I will say it again; I may have supported Chadema's efforts a number of times but please take my word, I am not a Chadema.

Now with that cleared, allow me to state here that to me, when it comes to the love of my country, political parties take second place. That's why I will not stay silent when the rule of law as envisaged in our constitution is not adhered to for whatever reason.

Abiding by the constitution of the United Republic of Tanzania is what UKUTA is all about. Dictators, the world over, have little regard for the constitution and that is where UKUTA steps in...it does not matter who started UKUTA, sooner or later something had to be done.

What Chadema does within their party does not affect me but when Magufuli disrespects the constitution, that affects us all. You might think you are safe under CCM's umbrella but that's just an illusion, a pretty short-lived illusion.

Dictators know no bounds and when they are through with the opposition, you can bet your arse you are next. By the time they come for you, there wont be anybody left to come to your rescue and you can take that to the bank.

Back
Top Bottom