antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Jaji Lubuva na mwenzie jecha walifanya yao!Kwani 2015 alishinda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaji Lubuva na mwenzie jecha walifanya yao!Kwani 2015 alishinda?
Siyo huko tu hata Newala kwa Mkuchika,Mkapa alilazimisha wamtangaze huyo mzee tena walitangazia usiku kwenye redio Newala, mali ya halmashauri. Siku ile askari walipiga mabomu sana mji ulikuwa kimya ili wamtangaze huyo mzee. Wakichoniudhi walipiga mabomu mpaka ndani ya uzio wa hospitali kwa wagonjwa kuwatawanya wafuasi wa CUF ambai mgombea wao alivuna kura nyingi. Naona kifo hiki kitawaliza wengi kwa mambo mengine mno na siyo kifo kama kifo. Hatareee[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Kifo hiki ni mpango wa Mungu. Maana ndiye aliyekuwa anategemewa kulazimisha matokeo. Hata 2015 kule Zanzibar ndiye aliyemwamuru Jecha kufuta uchaguzi. Sasa mbabe kafa na uhuru soon utapatikana iwe kwa jasho au damu.
Umetumia njia ipi? Kama ulidanganywa na raia waliohama chama na kuunga juhudi na baadae kuchaguliwa tena, rejea kura za maoni zilizofanyika juziMagu anashindwaje labda? Maana so dar hakuna mpinzani wa CDM atakaye shinda Ubunge.
@Salary Slip asikudanganye mtu, CCM inaweza kupata viti vingi vya ubunge (approx 50%) lakini sio kushinda urais kwa KURA.Hivyo vyombo sio malaika, bali vinaundwa na wanadamu wenye ukomo katika kufikiri na kutenda.
Niwaambie tu kuwa hata Mobutu alisifiwa sana kwenye utawala wake , waliomsifia walikuja na sababu lukuki.
Huenda Magufuli amefanya mengi mazuri kuliko hata Mobutu.
Hata yule aliyekuwa Rais wa Malawi walimsifia sana na wapo walioamini kuwa aliyoyafanya yatampa kiti tena kwa mara ya pili.
Mifano ni mingi, muda ni mchache. Kama vile waliomfyatulia risasi Tundulisu walijua tayari kinachofuata ni mazishi tu lakini ikawa tofauti.
Ile nguvu iliyomfanya Lisu awe hai pasi watesi wake kutarajia, the same power ndio itakayomkalisha Lisu madarakani kwenye uchaguzi ujao.
Tutaukumbuka utawala wako Mhe.
Hao ni watu na wao wana familia. Kama watafanya ubabe kuilinda ccm waziwazi, basi kutakuwa na umwagikaji damu na hapo ndipo ule uhuru utakapopatikana. Sababu inaweza tokea vita ya person to person maana wengi tunajuana
True na upinzani utapata wabunge wengi Sana kuliko awamu zingine.Uchaguzi huu wa 2020 ni mgumu mno tangu kuasisiwa kwa vyama vingi !!
Inaitwa saikolojiko war,hakuna uhalisia, kumbuka October watu wanataka kulipiza kisasi cha kusomeshwa namba.Unajua kwenye maisha wajinga lazima wawepo na ndo huwa wanaachwa hata kwenye maendeleo.
Siamini kama kuna watu wajinga namna hii kwwnye huu uzi
Hvi kwa hali ya kawaida tuu...unashindaje uchaguz 2020 upinzani
Yan hata mtoto hawez waza kama mtoa mada..yaan anaamini kwwenye miujiza...nyie ndo mnaliwaga hela na kina gwajima na mwamposa
Sio kweli mkuu,2015 huwezi kulinganisha na 2020.Uchaguzi huu wa 2020 ni mgumu mno tangu kuasisiwa kwa vyama vingi !!
Saivi Ni ya sisiemuHivi hiyo TPDF, bado kirefu chake ni Tanzania people's defend force au ni Tanzania presedent defence force
Hata 2015 mlituambia "Now or Never"
Huyo jamaa yenu hata ndani ya chama tu mpaka sasa katolewa ulimi na Nyalandu, sijui huo uhakika nnautoa wapi kuwa yeye ndiye mgombea.
Ukweli ni kwamba,wanaCCM hawawazi urais 2020 bali target ni kuchukua majimbo yote.
Kuna nguruwe hawajui Kama alitangazwa tuu, na ndo sabb Ni muoga mnoo kwa upinzaniHata 2015 hakushinda ila alitangazwa na kuapishwa.
Nahisi alipata mshtuko baada ya kuona reactionnya wananchi juu ya ujio wa Lissu.Kifo hiki ni mpango wa Mungu. Maana ndiye aliyekuwa anategemewa kulazimisha matokeo. Hata 2015 kule Zanzibar ndiye aliyemwamuru Jecha kufuta uchaguzi. Sasa mbabe kafa na uhuru soon utapatikana iwe kwa jasho au damu.
Ni kipi sasa kitafanya asitangazwe tu mwaka huu?Kuna nguruwe hawajui Kama alitangazwa tuu, na ndo sabb Ni muoga mnoo kwa upinzani