Uchaguzi 2020 Ukweli ambao wana CCM hawataki kuusikia: Magufuli hatashinda Urais Uchaguzi Octoba 2020

Niwaambie tu kuwa hata Mobutu alisifiwa sana kwenye utawala wake , waliomsifia walikuja na sababu lukuki.
Huenda Magufuli amefanya mengi mazuri kuliko hata Mobutu.

Hata yule aliyekuwa Rais wa Malawi walimsifia sana na wapo walioamini kuwa aliyoyafanya yatampa kiti tena kwa mara ya pili.

Mifano ni mingi, muda ni mchache. Kama vile waliomfyatulia risasi Tundulisu walijua tayari kinachofuata ni mazishi tu lakini ikawa tofauti.

Ile nguvu iliyomfanya Lisu awe hai pasi watesi wake kutarajia, the same power ndio itakayomkalisha Lisu madarakani kwenye uchaguzi ujao.

Tutaukumbuka utawala wako Mhe.

Achan na mambo ya ndoto za alinacha ccm itakosa pote ila urais lazma ipate atakwa kuwapigixha kura hata wafungwa
 
Lakini kwa style hii na mifanoo ya wajumbe na matokeo yaliyopatikana yanafikirishaaa kweliiiiii
 
Niwaambie tu kuwa hata Mobutu alisifiwa sana kwenye utawala wake , waliomsifia walikuja na sababu lukuki.
Huenda Magufuli amefanya mengi mazuri kuliko hata Mobutu.

Hata yule aliyekuwa Rais wa Malawi walimsifia sana na wapo walioamini kuwa aliyoyafanya yatampa kiti tena kwa mara ya pili.

Mifano ni mingi, muda ni mchache. Kama vile waliomfyatulia risasi Tundulisu walijua tayari kinachofuata ni mazishi tu lakini ikawa tofauti.

Ile nguvu iliyomfanya Lisu awe hai pasi watesi wake kutarajia, the same power ndio itakayomkalisha Lisu madarakani kwenye uchaguzi ujao.

Tutaukumbuka utawala wako Mhe.
Wale wenye pacemaker wazifanyie ukarabati wasije wakaathirika na cardiac arrest
 
Niwaambie tu kuwa hata Mobutu alisifiwa sana kwenye utawala wake , waliomsifia walikuja na sababu lukuki.
Huenda Magufuli amefanya mengi mazuri kuliko hata Mobutu.

Hata yule aliyekuwa Rais wa Malawi walimsifia sana na wapo walioamini kuwa aliyoyafanya yatampa kiti tena kwa mara ya pili.

Mifano ni mingi, muda ni mchache. Kama vile waliomfyatulia risasi Tundulisu walijua tayari kinachofuata ni mazishi tu lakini ikawa tofauti.

Ile nguvu iliyomfanya Lisu awe hai pasi watesi wake kutarajia, the same power ndio itakayomkalisha Lisu madarakani kwenye uchaguzi ujao.

Tutaukumbuka utawala wako Mhe.
We shall overcome.
Amen
 
Maccm majinga Sana yanakufa kwa malaria kwenye nchi ya uchumi wa chini kati
 
Hivi akishinda utaweka wapi makario yako na domo lako?mpumbavu huwa hakubali kushindwa hadi aibu imkute
 
Kifo hiki ni mpango wa Mungu. Maana ndiye aliyekuwa anategemewa kulazimisha matokeo. Hata 2015 kule Zanzibar ndiye aliyemwamuru Jecha kufuta uchaguzi. Sasa mbabe kafa na uhuru soon utapatikana iwe kwa jasho au damu.
Kabisa ! huyu mzee ndo alikuwa ring leader wa kubadili matokeo///Mungu ana nafasi yake
 
Sio kwa kura boss, bali Magufuli atahakikisha wanatangazwa washindi hawa wanaotoa rushwa hivi sasa. Lengo hasa ni kupata bunge la wala rushwa, ambalo atalitumia kumpitisha kuwa rais zaidi ya miaka 10.
CCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu ujao
 
Niwaambie tu kuwa hata Mobutu alisifiwa sana kwenye utawala wake , waliomsifia walikuja na sababu lukuki.
Huenda Magufuli amefanya mengi mazuri kuliko hata Mobutu.

Hata yule aliyekuwa Rais wa Malawi walimsifia sana na wapo walioamini kuwa aliyoyafanya yatampa kiti tena kwa mara ya pili.

Mifano ni mingi, muda ni mchache. Kama vile waliomfyatulia risasi Tundulisu walijua tayari kinachofuata ni mazishi tu lakini ikawa tofauti.

Ile nguvu iliyomfanya Lisu awe hai pasi watesi wake kutarajia, the same power ndio itakayomkalisha Lisu madarakani kwenye uchaguzi ujao.

Tutaukumbuka utawala wako Mhe.

Naomba nikuulize, je, kuna Katiba ipi itatumika, ya DRC Congo au Malawi? Labda kama ni katiba ya CHADEMA hapo sawa. Lakani kama ni katiba ya sasa mtasubiri sana. Endeleeni kujitia uchizi.
 
Back
Top Bottom