Uchaguzi 2020 Ukweli ambao wana CCM hawataki kuusikia: Magufuli hatashinda Urais Uchaguzi Octoba 2020

2020 imeshatoka hiyo!
Kinachofanyika kwa sasa ni kutimiliza matakwa ya kisheria tu.
Watu wanaumiza kichwa watafanikiwaje kumshawishi aongezewe japo miaka mitano itakapofika 2025.
 
nliambiwa kuna mafuriko leo ya lissu ila nnachokiona apa, hmmm! cha msingi mjipange tu 2040 maaana jamaa lazima tumuongezee miaka 10 ingine
 
Kwa tume hii; wapinzani hawapati kitu.
 
Umeandika kwa uchungu mkubwa na kila ulichokiandika kina ukweli wa asilimia million mia [emoji24][emoji24]
 

Uhuru unaouzungumzia wewe hapa ni ule ya kwamba wa kuwaachia mbuzi kwenye shamba la bibi kila moja ale kwa urefu wa kambaye.
 
Leta vigezo vinavyo takiwa
 
Kama Rais Mstaaf anakufa kwa malaria vipi ndugu zangu kule Kishapu??
Unazani kama siku zimefika utakwepa. Acheni kukufuru bwana wewe unajua umeandikiwa kifo gani. Urais na ugonjwa ni vitu viwili tofauti sana.
Unafikiri nini kwa Waziri Mkuu wa Israel aliyekaa kwenye Life supporting Machine zaidi ya miaka 2 lakini alienda. Tena acheni kabisa siasa kwenye Msiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…