Yaani wanazidi kujichanganya tuHili tutalitumia kupata uchaguzi wa haki
Chawa huna akiliLete ushahidi wa Karia kuleta waanuzi kutoka Misri
UmeshapanicChawa huna akili
Dawa imeshawaingia.Nimeota Ally Kamwe ndiye mwamuzi wa derby ya Simba na Yanga.
Kumbe sio ndoto ni kweli:
Ramadhan Omary Mapuri Mwenezi mstaafu wa CCM ni Kamishna wa Tume ya taifa ya Uchaguzi. Halafu wanasema eti haki itatenda.
Then next page kuna hii:
Simba na Yanga, TFF inaleta waamuzi kutoka Misri ili haki itendeke.
Tume ya Uchaguzi Rais (mgombea), anateua ma Kamishna na mwenyekiti wa tume. Huu ujinga haukubaliki
View attachment 3381167
Acha ujingaUmeshapanic
Hoja fikirishi sanaNimeota Ally Kamwe ndiye mwamuzi wa derby ya Simba na Yanga.
Kumbe sio ndoto ni kweli:
Ramadhan Omary Mapuri Mwenezi mstaafu wa CCM ni Kamishna wa Tume ya taifa ya Uchaguzi. Halafu wanasema eti haki itatenda.
Then next page kuna hii:
Simba na Yanga, TFF inaleta waamuzi kutoka Misri ili haki itendeke.
Tume ya Uchaguzi Rais (mgombea), anateua ma Kamishna na mwenyekiti wa tume. Huu ujinga haukubaliki
View attachment 3381167
Nilikuona jana jioni πAcha ujinga
Wapi?Nilikuona jana jioni π
Chini ya mfenesi pale Rau madukani πWapi?
Wa kuanua nini?Lete ushahidi wa Karia kuleta waanuzi kutoka Misri
Utopolo vs Makolo kesho πΌWa kuanua nini?
Wanazungumzia waamuzi/wasimamizi wa uchaguzi.
Ametaka ushaidi lakini.Chawa huna akili
Acha ujinga wakoChini ya mfenesi pale Rau madukani π
Ushahidi wa nini?Ametaka ushaidi lakini.
Haupo serous aiseeUmeshapanic