Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Walivyo wajinga utawaona wakiandika..."Magufuli asiposhinda navua nguo hadharani"...!Utadhani wameona bwawa wanataka kuogelea!πππππKwani 2015 alishinda?
Kama Lisu alijiokoa mwenyewe kwenye zile risasi zilizotoka kwenye silaha ya kivita basi kuna uwezekano hatashinda kiti cha Urais . Lakini kama hajajiokoa basi aliyemwokoa atamfanya aingie Ikulu as president bila wewe kutarajia.Walivyo wajinga utawaona wakiandika..."Magufuli asiposhinda navua nguo hadharani"...!Utadhani wameona bwawa wanataka kuogelea!πππππ
Hilo Mimi siwezi kulijibu.Kwani 2015 alishinda?
Bahati mbaya mkapa kaukimbiaUchaguzi huu wa 2020 ni mgumu mno tangu kuasisiwa kwa vyama vingi !!
Mbona unaandika vitu kama unacheza kiduku?Be patient!The "Messiah" is arriving presently!πππKama Lisu alijiokoa mwenyewe kwenye zile risasi zilizotoka kwenye silaha ya kivita basi kuna uwezekano hatashinda kiti cha Urais . Lakini kama hajajiokoa basi aliyemwokoa atamfanya aingie Ikulu as president bila wewe kutarajia.
Not this timeKwani 2015 alishinda?
Wahindi husema " MANENO PINDUA", subiri mwezi wa October, 2020. Ni kwa Chadema kupoteza uwakilishi Bungeni.
Kwani 2015 alishinda?
Vyombo Hivi Vitakuwa Wapi Mpaka Asishinde:-
1.TISS
2.PCCB
3.TPDF
4.POLICE
4.PRISON
5.IMMIGRATION
6.FIRE
7.MADAWA YA KULEVYA
πππ πππ
πΆπ€¨π
Kwa mfumo wa hii NEC, Sheria za kudhibiti zilizopitishwa kwa mwendo kasi, chama chochote cha upinzani kitakacho ingia kwenye uchaguzi ujue ni mamluki wa CCM. Wakumbuke yaliyo tokea uchaguzi serikali za mitaa.Wahindi husema " MANENO PINDUA", subiri mwezi wa October, 2020. Ni kwa Chadema kupoteza uwakilishi Bungeni.